M23 wadai kumkamata askari wa JWTZ

M23 wadai kumkamata askari wa JWTZ

Teh teh teh, Mkuu Mingoi, hivi kwa nini Pro-Chadema wengi wanamunga mkono Kagame pamoja na jeshi la waasi wa M23?
Mkuu Ritz,wengi wao si raia wa Tanzania na ndio maana wanakosa uzalendo na kuwadhihaki viongozi wetu
 
Teh teh teh, Mkuu Mingoi, hivi kwa nini Pro-Chadema wengi wanamunga mkono Kagame pamoja na jeshi la waasi wa M23?

Mkuu ritz ndo swali nilimuuliza Nicholas kwanini ana support m23 .. anangojea siku askari mmoja afe atupie thread mia jf kumlaumu jk
 
Last edited by a moderator:
Propaganda I think

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Toka nizaliwe sijasikia askari huwa anakuwa na kitabu cha pasport mfukoni akiwa kwenye mapambano mstari wa mbele!.
 
Teh teh teh, Mkuu Mingoi, hivi kwa nini Pro-Chadema wengi wanamunga mkono Kagame pamoja na jeshi la waasi wa M23?

acha uongo wewe mbona mimi siwaungi.....ulivo na akili ndogo unaeza gombana na mkeo ukasema kisa ni chadema......embu fikiri zaidi ya ccm na chadema usitawaliwe na chuki
 
Last edited by a moderator:
Duuuuu kama kweli itakuwa noma kwani nahisi watlipiza kama zile picha za jamaa walivyofanyiwa na mjeshi ya sirikarii,
 
Manyani 23 (M23) wanajaribu kupima maji kwa mguu.Hasira za kushambuliwa Darfur tutazihamishia kwao.UN tafadhali fumbeni macho angalau wiki moja tu tukasake nyani wote katika misitu ya Kongo ili tumalize msiba wa vijana wetu.
 
Teh teh teh, Mkuu Mingoi, hivi kwa nini Pro-Chadema wengi wanamunga mkono Kagame pamoja na jeshi la waasi wa M23?
Hili mkuu mbna ni suala la kitaifa?kwan kagame anajua kama kuna ccm au cdm?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
M23 nao wanachekesha sana. Wale walioenda kule ni cream ndani....wametegemee kuona tofauti sasa. Halafu kwenye vita, majeruhi mbona wanakuwepo? Kwanini Congo iwe tofauti?
 
Kwani Pasipoti za majeshi yetu zinaanzia na 'Passport number ante' AB.. ?
 
acha uongo wewe mbona mimi siwaungi.....ulivo na akili ndogo unaeza gombana na mkeo ukasema kisa ni chadema......embu fikiri zaidi ya ccm na chadema usitawaliwe na chuki

Kumbe wewe ndiyo unawamliki wafuasi wote wa Chadema.
 
Mkuu ritz ndo swali nilimuuliza Nicholas kwanini ana support m23 .. anangojea siku askari mmoja afe atupie thread mia jf kumlaumu jk

Mkuu njiwa,

Huyo jamaa huwa ananichekesha sana kaenda mbali zaidi anakuambia CCM itatolewa madarakani na mataifa jirani kwa vita...teh teh teh, ganja mbaya.

CC: chama,
 
Last edited by a moderator:
Hakika lisemwalo lipo na kama halipo hakika laja!
Tutapata kusikia mengi sana toka anga hizo!
Mwenyenzi MUNGU pekee awanusuru wanajeshi wetu!
 
Wa Tz hata hawana imani na jeshi lao, kwani limegeuka jeshi la ccm badala ya kuwa jeshi la Wananchi wa Tz...
Kitendo cha kuwapiga raia kimenifanya nilichukie serios Jwtz...acha watekwe tu tutatafuta wengine wa kwenda kuwatoa kafara huko..
 
M23 wanaweweseka na Tanzania tu.....

Hata Sadamu Hussein aliwachorea Marekani mstari matokeo yake akaibuliwa kwenye handaki, hawa watapigwa tu maana na sisi tumechoka kuona wanawake wa kikongo wakibakwa.!!
 
Back
Top Bottom