MNEKI
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 992
- 1,310
POINTKunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe
POINTKunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe
mechanism itatutwe kuhakikisha mtu akitumiwa hela asiyoifahamu ataogopa kuitoa na siyo kuishia kusema tu uzembe ni wa mtumaji case close;. Huo ni ufinyu wa kuona mbaliSecurity ipo Na mkataba upo unasema wazi andika namba ya unayemtumia kwa usahihi.Wewe usipoandika kwa usahihi wao wafanye nini? Kosa lako unadikumiaje Voda.Tigo wameanzisha huduma ya kuweza kurudisha pesa kama ulikosea kutuma .Lakini kama mwenyewe uliyemtumia hajatoa akitoa imekula kwako .Huo uzembe wa kutuma kimakosa ni wa mtumaji.Case closed.
Kududumia bapa la konyagi ni moja ya kisababishi cha kukosea nambaTatizo watu hawataki kuamini kwamba kuna kukosea ambako kunasababishwa na mengi.
Kududumia bapa la konyagi ni moja ya kisababishi cha kukosea namba
Nyingine zinabeba mpaka 10/20mil km hujui kaulizeAcha uongo line za mpesa maximum milioni tatu
Kumpata inawezekana lakini lakini hakuna umuhimu; kwani alikuibia au ulimtumia wewe mwenyewe?Walichoniambia MPESA nimwombe mwizi arudishe hela zangu na ameamua kukaa kimya.
Jina la mwizi ni SAMWELI DEU MWENYE NAMBA 0759548421 na anaolafudhi ya kisukuma yet wanajidai hawawezi kumpata
Zote hizo porojo cha msingi kuwa makini unapotuma.Kichwa kitulieKwanini alikimbia harakaharaka kutoa hela ambayo siyo yake.... hapo ndipo wizi unapoingia....
Mleta madaKiongozi... Sasa nani umemuona ni mnywaji pombe hapa.
Unajua siku hela ikiamua kupotea inapotea tu...mimi kuna siku nimekosea namba moja tu ya mwisho ya mtu niliyetaka kumtumia ila cha ajabu majina yote mawili yakatoka sawa kabisa...HAKIKISHA NAMBA YA UNAE MTUMIA PESA KABLA HUJA RUHUSU MUAMALA..
sawa... ww ambaye kujawahi koseaZote hizo porojo cha msingi kuwa makini unapotuma.Kichwa kitulie
Kabisa mi nawateteaVoda wamejitahidi sana kuweka mechanism ya kumuuliza mteja aconfirm kabla transaction haijafanyika. Kama unalijua jina la unayemtumia (hata wale wa mitandao mingine) ni "rahisi" kucheck kabla hujatuma. Anyway, accidents happen na utakuwa na bahato sana kama VODA wataweza kukusaidia
Hiyo sawa mzigo wako haujakufikia kwa hii case ya Mpesa kwa aliyemtumia pesa hizo pesa zimemfikia na amezitoa .Case closedWewe ulishatumia paypal kununua bidhaa nje kokote duniani na ukatuma hela na muuzaji akaingia mitini? paypal wanakuwa responsible kumtafuta mwizi na hela zako unarudishiwa
Hii ndo point. At least 15 mnts.Kunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe
Hasa unawekaje withdrawal code wakati wengine wanalipwa kwa M-PESA na wanaitunza humo, siku ya kudraw hela ilotoka kwa watu zaid ya 10 itakuwaje?? Nani wa kuzikumbuka kodi hizo? This is not applicable at allhili wazo liko vyema
Hasa unawekaje withdrawal code wakati wengine wanalipwa kwa M-PESA na wanaitunza humo, siku ya kudraw hela ilotoka kwa watu zaid ya 10 itakuwaje?? Nani wa kuzikumbuka kodi hizo? This is not applicable at allVodacom wapuuzi sana. Wameshindwa hata kuweka withdraw code ambazo angekuwa anatumiwa anayetuma pesa naye anamtumia aliyemtumia pesa kwa msg ya kawaida.
Upuuzi na ujinga sana