Nahisi kuwa kwa 85% mawasiliano ya simu hayana faragha na sio salama kabisa

TZ-1

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
3,211
5,444
Habari za wakat wana jamvi?.

pamoja na kujua maswala wachache kuhus technology lakn awali kbsa napenda kutuituPia lawama iPhone na Tigotanzania NA TELEGRAM kwakushindwa kuweka mawasiliano ya wateja wao kuwa faragha

Nakumbuk hapo Nyuma kdogo kama kumbukumb zangu zko vzr tigo iliwah kubuluzwa kortin kwakutoa taarfa za mteja .

Katika hali ya kawaida nikiwa na shughuli zangu za kimaisha nilikutana na dada mmoja ambae kwa kaz ninazozifanya aliwiwa kufanya kaz na mimi niliweza kufanya kaz yake vzr hadi kupelekea mawasiliano yetu yakawa yanatuvitia all the time ni mawasiliano hadi tukawa na mada zngne nchi ya business

Mnmo mwaka 2023 nazn kuanzia September hv kam sio October jamaa ake akufurahishwa na mawasiliano bain yangu na mwanamke wake(ALIONYESH KUW AMEWEZA KUYANASA) akanielekeza ila sasa kwakuw huyu dada alikuw tayr you deep interest hakuw weza jizuia tusiwasiliane nami (especially ilikuw ni katk ya business za pesa).🫥

Mawasiliano yaliendea kuptia number yake ya tigo kuja kwangu (nyakt hizo.mimi nkiw na shughuli zangu mikoa tofaut tofaut) ikaonyesha jamaa ana uwezo wa access mawasiliano yetu direct , way foward akajiongez kutumia simu za watu kunipgia ikawa bado jamaa anajua nimeongea nae kuptia number ingine hali ambayo mimi kama mwana teknolojia mdogo nijiulze mbona faragha n ndogo wakat naendelea kuona n ktu cha ajabu kbs na nkzan kuw labda jamaa anachez tuu na saikolojia ya huyo dada lakn hali halisi ilionyesha jamaa anauwezo wa ku monitor mawasilion ata kama mtu wake atapga kwakutumia cmu ya mtu mwingne, way foward wote tukawa tunatumia simu za watu wengine na once tukitumia hiyo number hatutumii tena lakn bado mawasiliano yakavuja .

Zaid pia niliweza tumia telegram ambayo naamin ni secured %(on chatting nikiwa na clear for all chat history lakn bado mawasiliano yalivuja)

Tusaidien wana technology huyu mtu anatumia njia gan ku track hadi mawasiliano ya number zngne ambazo hazina UHUSIANO kbsa na number anazozijua

jamaa aliwez kutoa taarfa ambazo ni sahihi kbs kuw mawasiliano yetu yanadukuliw kwa 100,%
Taarfa ndan ya cmu zetu zkiw c salam na hii means huyu mtu anashirikiana watao huduma au anatumia nn

TUPEANE UZOEFU LAKN NIKIWAKUMBUSHA TUPO UCHI KBSA KUPITIA MITANDAO YA CMU HASA TUNAYOINA NI MITANDAO MIKUBWA .MAPINDUZ MAKUBW YANAHITAJIK NA HAPA NDIO TUJUE MCC INAUWEZO WA KUISHINDIA HADI KIAAMA KAMA HATUWEZ CC RAIA KUFANYA PHYSICAL MAPINDUZI
 
NA ninachojua na huu ujumbe anawez soma tuu kam mwanacham mwingne ,

Atleast nahis jamii forum ni salam kulko ata telegram
wallpaperflare.com_wallpaper.jpg
 
Acha uandishi wa kipanyarodi, andika maneno kamili ili hata tusio wahuni tushiriki kwenye mjadala, hii kbs na kbsa ni nini! Salam kbsa ni kitu gani?
 
Acha kufanya mawasiliano na demu wa mtu, kiasi icho mzee hadi telegram, mara namba nyingine , pia unaonekana umeanza kutamani SODA YA MGENI
 
Mnapotumia namba tofauti kuwasiliana, Je mnatumia na device tofauti? Au device ya huyo dada ni hiyo hiyo anabadili line tu?
 
Akiweza kujua kuwa mnawasiliana kwa email basi huyo mtu ni mchawi
 
Back
Top Bottom