M-Pesa sio salama

M-Pesa sio salama

Wewe ulishatumia paypal kununua bidhaa nje kokote duniani na ukatuma hela na muuzaji akaingia mitini? paypal wanakuwa responsible kumtafuta mwizi na hela zako unarudishiwa
Mkuu Hapo usiwablame Voda hata kidogo hata Mimi niliwahi kukosea Japo ka elfu hamsini ila ikapotea kwa sababu Muhusika aliitoa, ni sawa na wewe udondoshe Fedha kisha useme kwanini Polisi wasimtafute aliyeziokota!
 
Hakuna wizi hapo, umekosea mwenyewe so ni suala la umakini wako na intergrity ya mpokeaji. But one thng angalau voda wangefanya ni Wangeweka utaratbu wa kuingiza deni kwenye line ya aliyepokea kimakosa ili siku akipokea hela ikatwe kufidia kiasi kile.
 
We hela umemtumia mwenyewe unamwita mwizi, kuwa mpole tu hapo hakuna mtu wa kumlaumu makosa ni yako
Mimi binafsi nilisharudisha hela nyingi zilizoingia siyo tu kwenye simu bali hata kwenye akaunti ya bank. kitendo cha hela kuingia na kukimbia kuito kwa dakika zisizozidi 10 na hujui zimetoka wapi ni wizi.
Wizi hapa ni attitude ya aliyezitoa hela ambazo siyo zake hakuna jina lingine linalomfaa
 
Hakuna wizi hapo, umekosea mwenyewe so ni suala la umakini wako na intergrity ya mpokeaji. But one thng angalau voda wangefanya ni Wangeweka utaratbu wa kuingiza deni kwenye line ya aliyepokea kimakosa ili siku akipokea hela ikatwe kufidia kiasi kile.
Kama mtu akiokota fedha yako kisha ukamjua na ukamweleza na una uhakika huyo utamwita nani.
 
juzi kuna mtu kanipiga pesa elfu 30 kaigiza sauti ya mtu ninae mfahamu hadi sasa nivigumu kuamini nilimtumia fasta. sasa akahitaji fedha nyingine nikapiga namba yake akasema hajaniomba fedha ndio ikawa bahati maana nilikuwa nitume fedha nyingine. kama huna imani unaweza sema jamaa yangu ndio kanitapeli. nilirecord mazungumzo yote baada ya kugundua
 
Walichoniambia MPESA nimwombe mwizi arudishe hela zangu na ameamua kukaa kimya.
Jina la mwizi ni SAMWELI DEU MWENYE NAMBA 0759548421 na anaolafudhi ya kisukuma yet wanajidai hawawezi kumpata
huo ni uzembe wa vodacom pia. sasa nini maana ya kusajili namba za watumiaji wa mtandao? kama wao wanaona shida wangekupa taarifa zake alizojisajili nazo umsake vizuri mwenyewe.
 
Kuna watu wa VODA humu wanatetea udhaifu wao lakini tukubali tu wanauwezo wa kumbana aliyechukua hela kwa kumpigia inaweza ongeza uzito akaogopa akarudisha. Wana namba yake ya simu na receipt namba na pia wana jua location yake nikijua wanatua GPS kupitia minara yao
 
Vodacom wapuuzi sana. Wameshindwa hata kuweka withdraw code ambazo angekuwa anatumiwa anayetuma pesa naye anamtumia aliyemtumia pesa kwa msg ya kawaida.
Upuuzi na ujinga sana
Hiyo ingekuwa simple kwani hata vifurushi vinavyotumwa na mabasi vina code ili only mhusika akichukue
 
Umeibiwa kivipi wakati hela umetuma mwenyewe..unalalamikia voda wakati uliambiwa thibitisha kwakubonyeza moja..hapo aliezibitisha ni wewe voda.
 
Nitajie kwanza jina la mtu ambaye anadondosha kwenye njia hela aliyoitafta kwa jasho
Tumia akili neno kupoteza maana yake inabakia kupoteza kwa maana siyo intentional similarly na kilichotokea kwangu. some mechanism has to be in place kuzui watu wasio waaminifu
 
Nilikuwa kwenye maombi..nilipoona hela imeingia nikajua maombi yamejibiwa mkuu.....nikaitoa fasta....sasa nashaNgaa unanianika humu jukwaani......naomba uvumilie ...utapata nyingine
 
Umeibiwa kivipi wakati hela umetuma mwenyewe..unalalamikia voda wakati uliambiwa thibitisha kwakubonyeza moja..hapo aliezibitisha ni wewe voda.
Suppose namba zangu ni 075423678 na niliyokosea inasoma 0754233978 . sometime ni ngumu kuona hiyo namba hapo katikati haswa ukizingatia mazingira niliyotumia hela yalikuwa kwenye gari linalotembea.
 
Siyo salama kwa sababu hakuna mechanism ya kuhakikisha usalama wa hela ya mteja. Huyu mtenja ndiye anayeifanya MPESA iwe MPESA. Na kama hutamjali akaogopa kuitumia huduma lazima mpesa itayumba
Ni Salamaa ilaa wewe hukuwa makinii...Huwezi mtumiia MTU pesa kimakosa akatoa ukasema mpesa sio salamaa...!! Ulikosea pole sanaa
 
Back
Top Bottom