Zanzibar 2020 Maalim Seif asema licha ya kuapishwa madai yao ICC yako pale pale!

Sijafahamu mahusiano ya nilichoeleza na wewe ulichokasirika hadi kutukana!

Nmekueleza Serikali ya umoja wa kitaifa Znz ni matokeo ya maelekezo ya NEC ya CCM kwa SMZ mwaka 2009 japo wakati huo kina Ally Shamhuna Senior Minister walikuwa wanakejeli wazo hilo hadharan kwa kusema Wanajua Mseto wa chakula sio wa Serikali, wapi nmeandika kuwa Amani Karume alikuwa hajulikani?

Lakin pia nakupa taarifa nyingine hata huyo Amani Karume alipata Urais kwa nguvu ya CCM bara mwaka 2000 kwa kuwa CCM Znz mgombea wao alikuwa Dr Gharib Bilal na ndie alieongoza kwny kura za Znz na Aman Karume akawa wa pili toka mwisho akimshinda Fatma Said Ally,

ilipofika Dodoma Meza ikapinduliwa akachaguliwa Amani, na ilipofika 2005 bado Dr Bilal akamkabili tema Amani Karume akalazimishwa na Mkapa pamoja na Philip Mangula ajitoe

Siku nyingine ntakutajia Team ya Kampen ya Amani Karume mwaka 2000 iliongozwa na kina Nani, ila kwa taarifa yako tu secretariet ya Team ya Ushindi wa karume 2000 kwny Kikao cha NEC Dodoma haikuwa na Mzanzibar hata mmoja kwa kuwa wote mgombea walievuka nae bahari kwenda kumpigania Dodoma alikuwa Bilal!


Unajua kilichomchefua Karume mwaka 2010 hadi kugeuka Inactive Member wa CCM? ni kupinduliwa tena Meza kwa kupigwa chini mtu wake Shamsi na kuwekwa Dr Shein
Nikueleze ukweli, haya unayosema ni maneno ya mitaani. Tangu mwanzo wapemba waliokuwa Serikalini walipigwa vita hasa wakati wa Komandoo. Nakumbuka Komandoo alimfokea Amani wakati fulani amfukuze msaidizi wake (msaidizi wa Waziri) ambaye alikuwa ni Mpemba. Amani alikataa na hakuwatimua wapemba katika wizara yake. Msukumo wa SUK ulianza kwa Amani ndiye aliyeuuza kwa CCM. JK aliubariki yakhe. Kuhusu Shamuhna ni kama wengine waunguja hadi kesho wanawapiga vita wapemba. Ndiyo maana JPM alimweleza Dr Mwinyi kuwa ukiwa Rais lazima Makamo (si makamu) wako atoke Pemba. Acha urongo kwa kumpamba JK aliyeangamiza taifa hili katika ufisadi wa kutupwa.
 
Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif amesema licha ya ACT Wazalendo kujiunga na SUK bado madai yao ICC yapo pale pale.

Maalim Seif amesisitiza kuwa anamwamini Rais Hussein Mwinyi na ana imani naye katika kujenga Zanzibar mpya.

Nadhani hizi zitakuwa ni habari njema kwa Chadema, Tundu Lisu na Robert Amsterdam.

Maendeleo hayana vyama!
Yaani Mzee kauachia ule wa kisailensa na kuwasha feni fasta.
 
Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif amesema licha ya ACT Wazalendo kujiunga na SUK bado madai yao ICC yapo pale pale.

Maalim Seif amesisitiza kuwa anamwamini Rais Hussein Mwinyi na ana imani naye katika kujenga Zanzibar mpya.

Nadhani hizi zitakuwa ni habari njema kwa Chadema, Tundu Lisu na Robert Amsterdam.

Maendeleo hayana vyama!
Huyo ni kijani kama vijani wengine
 
Ulitakaje labda?
Tundu Lissu Chadema walikuwa wrong kumchagua mgombea urais, alirudi Tanzania kwa ajili ya kuusaka urais tu hakujalisha waliompiga risasi kuwa wamekamatwa au la, alijitosa kwa sababu shida yake ilikuwa ni urais tu, na baada ccm kupika matokeo na kumtangaza Mkuu yeye hakuwa na interest tena ya kuwatetea wananchi waliomuamini kwa njia nyengine yoyote au kuungana nao kwenye yale madhila ya uchaguzi badala yake alijiripua ubalozi wa ujerumani eti mtu anayetaka kumuua amempigia simu na kurudi Ulaya ambako sasa yuko. Amewasabilia watu waliokuwa na matumaini kwake kwa watawala kwa chochote kitakachowakuta lakini yeye atakuwa hayupo Nchini anaishi ulaya.

Kiongozi mzuri huwa pamoja na watu wake kwa shida na raha, mfano mzuri maalim seif hakuwahi kuwakimbia wananchi wake, Bobi Wine wote wamechikichia nchini kwao wakiendelea kudai haki zao
 
Back
Top Bottom