Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,881
- 93,648
Hatari snNaona chama Cha mboga mboga,kinazidi kuonesha makali yake kwa Chama chake shiriki kule Zanzibar.
Hatari snNaona chama Cha mboga mboga,kinazidi kuonesha makali yake kwa Chama chake shiriki kule Zanzibar.
Well saidCcm nguvu inazotumia kumaintain power, ingekua inatumia kwenye development hii nchi ingekua kama kalifonya
KabisaHu mnafiki, punguza unafiki ili ukutane na pepo
Watu hawashangilii wizi wa ACT ibiwa kura wanashangilia unafiki wa ACT na kama sio ujinga ,
Chadema nao wamekuwa wakishiriki chaguzi zote kuu na kulalamika wanaibiwa kura tangia mwaka 1995Ukiwasusia nyani shamba la mahindi wanatafuna yoote kwa vigelegele.
Tatizo ni kuwa vyama vichache makini vikisusia uchaguzi, vile vyama chawa vya ccm vitashiriki, halafu itaonekana vyama vingi vimeshiriki na ccm itapewa ushindi wa "kishindo" wa mchongo kama siku zote
Sijasema iisadie nimeshangaa tu wanashangiliaCCM waibe kura kwa usaidizi wa vyombo vya dola, unataka Chadema ifanye nini kuisadia ACT - Wazalendo?
Chadema watashiriki kama kawaida chaguzi zijazoWatanzania tuache kuwa misukule wa ccm, kwa pamoja tugome na tukatae kushiriki kwenye hizi takataka zao wanazoita chaguzi ili watawale rasmi pasipo ridhaa ya wananchi.
Tumechoka na hujuma katika chaguzi kila siku.
Unafiki wa ACT ni upi?Hu mnafiki, punguza unafiki ili ukutane na pepo
Watu hawashangilii wizi wa ACT ibiwa kura wanashangilia unafiki wa ACT na kama sio ujinga ,
Mkuu naomba tujurishe hivyo vyama vichache makini ili angalau nichague kimoja nijiunge nacho.Tatizo ni kuwa vyama vichache makini v
Naweka kambiMkuu naomba tujurishe hivyo vyama vichache makini ili angalau nichague kimoja nijiunge nacho.
Cdm hutoa maamuzi Yake kupitia vikao, ni wapi wamekaa na kutoa taarifa ya kufurahia huo uhayawani wa kwenye uchaguzi? Huwezi kutofautisha chama na maoni ya mtu?Sijasema iisadie nimeshangaa tu wanashangilia
ULITAKA WALIE? CCM na ACT ni Mtu na mtoto wakeKuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo.
Maajabu ni kuwa viongozi wa chama kingine cha upinzani, CHADEMA, akiwemo mwenyekiti wao wa kanda ya kaskazini Godbless Lema wamekuwa wakishangilia hayo madhila waliyofanyiwa ACT na dola, huku wao wakitarajia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao katika mazingira haya haya.
Maswali yangu ni;
CHADEMA wao wamekuwa wakishiriki uchaguzi mkuu kila mwaka katika mazingira haya haya lakini ACT wao wakishiriki inawaona ni wasaliti, tawi la CCM.
CHADEMA haiamini katika uhuru wa vyama vingine vya siasa? Kwamba vyama vingine vya siasa vikifanya maamuzi kama wanavyofanya wao (kama kushiriki uchaguzi mkuu uliopita na ujao) wanakuwa ni tawi la CCM?
Hakuna uchaguzi ni takataka tu hizo.Chadema watashiriki kama kawaida chaguzi zijazo
Siasa mchezo mchafu smart
Vyama vya siasa zaidi ya 19 vitaiunga mkono CCM uchaguzi Mkuu ujao 🐒Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo.
Maajabu ni kuwa viongozi wa chama kingine cha upinzani, CHADEMA, akiwemo mwenyekiti wao wa kanda ya kaskazini Godbless Lema wamekuwa wakishangilia hayo madhila waliyofanyiwa ACT na dola, huku wao wakitarajia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao katika mazingira haya haya.
Maswali yangu ni;
CHADEMA wao wamekuwa wakishiriki uchaguzi mkuu kila mwaka katika mazingira haya haya lakini ACT wao wakishiriki inawaona ni wasaliti, tawi la CCM.
CHADEMA haiamini katika uhuru wa vyama vingine vya siasa? Kwamba vyama vingine vya siasa vikifanya maamuzi kama wanavyofanya wao (kama kushiriki uchaguzi mkuu uliopita na ujao) wanakuwa ni tawi la CCM?
JokaKuu econonist zitto junior Tindo .....kilichoitokea ACT na nyie kinawasubiri, mshindani wenu hajawahi kuwa muungwana kwa yeyote.Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo.