Line inabeba mpaka milion 10 ,,ninazitunza huko kuna bbusiness inafanyika that's y sina means of withdrawal ndo maana naziachaga M-PESA mpaka nije TZ, ila kutoa mwisho ndo 3,000,000 per dayAcha uongo line za mpesa maximum milioni tatu
Kutumia kitu kisicho hahali yako ni wizi, hamna lugha nyingine, unless uwe huamini kwenye aina yoyote ya kitabu cha Mungu, namaanisha hata kama unaabudu ng'ombe! Ni kukosa hekima tu kwa baadhi ya binadam. "Ukimrudishia huwi maskini, ukimdhulumu hafilisiki"We hela umemtumia mwenyewe unamwita mwizi, kuwa mpole tu hapo hakuna mtu wa kumlaumu makosa ni yako
Nilishakosea nikagundua nilikuwa baada ya siku tatu mhusika kuniambia hajasoma nikawasiliana na mtandao wakaniambia wasiliana Na uliyemtumia keshatoa.Nikawasiliana naye akaniambia yuko hospital kalazwa akanitumia Na picha Na alipolazwa akasema kanunulia dawa alikuwa hana hela ya dawa.Akitoka hospital atanirudishia.Nikamsamehe bure .Lakini alipotoka hospital siku hiyo nikakuta pesa imeingia kwenye simu mara mbili ya ile pesa .Nikahoji vipi akasema ingine ni ya asante kwa kunusuru maisha yake.Haya mambo ukikosea usianze kugombeza kampuni ya simu au uliyekosea kumtumia.Kubali kosa ni lako uwe mpole ongea kistaarabu Na pande zote uliyemtumia Na kampuni ya simu.Uandishi wa mleta mada unaonyesha wazi ni arrogant.Huyu si rahisi kupata msaada kwa huyo aliyemtumia au kampuni.He is too arrogantsawa... ww ambaye kujawahi kosea
Sasa brother hivi mfano huna hata mia ghafla mzigo huo katika simu, utakaa umsubiri mwenyewe. Tuliza munkariMimi binafsi nilisharudisha hela nyingi zilizoingia siyo tu kwenye simu bali hata kwenye akaunti ya bank. kitendo cha hela kuingia na kukimbia kuito kwa dakika zisizozidi 10 na hujui zimetoka wapi ni wizi.
Wizi hapa ni attitude ya aliyezitoa hela ambazo siyo zake hakuna jina lingine linalomfaa
Yeye alitakiwa amlaumu huyo uliechukua hela zake, lakini kuwatupia lawama vodacom si sahihi kabisaKutumia kitu kisicho hahali yako ni wizi, hamna lugha nyingine, unless uwe huamini kwenye aina yoyote ya kitabu cha Mungu, namaanisha hata kama unaabudu ng'ombe! Ni kukosa hekima tu kwa baadhi ya binadam. "Ukimrudishia huwi maskini, ukimdhulumu hafilisiki"
Mi nina zaid ya milion 8Acha uongo line za mpesa maximum milioni tatu
Not applicable kwa watu wenye akili ndogo tu.Hasa unawekaje withdrawal code wakati wengine wanalipwa kwa M-PESA na wanaitunza humo, siku ya kudraw hela ilotoka kwa watu zaid ya 10 itakuwaje?? Nani wa kuzikumbuka kodi hizo? This is not applicable at all
Wewe umesema kuwe na utaratibu.mtu akipokea pesa ikae dakika 10 ndo iruhusiwe kutoka.ndo nikakwambia huo ni usumbufu.Sasa wewe unataka wakusaidie vipi endapo utatuma pesa kimakosa, na unawasiliana na kampuni, wao wanakuambia ulipotuma pesa tayari imeshatolewa
Nakuuliza swali umetumiwa pesa na watu zaid ya wanne, siku unataka kudraw baada ya week labda uliiacha bila kutoa, withdraw code nani anapaswa akutumie Kati ya hao wanne? Wazo lako ni zuri Ila liko applicable kwa anayetumiwa na kutoa yote muda huohuo, mfano uliweka kwa wakala 50, na mwingine kakutumia 30 unataka utoe 80, code nani ataitoa hiyo??Not applicable kwa watu wenye akili ndogo tu.
