Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,642
- 21,266
Huenda washiriki wote walipewa semina elekezi kabla kipindi hakijarushwa hewani
[emoji23][emoji23][emoji23] wapoVipi Rais wa bao na yule Askari mstaafu mwenye mapengo yupo? kwani huwa hawakosi kila mada anajua
WajingaVipindi vya TV vimejaa wajinga
Wamenchefua mie, nimeingia zangu chumbani kulala.
Tumekuwa Taifa la wanafiki mno
duh hawa wazee wastaafu tu tumeshawasikia inatosha[emoji23][emoji23][emoji23] wapo
Na hiyo si ndio tv ya Bavicha imekuwaje leo mnailaumu?Wamenchefua mie, nimeingia zangu chumbani kulala.
Tumekuwa Taifa la wanafiki mno
Mkuu hongera kwa kumiliki chumba na sebule, wengine CCM alichotufanya mmmh.
AZAM WATAITAWALA HII NCHI! TBC NAYO NDIO OVYO KABISA!Na hiyo si ndio tv ya Bavicha imekuwaje leo mnailaumu?
Na hiyo si ndio tv ya Bavicha imekuwaje leo mnailaumu?
Mbona WEWE.hujaenda mkuu ukatoe hizo critical points umekaa kuandika tu hapa JF.....halafu unalaumu wezako.Nadhani wale jamaa huenda wameajiriwa ili kulipwa na ITV kuwa washiriki wa kudumu katika kipindi chao cha malumbano ya hoja
Ha haaaMkuu hongera kwa kumiliki chumba na sebule, wengine CCM alichotufanya mmmh.