M23 wadai kumkamata askari wa JWTZ

M23 wadai kumkamata askari wa JWTZ

Mkuu Ritz,wengi wao si raia wa Tanzania na ndio maana wanakosa uzalendo na kuwadhihaki viongozi wetu

Ritz ....kwenye suala hili tuweke siasa Pembeni...tuwe Kama Taifa....tuendelee kuhubiri uzalendo ...sana....

Hawa walio anti-government labda sio watanzania.....Kama ni watanzania wakweli wanalo jukumu la kusimama kulinda nchi....na wasifikiri utani katiba Imetoa Hilo jukumu kwa watanzania wote .........Kama wapo wasaliti adhabu ya usaliti....Katika Hali Kama hii inajulikana wazi ...is death by firing squad ........sio utani !!!!!....
 
Kuna Mijitu humu inanishangaza conflict ya Lake Nyasa wako Upande wa Malawi Mgogoro wa Greater lake wako Upande wa Gen Kagame na WaasI wa M23 ila Mtafunga Mik**u yenu Soon, Hii Ndio Seriously Government with seriously Leader Sio Ma Dj Na Wachungaji na masheikhe njaa
 
Mkuu taratibu basi.. Siasa ziliisha jeshini mwaka 1992 baada ya ujio wa vyma vingi vya siasa.
jESHI LIPI UNALIZUNGUMZIA MKUU WALIO TULIPUA ARUSHA KWA BOMU LA KICHINA NA WAKATUMIMINIA SGM NA BASTOLA KAMA VILE HAITOSHI WAKATUONGEZA MABOMU YA MACHOZI.. AU JWTZ WALIOKO MTWARA WANAO WABAKA MAMA ZETU NA KUWAPIGA WANASIASA KISA WANA WAELIMISHA WANA MTWARA KUDAI HAKI ZAO...NAIPENDA NCHI YANGU LAKINI UNAHIDAJI AKILI YA KUAZIMA KULIUNGA MKONO JESHI LETU....
 
Mkuu najua wapo na si Wanyarwanda tu bali Watusi. Lakini kwa taarifa tu wanaweza kuwa contained kirahisi kabisa. Mkuu unajua jeshi huwa linaangalia siasa zinaendaje na uhusiano wa kimataifa. Hivyo ujue kwa sasa jeshi lio makini sana baada ya kwanza kupeleka kikosi huko mashariki mwa kongo na kauli za Kagame. Waliyategemea hayo yote kwa kuwa walijua Kagame yupo huko. Mimi binafsi sina wasiwasi najua jeshi letu lipo imara kwa hali yoyote ile.
Mkuu vita ni vita tusijiamini sana, wenzetu (Museveni na Kagame) ni wazoefu wa vita tena vya muda mrefu wanajua kuviendesha (propaganda), wameanza kumtenga JK EAC ili kumdhoofu kisikolojia, baadae wameanza kutargeti wanajeshi wetu ili watuchanganye, propaganda zingine ni hizi za kuwateka wanajeshi wetu na kuwaonyesha kwenye mitandao, watu wanazipuuza lakini ni mbinu nzuri za kumshinda adui hata kabla ya vita yenyewe kuanza,

mimi narudia tena tusishabikie vita kwa sababu eti tuna jeshi imara, elewa vita vya sasa si kama vile vya Kagera vya kupeleka msululu wa tanks vita vya leo ni vya kiuchumi zaidi.
 
Mkuu najua wapo na si Wanyarwanda tu bali Watusi. Lakini kwa taarifa tu wanaweza kuwa contained kirahisi kabisa. Mkuu unajua jeshi huwa linaangalia siasa zinaendaje na uhusiano wa kimataifa. Hivyo ujue kwa sasa jeshi lio makini sana baada ya kwanza kupeleka kikosi huko mashariki mwa kongo na kauli za Kagame. Waliyategemea hayo yote kwa kuwa walijua Kagame yupo huko. Mimi binafsi sina wasiwasi najua jeshi letu lipo imara kwa hali yoyote ile.

Hata mimi Miaka Kadhaa iliyopita nililikubali Sana Jeshi letu.Tatizo limeanza Miaka ya Karibuni lilipoungana na Polisi kufanya Siasa.Kama Siasa imesababisha Jeshi la Polisi kushindwa Mbinu kiasi kwamba Vibaka wanaweza kuiba Computer Kituo Kikuu cha Polisi,Sioni ni kwa nini JWTZ lisikumbwe na udhaifu wa namna hiyo.Ni hatari sana kuwa na Jeshi la Wananchi lisilopendwa na Wananchi.
 
Duu kagame noma,kwa propaganda,mwaka huu kagusa nchi ambayo nimoto,nimasaa sita tu tunaingia kigali.unamkumbuka yule jamaa wa comoro anajiita Abubakari,alitimua bila nguo,chezea Jw ww uone.
 
Wa Tz hata hawana imani na jeshi lao, kwani limegeuka jeshi la ccm badala ya kuwa jeshi la Wananchi wa Tz...
Kitendo cha kuwapiga raia kimenifanya nilichukie serios Jwtz...acha watekwe tu tutatafuta wengine wa kwenda kuwatoa kafara huko..

