M-Pesa sio salama

M-Pesa sio salama

Vodacom wapuuzi sana. Wameshindwa hata kuweka withdraw code ambazo angekuwa anatumiwa anayetuma pesa naye anamtumia aliyemtumia pesa kwa msg ya kawaida.
Upuuzi na ujinga sana
Sio wapuuzi mkuu, ndio maana kabla ya kutuma unaletewa jina kabisa so unatakiwa uhakiki ndipo utume
 
Hela ikiingia kwenye akaunti yako ya benki kimakosa na ukaitoa na kuitumia no kosa kisheria. Sasa mbona ikiwa hivyo kwa hizi transaction za simu inaonekana siyo kosa?
Na mibongo inashadadia kosa lako, kosa lako. Sawa we umekosea kutuma.Na yule naye amekosea kuchukua pesa asizoweza kizitolea hata maelezo. Ni kama benki wamemuingizia pesa kimakosa kwenye akaunti yake.

Jii mitandao lazima ihakikishe usalama wa pesa za wateja hata wakikosea kutuma.
 
Hapo kwa kifupi huyo so mwizi sema ni mistake yako katika operation, japo naye inabidi atumie uungwana kurejesha, na unaweza kukuta imemkuta katika situation hana hela anataka alipe marejesho access,

Jiulize kwanini hata bank wanasema count your money before you leave the counter, Au M-PESA wanasema, hakikisha namba ya mteja kabla ya kutuma pesa, mbaya zaid kabla hujatuma ina display jina, je hukugundua kwamba unayemtumia siye??

Watu walilalamika sana kutuma hela kusiko, mitandao ikaboresha kabla ya hela kwenda inaleta jina ili ujue nani anapokea
Kwanini alikimbia harakaharaka kutoa hela ambayo siyo yake.... hapo ndipo wizi unapoingia....
 
Ili kulinda usalama wa jambo hilo Dakika 10 si nyingi sana...
Mtu anatakiwa akodiwe taxi anataka kujifungua pesa unatumiwa ukodi taxi haraka wewe unasema asubiri dakika kumi? Zikiingia ruksa kuzitoa mbio.Cha msingi mtumaji awe mwangalifu na unaambiwa andika namba kwa usahihi wewe husikii.Kwa walevi ukiona bapa la konyagi limekukolea usitume pesa mitandao ya simu .Uwezekano wa kukosea mkubwa .Walevi ndio huongoza kwa malalamiko ya aina hii.
 
Sawa kiongozi
Mtu anatakiwa akodiwe taxi anataka kujifungua pesa unatumiwa ukodi taxi haraka wewe unasema asubiri dakika kumi? Zikiingia ruksa kuzitoa mbio.Cha msingi mtumaji awe mwangalizi Na unaambiwa andika namba kwa usahihi wewe husikii.Kwa walevi ukiona bapa la konyagi limekukolea usitume pesa mitandao ya simu .Uwezekano wa kukosea mkubwa .Walevi ndio huongoza kwa malalamiko ya aina hii.
 
Tatizo watu hawataki kuamini kwamba kuna kukosea ambako kunasababishwa na mengi.

Hela ikiingia kwenye akaunti yako ya benki kimakosa na ukaitoa na kuitumia no kosa kisheria. Sasa mbona ikiwa hivyo kwa hizi transaction za simu inaonekana siyo kosa?
Na mibongo inashadadia kosa lako, kosa lako. Sawa we umekosea kutuma.Na yule naye amekosea kuchukua pesa asizoweza kizitolea hata maelezo. Ni kama benki wamemuingizia pesa kimakosa kwenye akaunti yake.

Jii mitandao lazima ihakikishe usalama wa pesa za wateja hata wakikosea kutuma.
 
Oooh naona ume ambiwa uende police ila wewe umekuja JF na data zote umeleta JF subri ndani ya dk 10..JF wata kurudishia pesa zako sawa eeeh
Akafanye nini polisi. ipi ilikuwa rahisi ni VOda kumpigia aliyechukua hela au yeye kufungua jalada apeleke kesi mahakamani? hapa haihitajiki siasa bali hela
 
Hawa voda kweli huwa wana matatizo kadhaa, ila kwa hili si wa kulaumiwa kabisa!
 
Mpesa ni majanga sana usalama ni hamna kabisa kuna jirani yangu aliweka pesa km 6mil dakika kidogo line haisomi network kuwapandia hewani huduma kwa wateja kaambiwa line imekuwa swarped kuirudisha 6mil hamna kwenye acc kuwarudia huduma kwa wateja kaambiwa hela imetolewa namber iliyotoa na hela ilikoenda hazionekani jamaa alihumia hivyo
 
Kama hali ni hii inabidi TCRA wafanye review ya opreation ya hizi huduma za fedha ili ziingie mkataba na watumiaji including kuhakikisha security ya fedha za yeyote anayetumia mtandao wao
Security ipo Na mkataba upo unasema wazi andika namba ya unayemtumia kwa usahihi.Wewe usipoandika kwa usahihi wao wafanye nini? Kosa lako unadikumiaje Voda.Tigo wameanzisha huduma ya kuweza kurudisha pesa kama ulikosea kutuma .Lakini kama mwenyewe uliyemtumia hajatoa akitoa imekula kwako .Huo uzembe wa kutuma kimakosa ni wa mtumaji.Case closed.
 
Mpesa ni majanga sana usalama ni hamna kabisa kuna jirani yangu aliweka pesa km 6mil dakika kidogo line haisomi network kuwapandia hewani huduma kwa wateja kaambiwa line imekuwa swarped kuirudisha 6mil hamna kwenye acc kuwarudia huduma kwa wateja kaambiwa hela imetolewa namber iliyotoa na hela ilikoenda hazionekani jamaa alihumia hivyo
Acha uongo line za mpesa maximum milioni tatu
 
Mimi nimepoteza hela ambazo kwa ushirikiano na VODA ningeweza kurudishiwa na aliyechukua. Watu wanaangalia kosa nililofanya hawaangalii baada ya kosa nini kifanyike. Watu wanaleta jokes kwenye issue nyeti kwangu kwa sababu wanaweza ku type.
 
Back
Top Bottom