1. *150*00#
2. Tuma Pesa
3.*New Option* 1. Malipo 2. Tuma
4. Ukichagua 1. Basi itakuomba ingiza malipo Code. (Hii anatakiwa atengeneze mwenye biashara na awe anawapa wateja wote ina maana bila hii hawezi fanya malipo)
5. Ukichagua tuma inakuomba Withdraw Code kisha unajaza na unazinote na kumtumia unayemtumia.
Kwingine menu inaendelea kama kawa.
Kwanza mtandao ukianzisha mambo ya dk 10 wateja watawakimbia, mtu una haraka ya huduma, let say umetumiwa ununue kitu kwa machinga au ulipe nauli baada ya kufika kudraw sasa basi lianze kukusubiri, Umakini ndo unahitajikaWewe umesema kuwe na utaratibu.mtu akipokea pesa ikae dakika 10 ndo iruhusiwe kutoka.ndo nikakwambia huo ni usumbufu.
Ukikosea kutuma hela unamshukuru mungu.
Nakuuliza swali umetumiwa pesa na watu zaid ya wanne, siku unataka kudraw baada ya week labda uliiacha bila kutoa, withdraw code nani anapaswa akutumie Kati ya hao wanne? Wazo lako ni zuri Ila liko applicable kwa anayetumiwa na kutoa yote muda huohuo, mfano uliweka kwa wakala 50, na mwingine kakutumia 30 unataka utoe 80, code nani ataitoa hiyo??
EßwwsNimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi. Hii ilikuwa accident na sijawahi kosea tangu nianze kutumia hii huduma. Nimesikitika kuwa MPESa haina mechanism ya security kuhakikisha watumiaji wa huduma hawaibiwi. Kwao wanahesabu wamefanya business bila kujali mteja kaibiwa;. Nimejiuliza maswali yafuatayo:
1. VODA hawana uwezo wa kumtrack mteja wao aliyewaibia wateja wengine?
2. Namba ya aliyechukua hela zangu ni 0759548521 inakuwaje Vodacom wanashindwa kunisaidia kupata hela zangu na badala yake kuniambie is non of their business.
3. TCRA inawabanaje hawa wenye kutoa hizi huduma kuhakikisha fedha za mteja hazichopolewi hata pale anapokosea namba au ni kilio cha samaki.
4. Im sure voda wanamjua hata wakala aliyetoa hela na ni rahisi kwa wao kumtumia kumtia mbaroni mwizi ; how come hawataki kujishughulisha na kumwachia aliyeibiwa afanye negotiation na mwizi?
5. Aliyeibiwa yuko Arusha na aliyeiba yuko kanda ya Ziwa na wao wana muscles za kufuatilia nchi nzima ni kwa nini tusione kuwa MPESA siyo salama?
Naomba tusaidiwe hata kama tulikosea ili kupata hela zangu na bado ninaamini wana uwezo wa kufanya hivyo onlu nimekutana tu na VERY WRONG IRRESPONSIBLE AND SHORTSIGHTED STAFF.
Mtafute Facebook mbona unampata kuna mmoja alishawahi ibiwa hv hivi alitafuta mwizi wake facebok akampata fastaaWalichoniambia MPESA nimwombe mwizi arudishe hela zangu na ameamua kukaa kimya.
Jina la mwizi ni SAMWELI DEU MWENYE NAMBA 0759548421 na anaolafudhi ya kisukuma yet wanajidai hawawezi kumpata
Aisee simple Kama hivyooo... Jamaa weziii sanaMpesa ni majanga sana usalama ni hamna kabisa kuna jirani yangu aliweka pesa km 6mil dakika kidogo line haisomi network kuwapandia hewani huduma kwa wateja kaambiwa line imekuwa swarped kuirudisha 6mil hamna kwenye acc kuwarudia huduma kwa wateja kaambiwa hela imetolewa namber iliyotoa na hela ilikoenda hazionekani jamaa alihumia hivyo
Yani ulikosea namba moja Majina yakaja Sawa????Unajua siku hela ikiamua kupotea inapotea tu...mimi kuna siku nimekosea namba moja tu ya mwisho ya mtu niliyetaka kumtumia ila cha ajabu majina yote mawili yakatoka sawa kabisa...
Baada kutuma sikuamini nilichoona..sema bahati namba yenyewe haikuwa hewani hivyo nilirudishiwa..