kikokotoleo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 465
- 417
Vipi bomoa bomoa hawajaongelea.
AhahahaaaaaMkuu hongera kwa kumiliki chumba na sebule, wengine CCM alichotufanya mmmh.
Jiulize kwanza, Chadema mlimtoa wapi Lowassa?KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?
Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.
Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
KIPINDI: Malumbano ya Hoja

Balile na Mwalimu!Likipindi libovu sijui yameokotwa wapi hawa maswaswa, kuna baadhi kama 2 tu wanajaribu kuwa tofauti na wengine
Taifa la waoga ukikosoa Nissan nyeupe ipo nyuma yako
Mpaka mizengwe hamna kitu, kwenye tv uwa naangalia BBC dira tv, baada ya hapo basi watoto wanajinoma na katuniITV kwasa sasa haifai kwa lolote
ITV= TBC, WAPUUZI WAKUPUUZWA HAWAFAI
Umejuaje kuwa sijawahi kwenda pale?Mbona WEWE.hujaenda mkuu ukatoe hizo critical points umekaa kuandika tu hapa JF.....halafu unalaumu wezako.