Maajabu ya mjadala ITV, watu wote wana mawazo sawa

Taarifa nilizo nazo ni kwamba wanachuo wote ktk vyuo vyote nchini, kuanzia mwakani wataanza kuvaa uniform rangi ya njqno na kijani.
Ahahahahahahahahahaha nimecheka hadi nimedondosha cm yng kioo kimevunjika nakutafuta unilipe cm yng
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
....asavali ya ng'ombe kuliko hawa!!
 
Ha ha ha wapo kwa kazi maalum. Uhuru wa kujieleza haupo nissan nyeupe na kupelekwa kwa pilato ukikosoa ndio vinawafanya watafute lugha ya kupamba.
 
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
Wote nahisi wamesetiwa nahawafikirii wengine Leo ciment kigoma ni 18000 kwa mfuko kila kitu kipojuu nazungumzia bidhaa za madukani tu unakimbilia kukununua ndege 6 badala kutengeneza reli kwa haraka ilibidhaa zishuke bei wanyonge wapate nafuu unaanza nakupeleka mwanza reli ambapo kunakilaaina yausafiri bado unaacha kigoma pamoja nachangamoto zilizopo zausafiri bado bandari imesafirisha mzigo mkubwa kuliko mwanza Mimi sidhani kama maingizo ya ndege kama yanaweza kuzidi reli kamaikitumiwa vizuri elimu sisi wananchi kilio kikubwa sio kupewa bure elimu tunataka iwebora sasa ndani yahiyo miaka miwili elimu imekuwa bora ukiangalia shule zetu za serekali? Hayoyote walipaswa wajadili tusiwe watu wakusifia nakushangila tunaenda sawa kwasababu Fulani katimuliwa ndio tunashangilia tuwewatu wakufatia na kuangalia Tija nitarudi
 
Back
Top Bottom