Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

Wewe ni lawama tu unatoa hapo na kuniita Sina akili nikikupa jibu moja usianze kulia ka hao wenzako huko juu.
Inaonekana hujui maana ya lawama bibie.

Wewe toa jibu lolote bibie, huu ni mjadala wa wazi, kwani sisi huwa tunasema hivi "Mbwa huwa wanabweka sana, wapi ushawahi kuona Simba akibishana na mbwa ?"

Tuendelee na hoja bibie.
 
Msingi mkuu wa yote hayo ni kosa la kuchagua mke. Kuna mahali nilisema mke wa ndoa anapaswa kutambua kuwa ndoa sio uwekezaji wa 50/50. Ili ndoa idumu ni LAZIMA kuwe na clear line kati ya mke na mume, kwamba ni nani mwenye ndoa!!

Sasa kwa ndoa za kisasa ambapo mwanamke na mwanamke wana hisa sawa mwenye ndoa, inahitaji mke mwenye busara na malezi bora mno. Wengi wanaingia wakiwa na mtazamo wa kiuanaharakati ndani ya ndoa ndio products za kina Kiria hizo.

Nikisema mume awe mume namaanisha kwamba mke anatakiwa atambue wazi kuwa maisha yake yanategemea ndoa, kwamba bila ndoa basi dunia kwake ni chungu. Kama ukioa mke ambaye ana mtazamo wa kuwa ukiona sifai nirudishe kwetu, basi jua hukupata mke bali mwanamke. Siku hizi kuna ujinga fulani umetamalaki, kwenye send off ni kawaida kusikia wazazi wa mwanamke wakisema binti huyu hajafukuzwa kwao, hivyo ukiona kakushinda mrudishe kwa amani. Ukisikia kauli kama hiyo jua mwwnamke huyo atabaki na connection na watu wa kwao na atakusumbua kweli.

Nikija kwenyebswali lako, mke akuleta hayo wala hakuna haja ya kuita vikao, MWONYE. Wewe ni mume, umetoa mahali kujenga mji wako sio wenu. Akikusikia umepata mke, la hajakusikia basi jua iko sauti anayoisikiliza huko nje, yaweza kuwa kidume au mashoti zake. Hapo sasa kama atakuwa anarudia na kuleta dharau na kiburi KUWA MWANAMUME. Mrudishe kwao akapumzike kwanza, hilo litamshitua mno kama no mke anayestahili ndoa, tena hawezi kucheza na mambo yako ya msingi.

Mwanamke ukimruhusu akudharau basi jiandae kwa maumivu makubwa zaidi. Lazima ajue kuna mahali umechora mstari na kwamba hatothubutu kuuvuka. Akishajua hilo atakyheshimu na ataogopa kukuletea ujinga. Lakini kunbuka wewe pia unapaswa kuwa mume mwenye kujitambua.
Uzi uishie hapa
 
Inaonekana hujui maana ya lawama bibie.

Wewe toa jibu lolote bibie, huu ni mjadala wa wazi, kwani sisi huwa tunasema hivi "Mbwa huwa wanabweka sana, wapi ushawahi kuona Simba akibishana na mbwa ?"

Tuendelee na hoja bibie.
Na debe tupu hupiga kelele Sana
 
Basi unafurahii mwenyewe hapo ......!!

Ila nilichogundua wewe siyo pasua kichwa Kama nilivyokiwa nafikiria awali, sema unajichetua tu na bado hujayaelewa vzr haya Mambo.
Ndio nimefurahi Sana moyoni.
Mimi nauzoefu mkubwa Sana wa hayo Mambo mbona
 
50/50 namna gani hapa? Hawa hawa viumbe ambao kukiwa na mende ndani au panya achilia mbali nyoka hata kama kuna mtoto wa kiume wa miaka saba tu ndani ndiye watakayemtumainia au wengine?

Ndoa ni taasisi lazima iwe na utawala madhubuti,fahari wawili hawakuwahi kukaa zizi moja wakaiva....katika family level baba ni kichwa cha familia hili halitopingika ila ikumbukwe kuwa kiongozi haimaanishi unyanyasaji na ndio maana leo hii hata wanafunzi wanapokua darasani huchagua mamonitors na mamonitress au cr's kwa lengo la kuwaongoza wengine.... Mtakua na sheria,taratibu au sera zenu zinahitaji kusimamiwa na mwisho wa siku maamuzi ya wachache (viongozi) yatahitajika ilu kuliokoa jahazi.

Mwanamke kwa level ya familia bado atastahili kumtii mumewe kama kiongozi wake na mumewe kumpenda na kumtunza mkewe kama muongozwa wake,suala la fifty fifty hata asili ya maumbile inalikataa,ajitokeze mwanamke leo hii adai fifty fifty katika majukumu tuone mwisho wake,mke anastahili kupendwa,kutunzwa,kuheshimiwa lakini kamwe hili halimpi uhalali wa kuwa sawa au kuwa juu ya mume wake...kuna kuoa na kuolewa sio kuoana
Mkuu mbona leo hii wapo wanawake wengi tu ambao wanatafuta hela na wanawasaidia waume zao majukumu. Mfano mume akilipia umeme mke analipia maji mume akilipa ada mke ananunia mahitaji yote ya nyumbani.

Na bado kama wanajenga unakuta hela wanachangia wote. Sasa mnavyokaa mnaongea habari za 50/50 kwenye majukumu ni kuwa hamjui kuwa wapo wanawake wa aina hiyo au mnajitoa ufahamu tu.
 
