Maajabu ya Serikali ya CCM kusalimu Mwishoni

I don't. Why should I? Kuajiriwa au kujiajiri zote ajira tu mkuu.
No, si sawa and thats the biggest problem.
Mwakiriwa analipwa, promptly, mwisho wa mwezi na kodi zake zinakusanywa na mwajiri wake kuziwasilisha TRA.
Acha Uongo Biashara gani au BIASHARA za MACHINGA?
Nenda kaajiriwe mgambo Halmashauri inayotegemea kodi za biashara..
Hata kirungu hutopewa
 
No, si sawa and thats the biggest problem.
Mwakiriwa analipwa, promptly, mwisho wa mwezi na kodi zake zinakusanywa na mwajiri wake kuziwasilisha TRA.
Nenda kaajiriwe mgambo Halmashauri inayotegemea kodi za biashara..
Hata kirungu hutopewa

Angalia hapa:

IMG_20211125_104553_412.jpg

List hiyo ina wote kuanzia Samia, mgambo wa jiji bila shaka hadi kahaba 😁😁.
 
Angalia hapa:

View attachment 2023685

List hiyo ina wote kuanzia Samia, mgambo wa jiji bila shaka hadi kahaba 😁😁.
Ha ha ha!
Mkuu unaamini maneno ya mzee wetu huyu?
Toka aseme mpendwa wetu JPM anapiga kazi Ikulu, huku akijua kuwa amesha aaga dunia, haaminiki sana.
Tanzania mpaka 2016 waajiriwa wote nchini walikuwa 2.6 million(Tanzania Bureu of tatistics), sasa kipindi cha Awamu ya Tano ati wameajiriwa wengine karibu milioni 20?
Ngumu kumesa.
Tazama trend ya ajira Tanzania.
tanzania-employed-persons.png
 
Back
Top Bottom