Vesper-valens
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 5,263
- 7,348
Km akili ni ndogo lazima uone hvoUmaarufu mzigo.
Km akili ni ndogo lazima uone hvoUmaarufu mzigo.
Sawa akili kubwaKm akili ni ndogo lazima uone hvo
nakubaliSawa akili kubwa
Naona wengi wamemwandama sana mtoa mada kwamba ana vinasaba vya umaskini , daah wabongo mna maneno...
Ukweli ni kuwa juhudi , bidii, malengo na maarifa zina sehemu yake katika mafanikio , ila kuna level flani ya maisha na mafanikio ni ngumu kuifikia na kuimantain bila extra power ( either God or Satan) no neutral ,
Wala asikudanganye mtu yeyte , achana na wanavyuo waliojaa humu walio blind minded na motivation speaker ,pamoja na waajiriwa ambao hawajui hustling za mtaa, almost they know nothing ,......ila waajiri wao ndo wanacheza hii sindimba , jiulize why JPM frequently anaenda Chato , kaulizie kule Chato huwa anaenda wap midnight watakueleza , but walioajiriwa na serikali hawajui jamaa anayoyapitia ili kuhakikisha anawalipa mshahara ...nouma sana
Mtoa mada maswali yako pitia huu uzi hapa chini , utapata majibu , no secret under the sun
Wazee wa ndago tukutane hapa!
Kumbe unasikia.Mbona sisi tunasikia unabokolewaHii ina include waigizaji filamu wakubwa maarufu na wanamuziki wenye utajiri na umaarufu mkubwa
Nasikia Wanapewa masharti magumu ya kichawi, ili waweze kupata na ku-maintain utajiri na umaarufu wao, na hii ni kwasababu fedha na umaarufu wao vinatoka kwa shetani, wengi wanapewa masharti kila baada ya mda flani watoe kafara flani, wanamziki wengine wa kiume wanashikishwa ukuta ili nyimbo za kwenye album zao zi-hit, ili wapate fedha na umaarufu.
Leo utakuta wanapewa sharti hili kesho wanapewa sharti lile, na ukikosea masharti cha moto utakiona, wengine wanapewa sharti la kula mavi ya watu na kula vitu vingine vibaya, kutoa kafara mashabiki zao, kunyimwa kula chakula ukipendacho etc, ukikosea masharti bhas adhabu Kali au kifo ndo kinachokusubiri. Nasikia huwez ukaimba nyimbo ya kidunia ika-hit hivi hivi hata kama una kipaji cha utunzi na sauti nzuri, lazma kafara ya damu ihusike.
Waswahili walisema lisemwalo lipo kama halipo laja, sijawahi kuyashuhudia kwa macho hayo nliosema hapo juu ila nlisikia watu wengi wakisema
Mwenye details nyingine aje aongezee nyama humu
🤣🤣🤣🤣🤣Sawa akili kubwa
🤣🤣🤣🤣🤣Kumb
Kumbe unasikia.Mbona sisi tunasikia unabokolewa
Kuwa masikini sio mbaya lakin ukiwa na fikra za kimasikini ndio mbaya tena zaidi.Hii ina include waigizaji filamu wakubwa maarufu na wanamuziki wenye utajiri na umaarufu mkubwa