Vita vya tweeter wapi na wapi??
Watulie tu wachapwe....
Teh teh teh, Mkuu Mingoi, hivi kwa nini Pro-Chadema wengi wanamunga mkono Kagame pamoja na jeshi la waasi wa M23?
Teh teh teh, Mkuu Mingoi, hivi kwa nini Pro-Chadema wengi wanamunga mkono Kagame pamoja na jeshi la waasi wa M23?
mbn hyo picha kama tarsis masela wa akudo vile hebu tutajie jina vzr ili tuli google facebook kama yupo
Kagame alimwambia Kikwete 'I will hit you' naona ndo utekelezaji wa ahadi yenyewe ya ku-hit
Kwa nini M23 hawapati usingizi kwa Jwtz?
kama ni hivyo basi nina wasiwasi na askari wenye asili ya kitutsi walioko jwtz ambalo m23 wanawajua kwa majina. Kwa hivo wakiingia vitani wanaweza wanawapotosha wanapowaelekeza askari wetu. Nashauri watutsi wote wachunguzwe huko jeshini vingivyo vita hiyo tutapotezasi wauaji wenzao wataacha kushabikia kwa akili yao ya ganzi?
wametaja mpaka namba yake ya jeshi mkuu