M-Pesa sio salama

M-Pesa sio salama

Du kumbe hata jina la mwizi umewapa. Huu ni uzembe
Hayo makampuni yanaendeshwa kwa sheria, ukishakosea hivyo, hata kama bado hajazitoa wao hawana mamlaka ya kuzirudisha kwako, ila ni kuzizuia tu asizitoe, wewe inatakiwa kwenda polisi na kutoa taarifa, then wao ndio watakuwa na uwezo wa kukurudishia hiyo pesa, na si vinginevyo, bora tigo wametoa uwezo kwa mteja mwenyewe kuweza kuzirudisha kabla hazijatolewa!!!
 
Tunawanufaisha sana hawa watu wa mitandao ya simu ila inapokuja mteja kapata tatizo hawana time naye
Umeona eehh au mi nadhanj ukiwapa hio taarifa huwa wanaotoa wao na inakuwa yao wanaitafuna maana c wanajua kule iliko sio kwa mhusika na hatafatulia maana sio yake na we kila ukiwapigia wanakuambia alishaitoa ulie mtumia kwa iyo inabaki hivo wewe hujui ukweli unabaki kumlaumu yule jamaa kumbe hera walishaichuku wao mnaonaje hii haiwezikani kweli.
 
Tunatumia pia Paypal kuagiza vitu nje kwa mtu usiyemfahamu kabisa na kama akichukua fedha zako bila kutuma item anafuatiliwa popote alipo duniani na atakamatwa
Sawa kabisa mkuu itakuwa hii mpesa ya hapa hapa bongo
 
"Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi"

kwa maelezo hayo hapo juu lawama zote zinabaki kwako kwa uzembe wa kutuma pesa bila kufanya verification na jina lilikuja kabisa.
 
Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi. Hii ilikuwa accident na sijawahi kosea tangu nianze kutumia hii huduma. Nimesikitika kuwa MPESa haina mechanism ya security kuhakikisha watumiaji wa huduma hawaibiwi. Kwao wanahesabu wamefanya business bila kujali mteja kaibiwa;. Nimejiuliza maswali yafuatayo:
1. VODA hawana uwezo wa kumtrack mteja wao aliyewaibia wateja wengine?
2. Namba ya aliyechukua hela zangu ni 0759548521 inakuwaje Vodacom wanashindwa kunisaidia kupata hela zangu na badala yake kuniambie is non of their business.
3. TCRA inawabanaje hawa wenye kutoa hizi huduma kuhakikisha fedha za mteja hazichopolewi hata pale anapokosea namba au ni kilio cha samaki.
4. Im sure voda wanamjua hata wakala aliyetoa hela na ni rahisi kwa wao kumtumia kumtia mbaroni mwizi ; how come hawataki kujishughulisha na kumwachia aliyeibiwa afanye negotiation na mwizi?

5. Aliyeibiwa yuko Arusha na aliyeiba yuko kanda ya Ziwa na wao wana muscles za kufuatilia nchi nzima ni kwa nini tusione kuwa MPESA siyo salama?

Naomba tusaidiwe hata kama tulikosea ili kupata hela zangu na bado ninaamini wana uwezo wa kufanya hivyo onlu nimekutana tu na VERY WRONG IRRESPONSIBLE AND SHORTSIGHTED STAFF.
Voda hawana makosa, sasa kama mwizi ameshaitoa pesa unafikiri watakusaidia kuirudisha?!!! Ingekua bado haijatolewa wangekusaidia , option iliyopo ni kuwasiliana na huyo mtu uliyemtumia kimakosa akurudishie pesa zako akikataa nenda kamripot namba yake, police ndo watajua watamkamataje
 
Makosa ni yako halafu unatoa povu kiasi hicho? Voda sio wajinga kukuambia kabla hata huja dhibitisha kwamba unatuma pesa kwa flan bin flan hakikisha kwa makini.acha uzembe
 
Kunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe

Umetoa ushauri mzuri.

Nadhani tigo pesa wanatumia huu utaratibu maana siku hizi ukituma pesa kimakosa unaweza kubatilisha.
 
Kunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe
Urasimu wote huo wa nini wakati kabla ya kutuma inakuuliza kabisa wakati unaliona jina pale huku ukisisitizwa bonyeza 1 kukubali ama 2 kukataa.
 
Suppose namba zangu ni 075423678 na niliyokosea inasoma 0754233978 . sometime ni ngumu kuona hiyo namba hapo katikati haswa ukizingatia mazingira niliyotumia hela yalikuwa kwenye gari linalotembea.
Mkuu mbona hiyo namba ya juu haijatimia inaonekana hauko makini na maisha ndio maana unakosea kosea sana kuwa makini ndugu utakosea na na kwingine.
 
