Kimbunga
Tanzania haina mbinu za propaganda za kivita kumzidi Kagame, tupende tusipende Kagame anatuzidi akili ya propaganda hadi sasa kafanikiwa kawavuta Museven na Uhuru upande wake kumbuka tena tuna uhasama na Malawi,
Ila ninachojua Kagame hawezi kupigana na Tanzania anachoweza kufanya ni kuvitumia vikosi vyake vya uasi kama M23 kuisumbua Tanzania wakati sisi hatuna vikosi vyovyote vya uasi hadi tuanze kuvitafuta na kuvishawishi, mimi nashauri tusikimbilie vita hata kama tuna uhakika wa kushinda.