Hii ina include waigizaji filamu wakubwa maarufu na wanamuziki wenye utajiri na umaarufu mkubwa
Nasikia Wanapewa masharti magumu ya kichawi, ili waweze kupata na ku-maintain utajiri na umaarufu wao, na hii ni kwasababu fedha na umaarufu wao vinatoka kwa shetani, wengi wanapewa masharti kila baada ya mda flani watoe kafara flani, wanamziki wengine wa kiume wanashikishwa ukuta ili nyimbo za kwenye album zao zi-hit, ili wapate fedha na umaarufu.
Leo utakuta wanapewa sharti hili kesho wanapewa sharti lile, na ukikosea masharti cha moto utakiona, wengine wanapewa sharti la kula mavi ya watu na kula vitu vingine vibaya, kutoa kafara mashabiki zao, kunyimwa kula chakula ukipendacho etc, ukikosea masharti bhas adhabu Kali au kifo ndo kinachokusubiri. Nasikia huwez ukaimba nyimbo ya kidunia ika-hit hivi hivi hata kama una kipaji cha utunzi na sauti nzuri, lazma kafara ya damu ihusike.
Waswahili walisema lisemwalo lipo kama halipo laja, sijawahi kuyashuhudia kwa macho hayo nliosema hapo juu ila nlisikia watu wengi wakisema
Mwenye details nyingine aje aongezee nyama humu