Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

na ndio maana ya kulipia mahari
Yaani kamahari kako ka million kadhaa ndiyo ukamtese mtoto wa watu kwa miaka yote ya ndoa yenu ?? Mbona kabla hamjaoa huwa mnavihonga vile videmu vyenu mamillion zaidi hata ya mahari mnazotoa na hamvinyanyasi ??

Hebu msituchanganyie habari hapa
 
You have nailed it,na huu ndio ukweli kabisa sasa hiyo 50/50 sijui wataipataje,wanawake wanachekesha kwa kweli..zaidi ya mdomo mwiingi na umbea sijui kitu gani kingine wanawake wanaweza..maisha yakimpiga au yakiwa mabaya kwenye familia huwa hawana uvumilivu hapo atatumia kiungo cha chini ajikimu kumbuka hawa maisha yao ni ligi na kujilinganisha ni tofauti na wanaume tunapiga moyo konde na kupambana ila wakiwa na tuhela ndio utawasikia na hizi nyimbo za 50/50
Mbona wapo wanaume ambao nao wanatumia viungo vyao vya kutolea haja kubwa kama njia ya kujipatia kipato tena wako wengi tu hapa duniani ?? Na hapo tusemeje ??
 
Mbona wapo wanaume ambao nao wanatumia viungo vyao vya kutolea haja kubwa kama njia ya kujipatia kipato tena wako wengi tu hapa duniani ?? Na hapo tusemeje ??
Hao ndo ambao nyie mnawataka ili mpangiane hiyo 50/50 maana wameshindwa kusimamia uanaume
 
Yaani kamahari kako ka million kadhaa ndiyo ukamtese mtoto wa watu kwa miaka yote ya ndoa yenu ?? Mbona kabla hamjaoa huwa mnavihonga vile videmu vyenu mamillion zaidi hata ya mahari mnazotoa na hamvinyanyasi ??

Hebu msituchanganyie habari hapa
kwanza hakuna anaelazimishwa kuolewa kama ndoa ni mateso alafu uhalisia wake mateso hayapo ila ni utaratibu wa boss na mfanyakazi..
 
Hapana ,,,,two wrongs don't make it right....... Humuombi yeye radhi unaomba radhi kwa wote watakao guswa na kauli yako.......pamoja na umajununi wako, unaonekana una kauungwana kwa mbali, being humble doesn't cost you a thing, pls omba radhi!
Mkuu mbona nyie mmejumuisha karibia wanawake wote kwenye arguments zenu n a hamjatutaka radhi?
Kumbe nyie mkijumuishwa hivyo mnaumia??..
Kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
 
Unamjaza mwenzako ujinga tu, yaani kuomba radhi limekuwa suala la ajabu? Huoni Kama ame violate hata taratibu za JF kwa ku comment kitu ambacho kinaweza amsha hisia za watu un necessarily?

Ndy shida ya kutumia hisia zaidi klk maarifa.
Yaani anataka akupangie hadi namna ya kumuattack mtu
 
Umeelewa lkn alichoambiwa aombe radhi? It has nothing to do na issue za gander.
Mkuu mbona nyie mmejumuisha karibia wanawake wote kwenye arguments zenu n a hamjatutaka radhi?
Kumbe nyie mkijumuishwa hivyo mnaumia??..
Kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
 
Don't make everything about you my friend, ur statement inaweza hurt others wenye Imani ile na kuharibu uzi mzima, just be matured ànd apologize, sadly umefunga PM yako, ningekuja huko huko kukusihi.
Kwahiyo nyie attack zenu kwa wanawake mnaona ni sawa?
Ila hii ya huyu dada mnaona si sawa..

Yaani ni sawa na kumpangia huyu dada pa kumpiga adui.
Adui amempiga dada ngumi ya tumbo,dada akamtandika na teke la kichwani nyie mnasema hapana,usingempiga kichwani..ungempiga tumboni.
 
Marriage is the only prison in the world that allows you to choose your fellow cell mate.................................. So take extra precautions in doing so.
 
Unamjaza mwenzako ujinga tu, yaani kuomba radhi limekuwa suala la ajabu? Huoni Kama ame violate hata taratibu za JF kwa ku comment kitu ambacho kinaweza amsha hisia za watu un necessarily?

Ndy shida ya kutumia hisia zaidi klk maarifa.
Hata sija violate any rule ya JF nimejibu ukweli ule ni umalaya tu wa kimfumo dume. Hafu nyie wanaume kila siku mnafanya discrimination kwa wanawake humu JF Tena nitaanzisha Uzi hapa ili JF waseme na wao Wana support hzo discrimination zenu.
Hapo pa hisia umenichekesha mkuki kwa nguruwe eeeh mtamu nyie daily kuzalilisha wanawake huwa sio hisia, idio.t kweli nyie na bado
 
Unamjaza mwenzako ujinga tu, yaani kuomba radhi limekuwa suala la ajabu? Huoni Kama ame violate hata taratibu za JF kwa ku comment kitu ambacho kinaweza amsha hisia za watu un necessarily?

Ndy shida ya kutumia hisia zaidi klk maarifa.
Namjaza ujinga gani?
We umetunza wapi?

Kwani unadhani comments za upande wenu haziwezi kuamsha hisia za wengine???
 
Kwahiyo nyie attack zenu kwa wanawake mnaona ni sawa?
Ila hii ya huyu dada mnaona si sawa..

Yaani ni sawa na kumpangia huyu dada pa kumpiga adui.
Adui amempiga dada ngumi ya tumbo,dada akamtandika na teke la kichwani nyie mnasema hapana,usingempiga kichwani..ungempiga tumboni.
Hahaaa my dear Hawa wanaume wananifuraisha haki Yani wao kuzalilisha wanawake it's okay ni uvumilivu watakuja na verse za maandiko wakiguswa wao Sasa waombwe msamaha
 
Back
Top Bottom