Ungekuwa unajua nini maana ya AMIRI JESHI MKUU NA NINANI AMIRI JESHI MKUU basi usingeweza kutoa kauli hii. Jeshi linatekeleza amri na ndiyo kiapo chao cha utii kama mabaya yanatokea basi tumlaumu Rais na si jeshi. Hawawezi acha kutekeleza majukumu. Think big!
 
Waendelee kwa sababu wanachokitafuta watakipata. Tanzania kama kawaida yetu tupo na hatutakwenda kokote na wasije wakafikiria kuwa matatizo yetu ya kuinua kiwango cha maisha ya Watanzania ndicho kitakuwa benchmark ya wao kupata ushindi wa bure. Time will tell.
 
Teh teh teh, Mkuu Mingoi, hivi kwa nini Pro-Chadema wengi wanamunga mkono Kagame pamoja na jeshi la waasi wa M23?

si wauaji wenzao wataacha kushabikia kwa akili yao ya ganzi?

Mkuu Ritz,wengi wao si raia wa Tanzania na ndio maana wanakosa uzalendo na kuwadhihaki viongozi wetu

Mkuu ritz ndo swali nilimuuliza Nicholas kwanini ana support m23 .. anangojea siku askari mmoja afe atupie thread mia jf kumlaumu jk

Kumbe wewe ndiyo unawamliki wafuasi wote wa Chadema.

Mkuu njiwa,

Huyo jamaa huwa ananichekesha sana kaenda mbali zaidi anakuambia CCM itatolewa madarakani na mataifa jirani kwa vita...teh teh teh, ganja mbaya.

CC: chama,

Mkuu Ritz
Cha Pele hicho sio mchezo asubuhi mapema hii hata chai hajapata kakimbilia kupiga bati!!

Kwa hiyo magamba na majizi na mabaka uchumi ndiyo wazalendo?... Ni udini tu umewapeleka CCM. Hakuna ushindi ktk taifa lolote lililogawanyika.. Vita havipiganwi na CCM, bali wote. Kama CCM ingekuwa na ubavu huo, KONGO na Sudani wangewapeleka GREEN Guard.
 
Akili kama hizi zinaonyesha Tanzania bado tuna safari ndefu kweli
Hivi weye kapuku huna ndugu au jamaa yako yeyote Polisi au Mwanajeshi?

Haya mkuu wewe ni bright kuliko wengine. Hivi hawa polisi wanaoua raia kila kukicha hawana ndugu uraiani?
 
Kuna Mijitu humu inanishangaza conflict ya Lake Nyasa wako Upande wa Malawi Mgogoro wa Greater lake wako Upande wa Gen Kagame na WaasI wa M23 ila Mtafunga Mik**u yenu Soon, Hii Ndio Seriously Government with seriously Leader Sio Ma Dj Na Wachungaji na masheikhe njaa

Kwa hiyo kwa kusema hivyo wewe ni mzalendo?!
 
Kuna Mijitu humu inanishangaza conflict ya Lake Nyasa wako Upande wa Malawi Mgogoro wa Greater lake wako Upande wa Gen Kagame na WaasI wa M23 ila Mtafunga Mik**u yenu Soon, Hii Ndio Seriously Government with seriously Leader Sio Ma Dj Na Wachungaji na masheikhe njaa

Ha ha haaa hapo kwenye nyekundu,labda wanasababu nzuri ya kuwa upande wao usiwatukane wasikilize
 
Kama ni kweli itabidi mbinu za mafunzo ya kijeshi na wakufunzi wabadilishwe haraka sana. Au kama kuna nchi tunayotegemea kwa mafunzo ya kikomando tu-terminate contract haraka. Wauawe na kushikwa kikondoo halafu tuendelee ku-entertain mbinu ileile? NO
'Reasons for the fall of Mali Empire', tulijibu 'long period of peace'. hata wakibadilisha wakasema Factors for the fall of Songhai Empire lazima 'long period of peace' iliapply. teh, teh, teh, hii ilikuwa history o-level miaka hiyo.
 
We umefunga unatukana namna hii? Subiri ban...swaumu yako ni bure.
we ndio choko usituharibie swaum Nilikuwa ikulu hao FBI Walikuwa wapi na waliparamia kikuta kipi shenzzzzzzyyy type
 
Kuna Mijitu humu inanishangaza conflict ya Lake Nyasa wako Upande wa Malawi Mgogoro wa Greater lake wako Upande wa Gen Kagame na WaasI wa M23 ila Mtafunga Mik**u yenu Soon, Hii Ndio Seriously Government with seriously Leader Sio Ma Dj Na Wachungaji na masheikhe njaa

So harsh.
 
Kwanza aina ya silaha iliyotajwa si aina ya silaha zinazotumika na jeshi letu na uandikaji wa namba hauna format zile; hiyo ni dalili M23 ni mbumbumbu kabisa kuhusu jeshi letu na nguvu yake
 
Back
Top Bottom