Ma Powderrrrrrrrrrr

Kapendeza uzuri hatumii mkorogo huyu ni natural beauty
Black beauty huyu

ajapendeza.
ana ngozi nzuri lakn nadhan ajiamin so anataka kujidabika km wenzake na ndio apo anapojiaribu..angebak NECHERAR ahh angekuwa bomba lakin ndo ivo tena KUTOKUJITAMBUA ni tatizo la kitaifa
 
mhh uyu atakuja kumomonyoka km maiko jakison....lol is t make up o?

yaani hapo ndio kapendeza mpaka mwisho ndio yuko hivyo, je ukimkuta wakati anaamka asubuhi, with no make up, no nothing si ni balaa hili jamani! na akifanyiwa oparation anashoneka kweli huyu?? mmmhh!
 
hamna jipya hapa, miguu pepsi mikono mirinda

jamani Dina hajichubui,kwenye blog yake alisema pia ilibidi afute hiyo mipoda baada ya kujiona kwenye picha.

hii hapa ni baada ya kutofurahia hiyo mipoda akaenda kujifuta.
I LOVE DINA.
 
yaani hapo ndio kapendeza mpaka mwisho ndio yuko hivyo, je ukimkuta wakati anaamka asubuhi, with no make up, no nothing si ni balaa hili jamani! na akifanyiwa oparation anashoneka kweli huyu??

mhh utazan katoka nanyumbu jana...sjui alikuwa miss nyangao?
ajikubali ata kdg ukimkuta kwenye masherehe yao dah utasema uyu vp kuna mtu kampa adhabu ya kuvaa vbaya na kujimwagia poda?
ni ushamba uliokubuhu yaaan mapoda puuu sjui iweje sasa...

KM WE MBAYA MBAYA TU KUWA mdg basi yaishe
 
jamani Dina hajichubui,kwenye blog yake alisema pia ilibidi afute hiyo mipoda baada ya kujiona kwenye picha.

hii hapa ni baada ya kutofurahia hiyo mipoda akaenda kujifuta.
I LOVE DINA.

ehh namimi niliona kwa blog yake
 
Kuna maumbo mengine bana hata akae uchi sisimki wala kusimamisha ndo huyo wamapowder sasa
 
mhh simpatii picha uyo aliyemremba..ataenda kumchambajeeeeee

dna mwaya usijipake masadolin yako
u have nice skin
sasa kutaka kukimbzana na bnt mwilima mhh utapotea

kuwa km ulivyo
b simpo
strugle kupata uzuri wa ndani mama ambao ndo tunu kwa kilakiumbe achana na uzuri wa kko...HAUDUMU na wala hauna heshima me lov u bt nw days umezidsha masifa bn majuaj kwa kipnd chako mhh mpk nasita kufungua....

ushauri'
km vyet vnaruhusu mama kapige shule..SOCIOLOGY itakufaa sana.
 
ajapendeza.
ana ngozi nzuri lakn nadhan ajiamin so anataka kujidabika km wenzake na ndio apo anapojiaribu..angebak NECHERAR ahh angekuwa bomba lakin ndo ivo tena KUTOKUJITAMBUA ni tatizo la kitaifa

Mi napenda figa lake hilo very mpododo
 
Mnataka hao wanao wananga wakale wapi? waacheni, wajinga ndio waliwao. Na wao wanao wanaowalia kwa hiyo mi powdeeeeer! "Kula uliwe"!
 
Mi napenda figa lake hilo very mpododo

hah hahha uwiiiiiiiiiiiiiiiii..nani?dina ana figa enhh?duh skujua jaman baas ata mimi nina figa:msela:

nampenda sana
ana saut
nayupo creative bt on figa issue mhh mhh:hail:tumuombe alah anaweza akafanya manuva ya 9 kuwa 8
 
Chezea mpododo wewe
Kusoma kati kati ya mstari huwezi hata picha kuangalia huwezi?
Check mpododo huo nyama lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
jaman mwachen dina marios wangu
alienda kufuta lakin ata mwenyewe alijishtukia....
kwanin upake poda?wanja? 2me noooooooooooooooooooooooooooooo.....oga fresh paka body care yako na kanguo kako kamenyoshwa then ahhhh mzuri wewe simpooooooooooooooooo ....mnajikandika madudu km udongowa mfinyaz ili iweje?

nw nw atamkuta mwilima....kijiuso km anachungulia dirishan(kwa ruhusa ya gea)

Haya mambo yana wenyewe, hawa wadada kwa kukandia wenzao kwenye kipindi chao basi utafikiri ni Prof. kwenye nyanja zote. Uliza status zao kindoa, ki kuvaa nk. mashuzi matupu!
 
Back
Top Bottom