Nitajie Kiongozi wa Juu wa Kisiasa Au Tajiri ambaye Kijana wake ni Askari Polisi

Nitajie Kiongozi wa Juu wa Kisiasa Au Tajiri ambaye Kijana wake ni Askari Polisi

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,902
Reaction score
4,444
Nafanya utafiti mdogo, naomba kufahamishwa kwa ushahidi mtoto yeyote wa Kiongozi wa Juu wa Kisiasa hapa Tanzania ambaye mwanaye ni Askari Polisi. Vilvile Ni Mfanyabiashara gani mkubwa hapa Tanzania ambaye mtoto wake ni Askari Polisi.

Orodha hii isijumuishe watoto wa Askari Polisi wenye vyeo kama Mahita ambao wao waliwapachika vijana wao kuingia Polisi kwa kuwa walikuwa na nafasi na watoto wao masomo na Maisha yalikuwa yameshawashinda.
 
Nafanya utafiti mdogo, naomba kufahamishwa kwa ushahidi mtoto yeyote wa Kiongozi wa Juu wa Kisiasa hapa Tanzania ambaye mwanaye ni Askari Polisi. Vilvile Ni Mfanyabiashara gani mkubwa hapa Tanzania ambaye mtoto wake ni Askari Polisi. Orodha hii isijumuishe watoto wa Askari Polisi wenye vyeo kama Mahita ambao wao waliwapachika vijana wao kuingia Polisi kwa kuwa walikuwa na nafasi na watoto wao masomo na Maisha yalikuwa yameshawashinda.
Upolisi kwa Afrika ni kazi ya kisenge. Ila Europe and USA ni Nobel job.
Lakini kwa utashi wa madikiteita wetu, inaweza kuwa kazi ya Mungu kama ilivyo Ulaya.
 
Screenshot_20260616-173300~2.png

Screenshot_20260616-173300~2.png
 
Nafanya utafiti mdogo, naomba kufahamishwa kwa ushahidi mtoto yeyote wa Kiongozi wa Juu wa Kisiasa hapa Tanzania ambaye mwanaye ni Askari Polisi. Vilvile Ni Mfanyabiashara gani mkubwa hapa Tanzania ambaye mtoto wake ni Askari Polisi.

Orodha hii isijumuishe watoto wa Askari Polisi wenye vyeo kama Mahita ambao wao waliwapachika vijana wao kuingia Polisi kwa kuwa walikuwa na nafasi na watoto wao masomo na Maisha yalikuwa yameshawashinda.
Mimi ninawajua tu polisi waliokimbia hiyo kazi na kusoma au kuhamia idara zingine kabisa.
 
Back
Top Bottom