brazaj , asikudanganye mtu, hii ni international pressure. Bila hivyo haya majitu yasingelisalimu amri. Ndiyo maana nasema hata kesi ya Mbowe, Lisu has to go around the democratic world to request them to pressurize Samia to drop these fabricated charges against MboweKumekuwa na kelele nyingi za watu kuashiria kutoridhika na agenda kadhaa za serikali.
Rejea misimamo ya serikali na wapambe wao kwenye:
1. Uwepo wa Corona
2. Umuhimu wa kuchukua tahadhari dhidi ya Corona
3. Uhitaji wa chanjo dhidi ya Corona
4. Umuhimu wa wanafunzi wanaopata mimba kurejea shule.
Ikumbukwe tumepita huku:
View attachment 2022822
Kwamba leo tuko hapa:
View attachment 2022824
Kipi walicho tunyanyapaa nacho, walikomaa nacho hadi mwisho?
Tutafika tu. Kwani wala ipo hiyana basi? Ya msingi zaidi yanayobakia:
I. Mbowe siyo gaidi
II. Tunataka katiba mpya.
Hawa ni suala la muda. Tutaelewana tu.
View attachment 2022825
Kwamba leo ajira zimeongezeka?
Labda kama ni mahsusi kwa ajili ya kuwaambia ndege.