Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,429
yaani moderators wa jf wamegeuzwa misukule na huyu ludovick na wanajua anapotosha tu
Sio high possibility, he is insane!.Loohh! high possibility huyu jamaa insane
Imekuuma kusema nataka kuchepuka nae, njoo basi nkuchepushe kwa mwarabu...
Ili kuweka kumbukumbu sawa na kusahihisha upotoshaji na uongo wa wapuuzi wanaodanganya watu kuwa huyu ndugu ndiye alifadhili harusi na ndoa yangu.
Sio high possibility, he is insane!.
Pasco
Pole kwa maradhi ya Msongo ..........UNATIA aibu sana ni miaka miwili haya mambo , why leo mwambie M1 aoe nawe ukasimamia Ndoa japo mkeo ka kukimbia na unahangaika mtaani kwa Msongo ........utasema mengi hata ile Dili ya milioni /30View attachment 187933
Wakuu,
Kumekuwa na madai ya uongo na kupotosha hapa kwa muda mrefu hapa kuwa Lwakatare ndiye alisimamia ndoa yangu. madai haya yalitolewa kwa mara ya kwanza na Tundu Lissu hadharani na tangu hapo mashabiki wa chama chetu cha CHADEMA wameendelea kuamini kuwa ni kweli Lwakatare alikuwa msimamizi wa ndoa yangu.
Napenda leo kusema rasmi kuwa ndugu Lwakatare hajawahi kuwa msimamizi wa ndoa yangu kwa maana ya patron (best man) wala kwa maana ya kuwa mfadhili mkuu. aliyesimamia ndoa yangu ni kijana mwenzangu anaitwa Prosper Mberwa (pichani kulia kwangu, na mke wake Savera (pichani kushoto kwa mke wangu). hawa wengine waliosimama nasi ni ndugu zetu wanafamilia wa pande zote mbili.
Nalizimika kusema kuwa Lwakatare alichangia harusi yangu kama wengine na alichangia SH. ELFU 30. namshukuru kama wote walionichangia.Picha hii ni authentic,ilipigwa Morogoro Hotel, jioni ya siku ya ndoa yangu tarehe 28 july,2012.
sasa wanaosema Lwakatare ndiye aliyesimamia ndoa yangu wanapotosha umma kwa sababu gani? uongo huu wa nini? maana siyo vizuri watu wanaoaminika na jamii kudanganya. "you can fool some people all the time, and you can fool all the people for some time, but you can not fool all the people all the times". sasa baadhi anzeni kuona kuwa watu hawa mnaowaamini sana wakati mwingine hudanganya.
Alcohol content ya Lubisi ni 98 % wewe umetumia kiasi gani ili tujue brain yao iko level ganisijawahi kuishi kwake. nimewahi kufika kwake mara mbili tu na mara zote sikuwahi kukaa zaidi ya saa mbili. lakini waongo wa chadema wamekuwa wanadanganya humu kuwa nimewahi kuishi kwake. huyu ndugu ni rafiki yangu tu
Pole kwa maradhi ya Msongo ..........UNATIA aibu sana ni miaka miwili haya mambo , why leo mwambie M1 aoe nawe ukasimamia Ndoa japo mkeo ka kukimbia na unahangaika mtaani kwa Msongo ........utasema mengi hata ile Dili ya milioni /30
Wewe ni msukule wa ufipaAtasema mengi hakika, mpaka zile zilizo tumwa kupitia kwa wakala na bado watu wakajua ziliko toka.
Atasema hata zile alizopewa karo alipozuiwa kufanya mtihani akiwa Duce.
Atasema mengi...