Kuna muda binaadam husongwa na wimbi la mawazo kiasi kwamba anashindwa hata kujua ama kufikiria kile anachokifanya muda huo.. na kujikuta anaruhusu makosa kama hayo kutokea
Urasimu wote huo wa nini wakati kabla ya kutuma inakuuliza kabisa wakati unaliona jina pale huku ukisisitizwa bonyeza 1 kukubali ama 2 kukataa.
 
Voda hawahusiki hapo wao wameuza bidhaa tayari kama ilivyo unaponunua simu dukani alafu ukafika mbele ukaibiwa hivyo kifuatacho unataiwa uende polisi alafu watafanya upepelelezi kwa kusirikiana na vodacom kwa kumfuatilia aliechukua hiyo hela. Kibiashara ukisema wakusaidie kumtafuta mwizi kabla ya kwenda polisi maana yake utawapa majukumu mawili ambapo la kwanza ni kufanya biashara ya mawasiliano na la pili kufuatilia wezi ambalo kimsingi sio jukumu lao maana tayari wameshakupa na option ya kukataa ama kukubali hata kama password yako umeiweka
 
Kuna muda binaadam husongwa na wimbi la mawazo kiasi kwamba anashindwa hata kujua ama kufikiria kile anachokifanya muda huo.. na kujikuta anaruhusu makosa kama hayo kutokea
Ni kweli mkuu ila asilimia ya wanaokosea ni ndogo sana (negligible) kuliko wanaopatia hivyo ni kujitahidi kuwa makini tu hakuna namna, by the way mtu akila hela ambayo imetumwa kimakosa kama ukienda polisi inarudi japokuwa itachukuwa muda mrefu maana wanamtafuta kupitia namba zake ambazo anawasiliana nazo mara kwa mara hata kama simu atazima
 
Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi. Hii ilikuwa accident na sijawahi kosea tangu nianze kutumia hii huduma. Nimesikitika kuwa MPESa haina mechanism ya security kuhakikisha watumiaji wa huduma hawaibiwi. Kwao wanahesabu wamefanya business bila kujali mteja kaibiwa;. Nimejiuliza maswali yafuatayo:
1. VODA hawana uwezo wa kumtrack mteja wao aliyewaibia wateja wengine?
2. Namba ya aliyechukua hela zangu ni 0759548521 inakuwaje Vodacom wanashindwa kunisaidia kupata hela zangu na badala yake kuniambie is non of their business.
3. TCRA inawabanaje hawa wenye kutoa hizi huduma kuhakikisha fedha za mteja hazichopolewi hata pale anapokosea namba au ni kilio cha samaki.
4. Im sure voda wanamjua hata wakala aliyetoa hela na ni rahisi kwa wao kumtumia kumtia mbaroni mwizi ; how come hawataki kujishughulisha na kumwachia aliyeibiwa afanye negotiation na mwizi?

5. Aliyeibiwa yuko Arusha na aliyeiba yuko kanda ya Ziwa na wao wana muscles za kufuatilia nchi nzima ni kwa nini tusione kuwa MPESA siyo salama?

Naomba tusaidiwe hata kama tulikosea ili kupata hela zangu na bado ninaamini wana uwezo wa kufanya hivyo onlu nimekutana tu na VERY WRONG IRRESPONSIBLE AND SHORTSIGHTED STAFF.
Cc.@VodacomTanzania
 
Hiyo umetoa sadaka tena siku ile jamaa alikuwa hana pa kuanzia alipozipata akashukuru mungu
 
Nadhani wanatumia namna hiyo.. ni utaratibu mzuri kwa wateja
Hata vodacom wana hiyo option sema wao unaongea na huduma kwa wateja directly ila kuna namba ya kupiga moja kwa moja ambayo haina jam kama ile ya kupiga 100 ambayo ni 15366 kama hawajabadilisha (ukipiga faster wanai-block) yaani kwa mtu ambae ela imeingia kimakosa lazima utaiwahi ndani ya dakika 2 ama 3 ukiacha wale wezi ambao wanakuwa wamejipanga kumtapeli mtu ambao ndani ya sekunde 50 ela wameshaivuta
 
Kunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe
Kwa kufanya hvyo unachelewesha biashara za watu. Wakati unatuma pesa Mara nyingi anayetumiwa huwa anaulizwa ni jina gani litakalo jitokeza, pia kuhakiki namba ya sim unayotumia hela lakin pia kuna kipengele cha kuthibitisha kuwa unatuma hela kwa flani. Swala LA vodacom kujua aliyetumiwa hela sio mlengwa sio rahisi the simple reason ni kuwa umethibitisha kabla ya kutuma. Kitu vodacom wanachoweza kufanya ni kuzizuia hizo hela ikiwa tu alizipokea hajawahi kuzitoa pili kuwasiliana naye na kumweleza kuwa amepokea pesa ambazo hakupaswa kuzitoa, tatu kuiseti account yake ikiwa tu pesa zimeingia basi wanafanya direct deduction na kumrefund mhusika. Asante sana karibu vodacom
 
Back
Top Bottom