johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,957
- 141,946
Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif amesema licha ya ACT Wazalendo kujiunga na SUK bado madai yao ICC yapo pale pale.
Maalim Seif amesisitiza kuwa anamwamini Rais Hussein Mwinyi na ana imani naye katika kujenga Zanzibar mpya.
Nadhani hizi zitakuwa ni habari njema kwa Chadema, Tundu Lisu na Robert Amsterdam.
Maendeleo hayana vyama!