Ma Powderrrrrrrrrrr

Ma Powderrrrrrrrrrr

Chezea mpododo wewe
Kusoma kati kati ya mstari huwezi hata picha kuangalia huwezi?
Check mpododo huo nyama lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ahh gavanawa manzese nw nimekupata....kumbe waongelea ukurasa wa3...ok:usa:
 
View attachment 52052

Hivi huko dada zetu wanapoendaga kupambwa hakunaga vioo? hapo atamlaumu aliyempamba...kwani yeye alikuwa hajioni? angalia uso na mabega.......!!

Kanikumbusha taarab ya zamani kidogo KINYAGO CHA MPAPURE🙂.

Hivi Bwana Harusi haruhusiwi kuyafuta kama akiona mwenzake anakuwa kama KINYAGO?
 
Haya mambo yana wenyewe, hawa wadada kwa kukandia wenzao kwenye kipindi chao basi utafikiri ni Prof. kwenye nyanja zote. Uliza status zao kindoa, ki kuvaa nk. mashuzi matupu!

umeona enhh?
wanajua kuchambua yaan utasema dah awa watu hawanaga makosa.awakosei lakin dah kila nikimchek bdada kwenye outng zake dah naona aibu nataman kumuita nimpe tips ..apendezzzzzzzzzzzzzzzzzzz...the only thng anapendeza akivaa simpo lakin akijitia ohh nishapewa kitenge nanan sjui nw natafuta mshono na fund ahh sasa msubirie kwenye uo mtoko dahh utaopmba likizo kumwangalia

wanajifanya wanajua kila kitu kumbe dahhhh wapo karne ya 3AD

wapunguze ujuaji wawe wa kawaida

mtu km ukiwa low i dnt thk if pipo wl poit @u lakin ukijifanya wewe ndo namna gan vp ahh lazima wanadamu watake kuprove manneo yako

AJITAMBUEUMBO LAKE NA alitendee hakibas atakuwa bomba....sasa nikimchek mtu mwenyewe utasema kulwana dotona mimi then anataka kutoka kimodel jamana kweli?

TUJIKUBALI WANAWAKE...

na aache kujifanya mwalimu wa chuokikuu kumbe ni mwanafunzi wa chekechea semester ya kwanza tu.....😛uke:
 
mhh...me ndio maana naogopa madem wa kisasa.
 
Kanikumbusha taarab ya zamani kidogo KINYAGO CHA MPAPURE🙂.

Hivi Bwana Harusi haruhusiwi kuyafuta kama akiona mwenzake anakuwa kama KINYAGO?

kwa waislamu suna ..weeeeeeeeeeee futa uone no ndoa:msela:
 
mhh...me ndio maana naogopa madem wa kisasa.

usigeneralize bana
si wote watumwa wa KUTOJIAMIN
apa nilipo chongo nakwambia lakn dahh navyojiona mzur akuna tena
sipak chochote ngozi km ukuta wa shule ya mkanyagen lakin mhh achaaaa najiona msupaaaaaaaaaaaaaaaaaa

ni kujiamin tu mengneyo yatafata
 
Nionavyo mimi Dina anauzuri tatizo tu ni make ups zilizojaladia uso, kwa mwilima na huyo mwenzie huwez hata kutazama mara mbili manake hiyo ni kiboko. Ila kama mwilima anasoma hizi threads basi aache kujichubua halafu aende kwenye clinic za ngozi anunue dawa za kumsaidia kurudisha ngozi yake, iwe vizuri.
 
Nionavyo mimi Dina anauzuri tatizo tu ni make ups zilizojaladia uso, kwa mwilima na huyo mwenzie huwez hata kutazama mara mbili manake hiyo ni kiboko. Ila kama mwilima anasoma hizi threads basi aache kujichubua halafu aende kwenye clinic za ngozi anunue dawa za kumsaidia kurudisha ngozi yake, iwe vizuri.


ahh kwa mwilima kwsha habar yakeeeeeeeeeeeeeee.....yule akiacha kujichubua atakuwa km kababuliwa na shot ya umeme

asubiri kumomonyoka tu ila:hail:jalia
 
Huyu dada kumbe huwa ana mpododo eenh?Hebu mwageni maphoto wadau tujionee!!
 
mhh jaman uyu apana
wala ajikoboi ni uko kupenda kwao kurembwa bure na saloon wanazozirusha ndo kunaawaponza....unarembwa na mwarabu sjui mchina unategemea nin?



dina mwaya una ngozi nzur cha msing achana na mapouda...paka simple vaseline utapendeza ayo mapouuuuuuuuuuuuuuuuuda waachie wenyewe magume gume ya mjin

UZUR WA MWANAMKE UPO KWENYE

1.KUJIAMNIN
2.AKILI KICHWAN
3.KUJUA WAT TO DO WHERE N WEN
4.KUWA NA HURUMA NA UTU


IN SHOT UZUR WA MTU UPO NDANI SI NJE MAMA ...msijidanganye na mawanja na mapoda ayo km ukuta uliopakwa sadolin:A S 576:

my dear kaa na ant sadaka akupe falsafa ya uzuri..au ata km una weza ku google ebu chek ARISTOTLE,PLATO NA SOCRATE wanazungumziaje ju ya kitu uzuri....


urembo unaendana na hadhi ya mtu...sasa mtu km wew unajiremba km naniniiiiii mhh m afraid afu mnavyojifanya mnajua kila kitu redion mnachambua kumbe kwenye practical nehhhhhhhhhhhhhhhhh


rose nimependa comments zako plse niPM kuna zawadi yako:msela:
 
Mimi nilidhani ni yale manbo ya mwakyembe, Pollunium 210?, Popular Screloderma? kumbe ulembo! kwisha habari yangu.
 
Back
Top Bottom