Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,041
- 103,462
Hiyo ni kwa wanaotaka kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi.JokaKuu econonist zitto junior Tindo .....kilichoitokea ACT na nyie kinawasubiri, mshindani wenu hajawahi kuwa muungwana kwa yeyote.

JokaKuu econonist zitto junior Tindo .....kilichoitokea ACT na nyie kinawasubiri, mshindani wenu hajawahi kuwa muungwana kwa yeyote.
Chadema wapo sahihi kabisa. Vyama vya upinzani vinatakiwa kuwsusia CCM haya mambo ya uchaguzi wa kijinga.
Viongozi waandamizi na wanachama wake wakiwa wanashangilia mtandaoni na wala hawajakemewa nafikiri tunaweza kusema ni chamaCdm hutoa maamuzi Yake kupitia vikao, ni wapi wamekaa na kutoa taarifa ya kufurahia huo uhayawani wa kwenye uchaguzi? Huwezi kutofautisha chama na maoni ya mtu?
Huna ujualo boss, taarifa za chama huletwa na msemaji wa chama. Wanachama na mashabiki huongea maoni Yao.Viongozi waandamizi na wanachama wake wakiwa wanashangilia mtandaoni na wala hawajakemewa nafikiri tunaweza kusema ni chama
Mzee hivi tunaosema CCM wamefanya jambo fulani, kwani huwa wanakuwa wametoa taarifa rasmi kuwa wamefanya?Huna ujualo boss, taarifa za chama huletwa na msemaji wa chama. Wanachama na mashabiki huongea maoni Yao.
Ukweli wananchi bado hawana imani na wapinzani kwa hivyo siasa wao wanaona bora wapitie ccm tu. Yaani bora jini ulijualo. Pia wana matumaini makubwa atapatikana kiongozi mngine kama magufulu.Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo.
Maajabu ni kuwa viongozi wa chama kingine cha upinzani, CHADEMA, akiwemo mwenyekiti wao wa kanda ya kaskazini Godbless Lema wamekuwa wakishangilia hayo madhila waliyofanyiwa ACT na dola, huku wao wakitarajia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao katika mazingira haya haya.
Maswali yangu ni;
CHADEMA wao wamekuwa wakishiriki uchaguzi mkuu kila mwaka katika mazingira haya haya lakini ACT wao wakishiriki inawaona ni wasaliti, tawi la CCM.
CHADEMA haiamini katika uhuru wa vyama vingine vya siasa? Kwamba vyama vingine vya siasa vikifanya maamuzi kama wanavyofanya wao (kama kushiriki uchaguzi mkuu uliopita na ujao) wanakuwa ni tawi la CCM?
Kwahiyo mzee Sabaya aliposema wakichaguliwa wapinzani serekali haitapeleka maendeleo,ni maagizo ya ccm kwakuwa chama chake hakijamkea hadharani?Mzee hivi tunaosema CCM wamefanya jambo fulani, kwani huwa wanakuwa wametoa taarifa rasmi kuwa wamefanya?
Unaweza kusema hivyoKwahiyo mzee Sabaya aliposema wakichaguliwa wapinzani serekali haitapeleka maendeleo,ni maagizo ya ccm kwakuwa chama chake hakijamkea hadharani?
Una minutes za vikao vya chama chake vikiagiza hayo?Unaweza kusema hivyo
Sio kila kitu kina minutes mzeeUna minutes za vikao vya chama chake vikiagiza hayo?
Ogopa sana hoja za kulazimisha.Sio kila kitu kina minutes mzee
Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo.
Maajabu ni kuwa viongozi wa chama kingine cha upinzani, CHADEMA, akiwemo mwenyekiti wao wa kanda ya kaskazini Godbless Lema wamekuwa wakishangilia hayo madhila waliyofanyiwa ACT na dola, huku wao wakitarajia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao katika mazingira haya haya.
