Wasaka tonge hao..Haujazidi unafiki wa yule jamaa aliegundua tunahitaji katiba mpya juzi baada ya kuikataa kwa miaka zaidi ya 15 alipokuwa mbunge na waziri. Na yule mwingine aliyegundua umuhimu wa katiba mpya baada ya kukatwa kugombea URAIS.
Sijui tukimbilie wapi, maana kote wamejaa haohao.
Pole pole watazamaji wanahamia Azam tv bila kusukumwaKumbeeee... Sikuwa nafahamu mbona!!
Anzisheni stesheni yenu mjikusanye mabavicha yote yanayopenda kupinga na kubishana kila siku.
Sasa na wewe mbona unatokwa povu la Omo?Hujajenga hoja ila umetoa povu. Nanii wenu kilaza na anaua kila kitu, siku ukianza kutembea bila pichu ndo utaelewa
Yule jamaa sidhani kama alikua anakijua alichokua anakiongea na kuaminisha kwa msisitizo
Kweli kabisaITV wangekuwa na Kipimo / Kifaa ' maalum ' cha kuwapima ' akili ' Wahudhuriaji wa Malumbano ya Hoja kila Alhamisi nadhani ingesaidia mno tofauti na ilivyo sasa.
ITV wangekuwa na Kipimo / Kifaa ' maalum ' cha kuwapima ' akili ' Wahudhuriaji wa Malumbano ya Hoja kila Alhamisi nadhani ingesaidia mno tofauti na ilivyo sasa.