Unakubali kwamba hujakamilika ?

Sasa unachotaka wewe ni kipi, na huku unasema unafata sheria za nchi ? Kwani sheria za nchi hazina utamaduni au mlengo fulani ?
Zinao utamaduni. Lakini hakuna sheria inayokandamiza jinsia fulani.
 
Na debe tupu hupiga kelele Sana

Safi, tuendelee na mjadala, kule tuliishia kwenye maana ya "Feminist", nikakuomba unipe maana yake baada ya sisi kutuambia tunasema kuwa nyinyi ndiyo Feminist. Ukaniuliza kwamba najua maana ya Femiinist nikakujibu kisha nikakuomba unipe ufafanuzi huo, ila hukujibu mpaka muda huu.

Naomba tuanzie hapo.

Ahsante.
 
Basi italakuwa umeamua kutuchosha na kututoa povu tu vidume ! Ila nami nimefurahi kuona umefurahi

Still naona wewe bado mbichi mkuu, utakataa but instincts zangu have never lie.
Ndio nimefurahi Sana moyoni.
Mimi nauzoefu mkubwa Sana wa hayo Mambo mbona
 
Zinao utamaduni. Lakini hakuna sheria inayokandamiza jinsia fulani.
Una uhakika ?

Wewe unazijuaje sheria zinazo mkandamiza mwanamke ?

Unaamini katika haki sawa au kufanana kwa haki ?
 
Mkuu mbona leo hii wapo wanawake wengi tu ambao wanatafuta hela na wanawasaidia waume zao majukumu. Mfano mume akilipia umeme mke analipia maji mume akilipa ada mke ananunia mahitaji yote ya nyumbani.

Na bado kama wanajenga unakuta hela wanachangia wote. Sasa mnavyokaa mnaongea habari za 50/50 kwenye majukumu ni kuwa hamjui kuwa wapo wanawake wa aina hiyo au mnajitoa ufahamu tu.
Nayaheshimu mno mawazo yako ila ikumbukwe hata wewe mwenyewe hapo umeandika wanawasaidia waume zao...twende mbele turudi nyuma hlo ni jukumu la mume kulingana na andiko lako pia. Je msaada hujitokeza wakati gani? Ni dhahiri wanawake huyafanya hayo pale tu ambapo mume amekwama au kushindwa kuyatimiza kwa sababu yoyote ya kiuchumi na si vinginevyo ila bado haiwezi kupunguza ama kushusha wadhifa wa mume kwa mkewe
 
Una uhakika ?

Wewe unazijuaje sheria zinazo mkandamiza mwanamke ?

Unaamini katika haki sawa au kufanana kwa haki ?
Labda huko nchi za uarabani ambazo ni non secular countries ambako wanatumia sheria za dini (hasa dini ya kiislam) kama sheria za nchi ndiyo mara nyingi kunakuwa na ukandamizaji wa wanawake

Lakini secular countries karibu zote hakuna sheria inayopendelea jinsia fulani na inayokandamiza jinsia fulani kwamba eti kitu akifanya mwanaume ni sawa ila akifanya mwanamke ni kosa hakuna
 
cariha Fibanochi
Nyie na hisi mnapendana ,'
au usikute ndo mmeoana mmekuja😀 kutuzuga hapa. Hebu kila mtu akampe shoo ya ukweli mwenzake leo. kesho ytaisha
 
Nayaheshimu mno mawazo yako ila ikumbukwe hata wewe mwenyewe hapo umeandika wanawasaidia waume zao...twende mbele turudi nyuma hlo ni jukumu la mume kulingana na andiko lako pia. Je msaada hujitokeza wakati gani? Ni dhahiri wanawake huyafanya hayo pale tu ambapo mume amekwama au kushindwa kuyatimiza kwa sababu yoyote ya kiuchumi na si vinginevyo ila bado haiwezi kupunguza ama kushusha wadhifa wa mume kwa mkewe
Ndiyo mke kumsaidia mume wala siyo shida. Shida ni je huyo mume ana tabia gani au je huyo mume naye anamsaidia mkewe majukumu yake mfano kazi za ndani.

Halafu siyo wanaume wote wanaosaidiwa na wake zao wanakuwa wamekwama
 
Kifupi Zoë unataka ndoa km ya wale wa Philippines au wa Korea kwenye zile series zao, si ndy?
 
Unampiga mwanamke kutuliza hasira na hujishughulishi ku sort tatizo?

Unakaa chini na kujadiliana nae?

Unauchuna tu?

Unamfukuza arudi kwao?

Unalipa kisasi?

Unatafuta watu wa kuwasuluhisha, Kama wazazi, mshenga, viongozi wa dini, Wana familia n.k?

Je, unaamini katika kupiga mwanamke ndy suluhisho au ndy kuongeza petrol ktk moto? Kama hupigi nini huwa unafanya ku prove ur point?
Hakuna njia hata moja hapo,
 
Kifupi Zoë unataka ndoa km ya wale wa Philippines au wa Korea kwenye zile series zao, si ndy?
Kwa bahati mbaya sana sitazamagi hizo series za kikorea wala kifilipino hivyo sijui ni ndoa gani unaongelea. Mie utanikuta kwenye movies za kimarekani au kiingereza tena za action au horror na siyo hizo drama au love story.

Una swali jingine mkuu wangu ??
 
Back
Top Bottom