Ma Powderrrrrrrrrrr | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ma Powderrrrrrrrrrr

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bushbaby, Apr 19, 2012.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  dina.JPG

  Hivi huko dada zetu wanapoendaga kupambwa hakunaga vioo? hapo atamlaumu aliyempamba...kwani yeye alikuwa hajioni? angalia uso na mabega.......!!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  mJOMBA kinachomatter ni reception!
  Huko kwingine ni wewe utachanganya na zako!
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kajitahidi anakoelekea sasa ni kwa sauda mwilimA.
   
 4. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mwenzio anaona kapendeza.
  OTIS
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  jaman mwachen dina marios wangu
  alienda kufuta lakin ata mwenyewe alijishtukia....
  kwanin upake poda?wanja? 2me noooooooooooooooooooooooooooooo.....oga fresh paka body care yako na kanguo kako kamenyoshwa then ahhhh mzuri wewe simpooooooooooooooooo ....mnajikandika madudu km udongowa mfinyaz ili iweje?  nw nw atamkuta mwilima....kijiuso km anachungulia dirishan(kwa ruhusa ya gea)
   
 6. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kichefuchefu! Oops sorry "kigeugeu"...
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Lol.....
   
 8. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Huyu uliyemtaja sijui ni lini atapatia mtu wa kumremba vzr....
   
 9. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hamna jipya hapa, miguu pepsi mikono mirinda
   
 10. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  bora angebaki natural bila kupaka chochote hiyo powder ya Dubai imemtoa nishai kwa kweli..
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0


  mhh jaman uyu apana
  wala ajikoboi ni uko kupenda kwao kurembwa bure na saloon wanazozirusha ndo kunaawaponza....unarembwa na mwarabu sjui mchina unategemea nin?  dina mwaya una ngozi nzur cha msing achana na mapouda...paka simple vaseline utapendeza ayo mapouuuuuuuuuuuuuuuuuda waachie wenyewe magume gume ya mjin

  UZUR WA MWANAMKE UPO KWENYE

  1.KUJIAMNIN
  2.AKILI KICHWAN
  3.KUJUA WAT TO DO WHERE N WEN
  4.KUWA NA HURUMA NA UTU


  IN SHOT UZUR WA MTU UPO NDANI SI NJE MAMA ...msijidanganye na mawanja na mapoda ayo km ukuta uliopakwa sadolin:A S 576:

  my dear kaa na ant sadaka akupe falsafa ya uzuri..au ata km una weza ku google ebu chek ARISTOTLE,PLATO NA SOCRATE wanazungumziaje ju ya kitu uzuri....


  urembo unaendana na hadhi ya mtu...sasa mtu km wew unajiremba km naniniiiiii mhh m afraid afu mnavyojifanya mnajua kila kitu redion mnachambua kumbe kwenye practical nehhhhhhhhhhhhhhhhh
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  uyu mpk siku atakapojikubal ndo atapendeza lasi vyo ataendelea kuwa kinyago cha mpapure mpk siku anakanumba
   
 13. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Yaani hapo ndo ameharbu kabisa.Huo uso umekuwa kama wa ... Anataka kuwa mweupe wakati yeye mweusi. Huu ni ulimbukeni.
   
 14. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160


  hata arembwe na Iman yule supa modal! ng'o hawezi pendeza maana mkorogo wake sio wa lotion ni wa vidonge nadhani, so impakt huwa ni kubwa! kuna mahali nimepita nikakuta mtu kacoment kuwa picha aliyopiga na dida kwenye harusi yake ni kama defao na madilu! kwi kwi kwi! nimecheka sana!
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Urembo unawazidi nguvu wasichana!!

  MUBA(Mkasi EATV) na DINA(LeoTena Clouds FM)
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Kapendeza uzuri hatumii mkorogo huyu ni natural beauty
  Black beauty huyu
   
 17. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Weupe ni tiketi ya kuolewa siku izi.
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Bora asifike huku maana mmmmh
  Ni kweli hawa hawafanyiwi operation?
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Huyu hapa dah mchina anaharibu sana dada zetu jamani kha!
   
 20. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  mhh uyu atakuja kumomonyoka km maiko jakison....lol is t make up o?
   
Loading...