ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 13,827
- 27,257
Tukiongelea matatizo CCM ina leta comparison za duniani huko ni hivi hivi, tukija kwenye Uhuru na democracy mnasema hii nchi ni yetu tuna mambo yetu sio lazma tufanye kama wengine. . hovyo kabisaAjira ni tatizo la dunia nzima wala usijidanganye kuwa Chadema wakibahatika kuchukua nchi watamaliza tatizo la ajira Tanzania.
Pia wapinzani mmekua mkilia kuwa katiba inakandamizwa wakati huo huo unasahau kuwa katiba imetoa uhuru kwa mwananchi yeyote kuchagua kuwa mwanachama wa chama chochote kadri itakavyompendeza.