M23 wadai kumkamata askari wa JWTZ

M23 wadai kumkamata askari wa JWTZ


Askari wakiwa mstari wa mbele hawabebi passport wandugu...kuna metal identification huvaa..au kuifisha ndani ya nguo sehemu salama kumtambilisha...hiyo ni propaganda...labda atakuwa ni mtu wamemuhisi kuwa agent wa Tanzania na watamvalisha sare aonekane Askari ...na hata am agent huwa na false passport za nchi nyingine..hawabebi passport
Zao

Mkuu umenena. Hutambuana kwa force number iliyo kwenye vibati vya kuvaa shingoni. Hata mwenzio akipigwa risasi na kuanguka (kufa) kama huwezi kuondoka naye kutokana na hali tete ya medani basi unajitahidi kuchukua kile kibati cha shingoni kwa utambulisho.
 
Ebu iweke hiyo number hapa!!
Pia weka na hiyo kopi ya passport yake.

Hii habari niliweka jana hapa lakini MODS VILAZAA wakaitoa, Yani MODS wengine nashaka na uwezo wao wa kufikiri, wanachojua wao ni kufuta tu post za watu bila kuhoji wala kujishughulisha kuuliza.
BPjWkuUCYAAlbH_.jpg
 
amani ya Tanzania shakani. Kikwete hata mbinu ya kusimamia uchumi hana, asa anaweza kweli kuvisimamia vikosi vya ulinzi wa taifa letu kupigana na adui kwa weledi wa kijeshi au anategemea misaada ya wahisani kama kawaida yake? isije kuwa tumekurupuka kama Israel walivokurupuka kwa Hizbollah

Wewe hata ukipigwa makofi na wife wako wa kwanza kumlaumu ni Kikwete.
 
Wanadai hii ndio paspoti yake
Hope humu ndani kuna mtu anaweza kuwa anamjua kwa namna moja au nyingine kama ni mwanajeshi
View attachment 103177

Hivi inawezekanaje passport za Tanzania zikawa na majina ya kawaida bila Ubini?

jifikirie vizuri hapo ni magumashi tu! hakuna cha M23 wala Mishirini na tatu anayeweza kumteka mjeshi wa Tz
wewe unaleta utani na geshi? hivi kweli wananchi wakakamavu wanaweza kumteka mgeshi?
 
Ritz, nadhani unataka kufananisha enzi za mwalimu na sasa kama ni sawa kumbe ni tofauti kabisa.
Kwa sasa hakuna uzalendo hata kidogo, serikali inawachukia wananchi wake inawatandika mabomu kila kona, risasi, wengine wanadiriki kusema wapigwu tu nao wananchi wanaopigwa wakaichukia serikali yao sasa hapo sijui uzalendo utatoka wapi. Leo hii Mtu23 wakija wakataka kuonyeshwa baba yako anapolala mwananchi wa TZ anawaonyesha vizuri sana.
Wananchi wamechoka na serikali weak(dhaifu) isiyowajali wananchi wake, na hapo ndiyo mwanya wa adui kupenya kirahisi.
 
Badala ya kulinda nchi yetu dhidi ya mafisadi wanaoua tembo na kuuza wanyama, na wahamiaji haramu mnawapeleka kwenda kufa huko sudani na kongo... Inafika mahala nchi yetu inalindwa na fbi.. Ebu angalia walivyojaa kwenye paa za ikulu! Alafu mnasema mko salama..hivi jwtz ilishindwa kupanda huko kwenye mapaa mpaka wapande fbi! Ni aibu sana kwa hii nchi maskini..

Hivi wewe Mbulurula unajitambua au wewe ni shoga.
Hapo sio Ikulu ni Uwanja wa Ndege-JNIA.
Mods ondoa hii kibwetele hapa.
 
Hawa jamaa M23 inabidi wajifunze mbinu za propaganda.. Timing ya kuleta hii propaganda haikuwa nzuri..wangesubiri kwanza tuzike askari wetu waliokufa Darfur ipite mwezi au miezi miwili ndio wangeweka hii propaganda.. Propaganda kama hii inaweza kuwasumbua waamerica na sio waswahili kama sisi..tena ambao kwa sasa tumekosa uzalendo na nchi yetu...
 
Wanadai hii ndio paspoti yake
Hope humu ndani kuna mtu anaweza kuwa anamjua kwa namna moja au nyingine kama ni mwanajeshi
View attachment 103177

Hili nalo ni tatizo katika wizara yetu ya mambo ya ndani, wanagawa passport kwa yoyote tu ili mradi awe na pesa. Nimekutana na wakongo wengi wanatumia passport za Tanzania. Naamini kabisa huyo mwenye hiyo Passport sio Mtanzania.
 
Tusijidanganye vita ni vita hakuna vita ndogo, leo tunapokea miili ya wanajeshi wetu kesho na kesho kutwa tutegemee wengine...

watu wanaleta hoja za ubishi wa soka. ivory coast wanakuja mnawatengenezea clips za matangazo ya redio 'lazima wakae' lazma tujipange.
 
Waungwana nimewasiliana na kijana wangu alieko mstali wa mbele kabisa Drc kanihakikishia kuwa huyo sio askali wao na pia pasport yake inaonekana kutolewa mwezi wa sita wakati mwezi huo askali wote wanaoenda kongo walikuwa wameshaandaliwa na passport zao tayari wameondoka.
 
Passport ya huyo mwanajeshi M23 wameipost!
 

Attachments

  • TZ Soldier.jpg
    TZ Soldier.jpg
    26.3 KB · Views: 115
... Nasema na HASIRA ZOTE ZA DARFUR NA KUMTUKANA JK ...tunazihamishia Kongo... tunapiga hadi miti na nyani.... tunapiga hadi msitu unalia .... na subirini tu kidogo..just a month mtaona....!!!
 
We ndo mbulula.. Hivi picha za ikulu hukuziona.. Unataka mpaka nikuletee.. Kiongozi wenu alionekana kama mfagizi ikulu!
Hivi wewe Mbulurula
unajitambua au wewe ni shoga.
Hapo sio Ikulu ni Uwanja wa Ndege-JNIA.
Mods ondoa hii kibwetele hapa.
 
We ndo mbulula.. Hivi picha za ikulu hukuziona.. Unataka mpaka nikuletee.. Kiongozi wenu alionekana kama mfagizi ikulu!

we ndio choko usituharibie swaum Nilikuwa ikulu hao FBI Walikuwa wapi na waliparamia kikuta kipi shenzzzzzzyyy type
 
Kagame Dawa yake ndogo Saana na Sasa kaitafuta na ataipata sijui kama Mbwagamoyo huyu Hatamla Ndogo yeye na mkewe
 
Back
Top Bottom