acha mchapwe mtaongea maneno mengi sana,oh wanyarwanda ,oh waganda,oh wangoni.Sitoi ushirikiano kwa Jeshi letu tuchapwe vizuri sana.
Wewe unasema tu, labda wewe uko chini ya miaka 18 na pia labda wewe si Mtanznaia halisi.Unasema hivyo labda ww uko Mtwara na ungekuwa Kagera mkoa unaopakana na nchi hizo, usingeombea kitu kinachoitwa vita.
Pia jinsi unavyosema usidhani gesi inazidi madini zilizochimbwa Kanda ya ziwa, hivyo usidhani baadhi yetu watz tunasujudu gesi kama nyie wa Mtwara.
Katika suala nzima ya majeshi yetu, jambo kubwa ni kuwaombea, pia nashangaa baadhi ya watu wanaovyochangia threat hii iliko mbele yetu kwa kuingiza masuala ya kisiasa.Vita havina macho, haitachagua CCM, CHADEMA, CUF N.K.
Kwa anayetaka kuthibitisha Julai 25 Alhamisi wiki kesho aende kambi ya Kaboya Muleba awaone vijana wa kazi walivyolala katika nyumba zao za milele.
Jamani wekeni maslahi ya taifa mbele kwanza pumba baadaye.Pia mnapochangia threat hii mambo ya siasa yanakuwa ni matatizo yetu ya ndani ya nchi, kama ilivyo kwa Uganda ambako kuna tetesi kuwa Rais alioko madarakani anafanya mpango wa wa kutaka kumrithisha mwanae, kumbukeni kwa TZ ni jambo ambalo haliwezekani.
Mungu wasaidie majeshi yetu yote yalioko katika nchi zilizo na viata kama Darfur, Kongo,N.K, Pambaneni kuhakikisha nchi hizo zinakuwa na amani na utulivu.