Maajabu ya mjadala ITV, watu wote wana mawazo sawa

Maajabu ya mjadala ITV, watu wote wana mawazo sawa

Tanzania imekua taifa la wajinga. Msomi na asie msomi wote wako sawa.
Njaa mbaya, hebu fikiria enzi za mwakyembe na sasa hivi, utadhani mganga wakienyeji, hata pale magu alipo mshushua kuhusu kila muoaji awe na cheti cha kuzaliwa, jamaa aliishia kukenua meno na kupotezea, hapo ujue njaa haiwezi kuacha mtu akawa na mawazo mbadala, especially pale unapokuwa huna uwezo wa kujitafutia chakula, kila kitu ni ndiyo mzee
 
Umejuaje kuwa sijawahi kwenda pale?
Unanifahamu?

Kama hujui tu, ukienda pale ITV kuna haya...
1/Kama wanakujua wewe msimamo wako ni mkali dhidi ya serikali kwa sasa hutaruhusiwa kushiriki.

2/Kabla ya Kipindi kwenda hewani kuna maangalizo maalum unapewa(Kuna mambo hutaruhusiwa kabisa kuyazungumza)
Sikufahamu...........mkuu wala sina haja ya kukufahamu .
 
Mimi nimezima TV baada ya kuyaona hayo sikuwahi kudhani hata siku moja kuwa watz wengi wana mawazo ngando kiasi hicho magu hatapata maendeleo kwani wote wanamuunga mkono hata kwa kubomoa nymba za kimara na kuzuia za mwanza yote ni busara hata akivua nguo watamuunga mkono hawa watu waajabu sana sijui wamelogwa na nani hawa
 
Vipi Rais wa bao na yule Askari mstaafu mwenye mapengo yupo? kwani huwa hawakosi kila mada anajua
Hasa hao hawana kazi raisi atawaonaje ili awape hata udiwani wa kuteuliwa pale ndipo kuna kioo cha kuonekana mkuu
 
Wamenchefua mie, nimeingia zangu chumbani kulala.

Tumekuwa Taifa la wanafiki mno
Haujazidi unafiki wa yule jamaa aliegundua tunahitaji katiba mpya juzi baada ya kuikataa kwa miaka zaidi ya 15 alipokuwa mbunge na waziri. Na yule mwingine aliyegundua umuhimu wa katiba mpya baada ya kukatwa kugombea URAIS.
Sijui tukimbilie wapi, maana kote wamejaa haohao.
 
an
Hasa hao hawana kazi raisi atawaonaje ili awape hata udiwani wa kuteuliwa pale ndipo kuna kioo cha kuonekana mkuu
ITV wawafungulie hawa wazee hata mradi wa kuku wafuge kwani wanawapa kampani sana kila alhamisi wanalala usiku mnene au wanapewa nauli pia nini
 
Wamehongwa tu hao ili ionekane huyu raisi anapendwa.kumbe hapendeki hata,na ardhi ya nchi kwa jinsi anavyoimwagia damu za wasio na hatia ! Kila kitu nchini kinamchukia nakachokwa vibaya mno !.
Si kama wamehongwa ndg yangu ila ukiangalia wengi pale uwezo wao wa kujenga hoja kulingana na mada husika ndo lilikua tatzo uwezo wao mdogo wengi walikua wanasifia tu bila ufafanuzi na si kutoa mafanikio na changamoto,,,, mfano kuna bnti alijitambulisha kama katibu wa uvccm mahala fulan badala ya kujenga hoja kuonesha mafanikio na changamoto kapga siasa oooooh magufur vijna tuko nyuma yako mara magazet yafungiwe hoja mbovu....uwezo mdogo wa kufukiri hutoa hoja mbovu
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
Kwa nini wewe hukuenda kumkosoa?
 
Ma ndezi kweli wamepangwa,Wanaongea pumba tupu.
Jingine linasema wingereza kwa siku wanakufa watu elfu tano.
Aibu taifa linageuka la mandezi
Kituko waliandaliwa hawa kabla hujaruhusiwa unahojiwa upande gani wewe ccm acdm ccm ndani cdm out pole yao sasa naanza kufumbuka kuwa kwanini watazamaji wa itv wamehamia azam tv kumbe itv ni tbc 3
 
Poleni sana kwa kupoteza muda wenu wa thamani kutazama hizo takataka.

Wanataka kurudisha watu enzi za RTD Nyerere na Pugu road.

Taifa moja, sauti moja lakini hilo halitofanikiwa.

Watafanikiwa tu kiasi kuwashika haohao na media zao uchwara wengine wenye fikra pevu tutaendelea tu kupaza sauti za kukosoa na kupinga udhalimu hadi pale HAKI itamalaki.
 
Si kama wamehongwa ndg yangu ila ukiangalia wengi pale uwezo wao wa kujenga hoja kulingana na mada husika ndo lilikua tatzo uwezo wao mdogo wengi walikua wanasifia tu bila ufafanuzi na si kutoa mafanikio na changamoto,,,, mfano kuna bnti alijitambulisha kama katibu wa uvccm mahala fulan badala ya kujenga hoja kuonesha mafanikio na changamoto kapga siasa oooooh magufur vijna tuko nyuma yako mara magazet yafungiwe hoja mbovu....uwezo mdogo wa kufukiri hutoa hoja mbovu
Imekuwa zidumu fikra za mwenyekiti nchi hii haitakaa iendelee kama vichwa ndio hivyo
 
Si kama wamehongwa ndg yangu ila ukiangalia wengi pale uwezo wao wa kujenga hoja kulingana na mada husika ndo lilikua tatzo uwezo wao mdogo wengi walikua wanasifia tu bila ufafanuzi na si kutoa mafanikio na changamoto,,,, mfano kuna bnti alijitambulisha kama katibu wa uvccm mahala fulan badala ya kujenga hoja kuonesha mafanikio na changamoto kapga siasa oooooh magufur vijna tuko nyuma yako mara magazet yafungiwe hoja mbovu....uwezo mdogo wa kufukiri hutoa hoja mbovu
Umenena vyema..!

Je! hili linatoa mtazamo ya kwamba asilimia kubwa ya watanzania ni weupe kichwani(uwezo wa kujenga hoja ni mdogo)..?
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
Yupo amepingana naye kuna kale kakurugenzi kakamdisi huwezi kwenda mbele ukarudi nyuma akatolea ka mfano ka mkopo waliokopa kwa ajili ya kuendeleza ujuzi kwa watanzania kupanda ngazi ya kwenda kwenye ghorofa ya viwanda akisahau kwamba viwanda si ujuzi tu ni mchanganyiko wa vitu vingi.
 
Kwasasa bila kumpa sifa mtukufu hujaweza kuishi na ndio nyerere alitoa ushauri kwamba woga ukizidi utakuwa unafiki na kujipendekeza. Kuna ka Dada kalisimama nikatamani nivunjr TV watotot wakanambia baba si tunaangalia nikasema basi tu. Watu wanajioendekeza sana na kusahau uhalisia wa kinachoendelea
 
Back
Top Bottom