Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 463
Yaani alikuwa peke yake? Jamaa anajiamini kama Rambo.
Wa Tz hata hawana imani na jeshi lao, kwani limegeuka jeshi la ccm badala ya kuwa jeshi la Wananchi wa Tz...
Kitendo cha kuwapiga raia kimenifanya nilichukie serios Jwtz...acha watekwe tu tutatafuta wengine wa kwenda kuwatoa kafara huko..
Umefanya siku yangu ianze vizuuuurrrrrrrrrriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii aaahh!!!!Kagame anamtafuta wa kumfia mikononi,Tanzania sio JK dakika 45 zinatutosha kuizika tarafa ya Rwanda
...ukubwa wapua si wingi wa kamsi, marekani na uwezo wake wooote kachemsa kwa "taliban camp" sikuhizi vita haiendi kama unavyo fikiria...Kagame anamtafuta wa kumfia mikononi,Tanzania sio JK dakika 45 zinatutosha kuizika tarafa ya Rwanda
Tokana na habari za
zilizorushwa Twitter na M23 ni kuwa wamemkamata askari wa Tanzania ambae
yupo kwenye mission ya UN CONGO. Hata hivyo hiyo habari bado haina
uhakika kama ni kweli ama uongo kwa misingi kuwa hawajatoa ushahidi
wowote wa tukio hilo zaidi ya kutaja kuwa wana Passport ya askari huyo
na silaha.
--------------------------
![]()
Somehow is a good lesson, mtwara wanabaka,wanapiga na kuua ndugu zao huku wakishangilia! Chezea m23 weye.
Wa Tz hata hawana imani na jeshi lao, kwani limegeuka jeshi la ccm badala ya kuwa jeshi la Wananchi wa Tz...
Kitendo cha kuwapiga raia kimenifanya nilichukie serios Jwtz...acha watekwe tu tutatafuta wengine wa kwenda kuwatoa kafara huko..
Jean-Betitse NdessaZinawatosha wewe na nani?
Gefu Ndiwumana...ukubwa wapua si wingi wa kamsi, marekani na uwezo wake wooote kachemsa kwa "taliban camp" sikuhizi vita haiendi kama unavyo fikiria...
Wa Tz hata hawana imani na jeshi lao, kwani limegeuka jeshi la ccm badala ya kuwa jeshi la Wananchi wa Tz...
Kitendo cha kuwapiga raia kimenifanya nilichukie serios Jwtz...acha watekwe tu tutatafuta wengine wa kwenda kuwatoa kafara huko..
Badala ya kulinda nchi yetu dhidi ya mafisadi wanaoua tembo na kuuza wanyama, na wahamiaji haramu mnawapeleka kwenda kufa huko sudani na kongo... Inafika mahala nchi yetu inalindwa na fbi.. Ebu angalia walivyojaa kwenye paa za ikulu! Alafu mnasema mko salama..hivi jwtz ilishindwa kupanda huko kwenye mapaa mpaka wapande fbi! Ni aibu sana kwa hii nchi maskini..
Hao M23 wanatapatapa ngoja wachezee kichapo
Mkuu acha unafiki banaTusipuuze kila wanachosema m23 , mavitambi ya askari wa Tanzania nayo ni tatizo kubwa sana kwenye mambo ya vita , kila kambi mabia ya xtreme ! Mtaacha kuchapwa kweli ? Ukubwa wa pua siyo uwingi wa kamasi.
vitani chochote chaweza kutokea. umeambiwa wanajeshi wa tanzania ni majini kiasi kwamba hawawezi kamatika?. jwtz inabidi wawe makini ciz wanawindwa. mia