Maswali yangu ni;
CHADEMA wao wamekuwa wakishiriki uchaguzi mkuu kila mwaka katika mazingira haya haya lakini ACT wao wakishiriki inawaona ni wasaliti, tawi la CCM.
CHADEMA haiamini katika uhuru wa vyama vingine vya siasa? Kwamba vyama vingine vya siasa vikifanya maamuzi kama wanavyofanya wao (kama kushiriki uchaguzi mkuu uliopita na ujao) wanakuwa ni tawi la CCM?
ACT kwa Chadema ni sawa na Tembo vs Kiroboto, hebu waandamane tuone.Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo.
Maajabu ni kuwa viongozi wa chama kingine cha upinzani, CHADEMA, akiwemo mwenyekiti wao wa kanda ya kaskazini Godbless Lema wamekuwa wakishangilia hayo madhila waliyofanyiwa ACT na dola, huku wao wakitarajia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao katika mazingira haya haya.
Maswali yangu ni;
CHADEMA wao wamekuwa wakishiriki uchaguzi mkuu kila mwaka katika mazingira haya haya lakini ACT wao wakishiriki inawaona ni wasaliti, tawi la CCM.
CHADEMA haiamini katika uhuru wa vyama vingine vya siasa? Kwamba vyama vingine vya siasa vikifanya maamuzi kama wanavyofanya wao (kama kushiriki uchaguzi mkuu uliopita na ujao) wanakuwa ni tawi la CCM
Jitahidi sana kwenye jamii usiitwe mchawi ukishaitwa mchawi na majirani zako hilo jinamizi halitoki ng'ooo. Kwahiyo hata ufanyeje ACT hasafishiki, ni msaliti na ataendelea kuwa msaliti mpaka kufa kwake.Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo.
Maajabu ni kuwa viongozi wa chama kingine cha upinzani, CHADEMA, akiwemo mwenyekiti wao wa kanda ya kaskazini Godbless Lema wamekuwa wakishangilia hayo madhila waliyofanyiwa ACT na dola, huku wao wakitarajia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao katika mazingira haya haya.
Maswali yangu ni;
CHADEMA wao wamekuwa wakishiriki uchaguzi mkuu kila mwaka katika mazingira haya haya lakini ACT wao wakishiriki inawaona ni wasaliti, tawi la CCM.
CHADEMA haiamini katika uhuru wa vyama vingine vya siasa? Kwamba vyama vingine vya siasa vikifanya maamuzi kama wanavyofanya wao (kama kushiriki uchaguzi mkuu uliopita na ujao) wanakuwa ni tawi la CCM?
Kwahiyo chama ni ccm tu au??Viongozi waandamizi na wanachama wake wakiwa wanashangilia mtandaoni na wala hawajakemewa nafikiri tunaweza kusema ni chama
Hao wazee wa SUK wako kimaslahi na vigeugeu geu wanauma nakupuliza Acha yawakute wako kimkakati kufubaza upinzaniKuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo.
Maajabu ni kuwa viongozi wa chama kingine cha upinzani, CHADEMA, akiwemo mwenyekiti wao wa kanda ya kaskazini Godbless Lema wamekuwa wakishangilia hayo madhila waliyofanyiwa ACT na dola, huku wao wakitarajia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao katika mazingira haya haya.
Maswali yangu ni;
CHADEMA wao wamekuwa wakishiriki uchaguzi mkuu kila mwaka katika mazingira haya haya lakini ACT wao wakishiriki inawaona ni wasaliti, tawi la CCM.
CHADEMA haiamini katika uhuru wa vyama vingine vya siasa? Kwamba vyama vingine vya siasa vikifanya maamuzi kama wanavyofanya wao (kama kushiriki uchaguzi mkuu uliopita na ujao) wanakuwa ni tawi la CCM?
Jitahidi sana kwenye jamii usiitwe mchawi ukishaitwa mchawi na majirani zako hilo jinamizi halitoki ng'ooo. Kwahiyo hata ufanyeje ACT hasafishiki, ni msaliti na ataendelea kuwa msaliti mpaka kufa kwake.