M-Pesa sio salama

M-Pesa sio salama

Hapo kwa kifupi huyo so mwizi sema ni mistake yako katika operation, japo naye inabidi atumie uungwana kurejesha, na unaweza kukuta imemkuta katika situation hana hela anataka alipe marejesho access,

Jiulize kwanini hata bank wanasema count your money before you leave the counter, Au M-PESA wanasema, hakikisha namba ya mteja kabla ya kutuma pesa, mbaya zaid kabla hujatuma ina display jina, je hukugundua kwamba unayemtumia siye??

Watu walilalamika sana kutuma hela kusiko, mitandao ikaboresha kabla ya hela kwenda inaleta jina ili ujue nani anapokea
 
Kabla ya kubonyeza moja (1) hukuangalia jina la anayepokea fedha hiyo?!!!😳😳
 
Tumia akili neno kupoteza maana yake inabakia kupoteza kwa maana siyo intentional similarly na kilichotokea kwangu. some mechanism has to be in place kuzui watu wasio waaminifu
Mechanism ipo, ndo kama walichofanya. Bahat mbaya walikuta alishaitoa. But angekua hajatoa wangekurudishia. Again na ww tumia akili, inawezekana pia huyo mtu alikua anasubiri hela kutoka somewhere so hakua na shaka. Na pili, we unashindwa nn kumpgia umuombe akurudishie, sio kila mtu mhuni kama ww!

Kitu ambacho hakiwezekan pia ni voda kuzuia mtu aliyepokea hela eti asitoe kwa muda flan kwanza coz hiyo huduma sasa itakua sio efficient, itakua ina time lags na itakua haijasolve tatizo linalomaanishwa kuwa solved na huduma za e-money! E-money has to be instant and money received at real time when such amount is sent. Haitakiwi ku-hang yan haipo kwa mtumaji wala mpokeaji.

Narudia ushauri wangu kwamba kama mtu amepokea hela kimakosa na akatoa basi angalau awekewe shimo/deni kwenye akaunti yake ili akipokea hela nyngine akatwe! Ndivyo hata benki wanafanya ivo kama mteja atawekewa hela kimakosa na akaitoa/tumia.
 
Kama huna ahadi yoyote ya kupokea hela how come uwe na haraka ya kutoa hela ambayo huitambui
Hiyo ni kesi ya aliyetumiwa kimakosa.Swali ni je,kama aliyetumiwa ni mtu sahihi naye asubiri dakika 10 au zaidi?
 
Suppose namba zangu ni 075423678 na niliyokosea inasoma 0754233978 . sometime ni ngumu kuona hiyo namba hapo katikati haswa ukizingatia mazingira niliyotumia hela yalikuwa kwenye gari linalotembea.
Nikweli ila makosa yako kwako bado..jaribu kuongea nao pindi ikitokea akatumiwa hela eletwe kwako..mimi nilisha wai kutuma lak 6 kimakosa kuja kugundua keshatoa..ila nikafanikiwa kupata lak na nusu baada yeye kutumiwa ela kesho yake nyingine mpaka leo ni sadaka
 
Ninaamini kabisa pamoja na joking nyingi zinazoendelea kuhusu hili jambo bada VODAcom wanaweza kufanya follow up huyu mtu aliyechukua hela akapatikana hata kabla ya saa 12 jioni. Paypal wana utaratibu wa namna hiyo hakuna mahali watasema eti ni uzembe bali wao ukosee usikosee watahakikisha hela yako haipotei.
 
Walichoniambia MPESA nimwombe mwizi arudishe hela zangu na ameamua kukaa kimya.
Jina la mwizi ni SAMWELI DEU MWENYE NAMBA 0759548421 na anaolafudhi ya kisukuma yet wanajidai hawawezi kumpata
Huyo jamaa sio mwizi, pesa umempa mwenyewe. Kwa hiyo haipaswi kumuita mwizi.
 
Tatizo la Mitandao yetu ya simu inatumia cheap labour na na watu ambao wamezoea kufanya kazi kimazoea na very short foresight kiasi kwamba kufikiri beyond the horizon ya meza zao ni ngumu sana
 
Nilikuwa kwenye maombi..nilipoona hela imeingia nikajua maombi yamejibiwa mkuu.....nikaitoa fasta....sasa nashaNgaa unanianika humu jukwaani......naomba uvumilie ...utapata nyingine
Aisee..!! Mbona unazidi kumpa machungu jamaa
 
Ukituma pesa kimakosa ni uzembe wako usianze kulalamika acha upoyoyo na saivi wameboresha adi wanaleta jina kabla haujatuma.

Unaanza kuita watu wezi amekuja kukuibia ? Wewe si umetuma mwenyewe kwenye no yake hajakuomba, kwa nn asiitumie kama unampigia harafu unamjibu kwa kejeli ata kama ni mm naitumia icho kiela chako tukalipane police ndo safi.

M - pesa ni salama sana usichafue huduma za watu kwa kukosa mwenyewe umakini, ni mara chache sana kuskia kuwa mtu kaibia ela m pesa bila yey kujua, labda wawe hacked line yako ya simu.
 
Mtu anamamlaka ya kulalamika kwa sababu haijakuwa revealed katika mkataba wowote kama ukikosea namba basi usitufuate ni juu yako. MPESA ni muhimu waka weka open kuwa kama ukituma fedha wrongly basi haiwahusu na wawasainishe wateja.
 
Ukituma pesa kimakosa ni uzembe wako usianze kulalamika acha upoyoyo na saivi wameboresha adi wanaleta jina kabla haujatuma.

Unaanza kuita watu wezi amekuja kukuibia ? Wewe si umetuma mwenyewe kwenye no yake hajakuomba, kwa nn asiitumie kama unampigia harafu unamjibu kwa kejeli ata kama ni mm naitumia icho kiela chako tukalipane police ndo safi.

M - pesa ni salama sana usichafue huduma za watu kwa kukosa mwenyewe umakini, ni mara chache sana kuskia kuwa mtu kaibia ela m pesa bila yey kujua, labda wawe hacked line yako ya simu.
FEDHA IMETUMWA TOKA ACCOUNT YA BANK KWENDA MPESA NA HUWA HAIONYESHI JINA . Ingekuwa ni kama unavyosema isingekuwa rahisi. next time tumia maneno ya kistaarabu usifikiri wote humu ni watoto wenzako
 
kama amekosea kutuma mpesa na imetolewa Mpesa wafanye nini?

Wanapaswa kuangalia kama kweli mteja katuma hela na aliyetumiwa hela kaipokea na kuitoa. Hapo ni kuisitisha kwa muda namba ya mteja aliyepokea pesa kimakosa mpaka atakapoirudisha. Kinyume na hapo hao voda wanaendekeza wizi kwa pesa za wateja wao.
 
Haya sasa mna letewa option ya kurudisha Muamala endapo utakua ume tuma kimakosa una zuia mwenyewe hii option ipo tigo pesa #6. >1Rudisha muamala
Naamini baadae mitandao yote itakua na hii huduma ya kufanya self reversal
Itokee ume kuta jamaa kashatoa izo pesa bado utakuja kulalama vile vile
Jambo la msingi ni kua Hakikisha namba ya unae mtumia pesa kabla huja tuma pesa..
 
MPESA tuseme ni uvivu tu wa kufikiri nakujiongeza ilitakiwa wafuatilie. Mteja aliyechukua ni wa VODA halafu aliyechukuliwa hela zake ni wa voda hii ni sawa na mama kumficha na kumtetea mtoto mtukutu alitempiga kaka yake. VODACOM kuweni waungwana
 
Back
Top Bottom