The END of the ROAD.... Kwanini KIKWETE anafanya HIVI? TUCHUKIWE NJE na NDANI TUNACHUKIANA??? Inaonyesha Wanajeshi wetu walikimbia?? Jamani Jamani tunadhalilishwa
The END of the ROAD.... Kwanini KIKWETE anafanya HIVI? TUCHUKIWE NJE na NDANI TUNACHUKIANA??? Inaonyesha Wanajeshi wetu walikimbia?? Jamani Jamani tunadhalilishwa
Vijana JWTZ endeleeni kumkoma huyo nyani kimya kimya!!Mkuu mbona unaniangusha? Hiyo passport wameitoa wapi? na kuanzia lini vijana wakaenda na passport front? Atakae amini hii kitu ni mtu asiyejua tu taratibu za mapigano kwa uniformed forces.
Mkuu mbona unaniangusha? Hiyo passport wameitoa wapi? na kuanzia lini vijana wakaenda na passport front? Atakae amini hii kitu ni mtu asiyejua tu taratibu za mapigano kwa uniformed forces.
Ni hodari sana wa propaganda. Mtoto, mwanamke, mzee, watutsi wote ni hodari wa propaganda kwani asili yao ni majigambo na kujisifuBila shaka watakuwa wanapiga propaganda hii ili kutuliza hali maana inasemekana kipigo kitakatifu kimewashukia!
Wanadai hii ndio paspoti yake
Hope humu ndani kuna mtu anaweza kuwa anamjua kwa namna moja au nyingine kama ni mwanajeshi
View attachment 103177
Akili kama hizi zinaonyesha Tanzania bado tuna safari ndefu kweli
Hivi weye kapuku huna ndugu au jamaa yako yeyote Polisi au Mwanajeshi?
Kwa kweli tutajuta kweli,tunachapwa huko jamani.Kagame ni mwamba kweli.Sisi tuna mbinu za vita za kizamani sana.Hatuna mbinu za kisasa.askari wetu wao waliingia kwenye siasa badala kujikita kwenye mbinu za kijeshi kama wenzetu wa misri.Wapo huko mtwara wamejaa mitaani,waende huko vitani sasa kama wao ni wajanja kweli.