Haka ka security mechanisma katamVodacom wapuuzi sana. Wameshindwa hata kuweka withdraw code ambazo angekuwa anatumiwa anayetuma pesa naye anamtumia aliyemtumia pesa kwa msg ya kawaida.
Upuuzi na ujinga sana
Anachosema ni kuwa kosa la kutumia MPESA ni irreversible?. Mtandao aliotumia kutuma hela ni MPESA wa VODACOM, Mteja aliyetuma ni wa VODA na aliyechukua hela ni wa VODA. Aliwapigia voda kama mteja wao. ili wamsaidie. Hela imetolewa ila VODA sio dhambi kumpigia aliyechukua hela kumwambia awe muungwana kurudisha hela. Inawzekana hujasoma vizuri.Pole, ina naona unatoa lawama nyingi kwa voda as if wao ndo walifanya hilo kosa, wakati mwenye makosa ni wewe, mtu kashatoa na hela ulitaka wao wafanyaje? ingekuwa hela haijatolea ingekuwa rahisi kublock sasa mtu na hela katoa, au ulitaka wao ndo wabebe hilo deni wakulipe? unalaumu hadi wakala alietoa hizo hela, huyo wakala angejuaje huyo anaeenda kutoa hela si zake bali zimeenda kimakosa? hapo kweli ishu ilikuwa ni yako wewe kwenda polisi ili upate haki yako, na sio kuwalumu voda kwa MAKOSA YAKO WEWE MWENYEWE
Unatumia mfano mfu. Ni sawa na kusema mtoto kanywa mafuta unalaumu mafuta badala ya mtoto. Badala ya kwenda hospitali(Polisi) wewe unalaumu mafuta. Haaaaa haaaaHivi mtoto anapokosea kunywa mafuta ya taa badala ya maji uunabaki ukimhukumu au unatafuta jinsi ya kumsaidia kwanza? Vibao vya barabarani viko kila mahali na bado ajali zinatokea!! hoja yako ni redundant
Nimesoma vzr na nimemuelewa, lakini hicho mnacholazimsha hakiwezekani, ndo mana kwenye kutuma kuna hatua wamekuwekea ili kuepusha makosa ambayo mwisho wa siku mtawapa lawama kama hiziAnachosema ni kuwa kosa la kutumia MPESA ni irreversible?. Mtandao aliotumia kutuma hela ni MPESA wa VODACOM, Mteja aliyetuma ni wa VODA na aliyechukua hela ni wa VODA. Aliwapigia voda kama mteja wao. ili wamsaidie. Hela imetolewa ila VODA sio dhambi kumpigia aliyechukua hela kumwambia awe muungwana kurudisha hela. Inawzekana hujasoma vizuri.
hili wazo liko vyemaVodacom wapuuzi sana. Wameshindwa hata kuweka withdraw code ambazo angekuwa anatumiwa anayetuma pesa naye anamtumia aliyemtumia pesa kwa msg ya kawaida.
Upuuzi na ujinga sana
Hapana huo ni usumbufu.Kunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe
Umekosea namba hapo sawa... sasa hata jina nalo ulikosea wakati una confirm mhamala?Suppose namba zangu ni 075423678 na niliyokosea inasoma 0754233978 . sometime ni ngumu kuona hiyo namba hapo katikati haswa ukizingatia mazingira niliyotumia hela yalikuwa kwenye gari linalotembea.
Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi. Hii ilikuwa accident na sijawahi kosea tangu nianze kutumia hii huduma. Nimesikitika kuwa MPESa haina mechanism ya security kuhakikisha watumiaji wa huduma hawaibiwi. Kwao wanahesabu wamefanya business bila kujali mteja kaibiwa;. Nimejiuliza maswali yafuatayo:
1. VODA hawana uwezo wa kumtrack mteja wao aliyewaibia wateja wengine?
2. Namba ya aliyechukua hela zangu ni 0759548521 inakuwaje Vodacom wanashindwa kunisaidia kupata hela zangu na badala yake kuniambie is non of their business.
3. TCRA inawabanaje hawa wenye kutoa hizi huduma kuhakikisha fedha za mteja hazichopolewi hata pale anapokosea namba au ni kilio cha samaki.
4. Im sure voda wanamjua hata wakala aliyetoa hela na ni rahisi kwa wao kumtumia kumtia mbaroni mwizi ; how come hawataki kujishughulisha na kumwachia aliyeibiwa afanye negotiation na mwizi?
5. Aliyeibiwa yuko Arusha na aliyeiba yuko kanda ya Ziwa na wao wana muscles za kufuatilia nchi nzima ni kwa nini tusione kuwa MPESA siyo salama?
Naomba tusaidiwe hata kama tulikosea ili kupata hela zangu na bado ninaamini wana uwezo wa kufanya hivyo onlu nimekutana tu na VERY WRONG IRRESPONSIBLE AND SHORTSIGHTED STAFF.


na data zote umeleta JF subri ndani ya dk 10..JF wata kurudishia pesa zako sawa eeehMkuu kwani ilikuwa tsh ngap mimi mwenyewe nilisamehe elf30 mshikaji kazila.Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi. Hii ilikuwa accident na sijawahi kosea tangu nianze kutumia hii huduma. Nimesikitika kuwa MPESa haina mechanism ya security kuhakikisha watumiaji wa huduma hawaibiwi. Kwao wanahesabu wamefanya business bila kujali mteja kaibiwa;. Nimejiuliza maswali yafuatayo:
1. VODA hawana uwezo wa kumtrack mteja wao aliyewaibia wateja wengine?
2. Namba ya aliyechukua hela zangu ni 0759548521 inakuwaje Vodacom wanashindwa kunisaidia kupata hela zangu na badala yake kuniambie is non of their business.
3. TCRA inawabanaje hawa wenye kutoa hizi huduma kuhakikisha fedha za mteja hazichopolewi hata pale anapokosea namba au ni kilio cha samaki.
4. Im sure voda wanamjua hata wakala aliyetoa hela na ni rahisi kwa wao kumtumia kumtia mbaroni mwizi ; how come hawataki kujishughulisha na kumwachia aliyeibiwa afanye negotiation na mwizi?
5. Aliyeibiwa yuko Arusha na aliyeiba yuko kanda ya Ziwa na wao wana muscles za kufuatilia nchi nzima ni kwa nini tusione kuwa MPESA siyo salama?
Naomba tusaidiwe hata kama tulikosea ili kupata hela zangu na bado ninaamini wana uwezo wa kufanya hivyo onlu nimekutana tu na VERY WRONG IRRESPONSIBLE AND SHORTSIGHTED STAFF.
Hii nmeipenda nadhani mirandao ya cm yote inabidi iichukue mtu akitiwa hera iweze kutoka mpaka angalau ipite dakika kadha kama nusu saa ivi... Cha kufanya hapa tuwatafute hao watu wanatoa hizi huduma yaani makampuni kila wanakopatikana labda wanaweza kuuchukua huu ushaur mzuri sana ila tukiendeleq kukaa nao sisi wenuewe haitasaidia kabisa.Kunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe