Lwakatare Hajawahi Kusimamia Ndoa Yangu

Lwakatare Hajawahi Kusimamia Ndoa Yangu

Mkuu mkisingiziana wenyewe kwa wenyewe sio mbaya tatizo kumsingizia wa upande mwengine, kwa kweli nimefurahi kusikia kwamba kumbe si yote yanayoongelewa upande wenu ni ya kweli.
 
Ludovic, wewe na wewe kwa kuhangaika, hivi huna kazi? Hayo mambo ya nani alisimamia ndoa yako yanatusaidia nini sisi? Halafu hebu twambie ni kwa nini hiyo picha imeungwa ungwa? Hata kufanya forgery hujui.

Tiba
 
Cheti cha ndoa ndo kila kitu... kiweke hapa tuone.. sikuhizi mambo yalivyo ni anasaini mwingine na best man anakua mwingine..
 
Mkuu nimekusoma tangu juu busara yako...kwa ufipi achana naye mwenzako yupo kazini na ametumwa kufanya hayo.

Usiku mwema.

Mkuu frema120 asante sana mkuiu
Mambo mengine ni kujidhalilisha na kama alivyosema Pasco hapo juu huyu jamaa anahitaji msaada maana hiyo "motive behind" aliyonayo inamuumiza sana na hawezi kuwa wazi kuisema
Haya ni mambo binafsi mno ambayo hayastahili hata kusemwa kwa watu kiasi cha michango aliyotoa
 
Last edited by a moderator:
sijawahi kuishi kwake. nimewahi kufika kwake mara mbili tu na mara zote sikuwahi kukaa zaidi ya saa mbili. lakini waongo wa chadema wamekuwa wanadanganya humu kuwa nimewahi kuishi kwake. huyu ndugu ni rafiki yangu tu

Waongo wa CHADEMA! kijana tuheshiamane, kama una matatizo na Lissu au Lwakatare sio unajumlax2 bila kufikiri kama KASUKU
 
Upuuzi tu na kujipa promo, hii nchi ina vitu vingi vya kujadili, who are you BTW? TBH nyie ndio mnaendekeza mambo ya umbea na nchi hii haiwez kuendelea kwa akili km hizi
 
Ili kuweka kumbukumbu sawa na kusahihisha upotoshaji na uongo wa wapuuzi wanaodanganya watu kuwa huyu ndugu ndiye alifadhili harusi na ndoa yangu.

Hongera, kumbe ulioa juzi kati tu, picha nimefikiri ya mwaka 93. Masikini shemeji, alienda nyumbani kabisaa na kutamka 'wazazi nimepata mchumba'. Mpe pole zake nyingi
 
Najaribu kufikiria CHADEMA ikiacha kuwepo sijui itakuwaje. Kama mtu anaweza kuanika hadharani masuala yake binafsi kwa sababu ya chama hicho, basi kimekuwa ugonjwa sasa. Nadhani wapo wengi wanaathirika kisaikolojia na CHADEMA na itabidi watafutwe mabingwa wa kutoa tiba kuwanusuru.
 
mimi nahisi wewe unapungufu wa akili, yaani rafiki yako unaweza ukatangaza hata kiasi alichotoa kwenye JF? Pelekea mbali upuuzi wako, sisi tunataka mijadala ya kulijenga taifa letu. hata angekupa 1000 ni mchango pia na kipindi hicho uenda ulikuwa unaitaji msaada mdo maana uliipokea. sasa harusi imeisha una anza kutuletea makamasi hapa! matokeo yake bado muda mfupi utatwambia siri za mkeo za chumbani.elewa kabisa kwa hili hujatumia hekima hata kidogo
 
Mtu akiwa anazama anatapatapa sana na miti yote imeteleza. Pole sana Ludovick.
 
View attachment 187933

Wakuu,

Kumekuwa na madai ya uongo na kupotosha hapa kwa muda mrefu hapa kuwa Lwakatare ndiye alisimamia ndoa yangu. madai haya yalitolewa kwa mara ya kwanza na Tundu Lissu hadharani na tangu hapo mashabiki wa chama chetu cha CHADEMA wameendelea kuamini kuwa ni kweli Lwakatare alikuwa msimamizi wa ndoa yangu.

Napenda leo kusema rasmi kuwa ndugu Lwakatare hajawahi kuwa msimamizi wa ndoa yangu kwa maana ya patron (best man) wala kwa maana ya kuwa mfadhili mkuu. aliyesimamia ndoa yangu ni kijana mwenzangu anaitwa Prosper Mberwa (pichani kulia kwangu, na mke wake Savera (pichani kushoto kwa mke wangu). hawa wengine waliosimama nasi ni ndugu zetu wanafamilia wa pande zote mbili.

Nalizimika kusema kuwa Lwakatare alichangia harusi yangu kama wengine na alichangia SH. ELFU 30. namshukuru kama wote walionichangia.Picha hii ni authentic,ilipigwa Morogoro Hotel, jioni ya siku ya ndoa yangu tarehe 28 july,2012.

sasa wanaosema Lwakatare ndiye aliyesimamia ndoa yangu wanapotosha umma kwa sababu gani? uongo huu wa nini? maana siyo vizuri watu wanaoaminika na jamii kudanganya. "you can fool some people all the time, and you can fool all the people for some time, but you can not fool all the people all the times". sasa baadhi anzeni kuona kuwa watu hawa mnaowaamini sana wakati mwingine hudanganya.

Mwl inamsaada gani Sasa Haya watu wanaongelea katiba wewe unaongelea harusi huko ndani ni salama Kweli
 
Naona amekimbia kabisa thread kwa ID ile. Nahisi anachungulia katika camera. Ludovic usichezee wanaume na wanawake wa JF wengi wetu tuna uchungu na nchi yetu. Nyie wachache mamluki mnaoishi kwa hela za kuhongwa na wanasiasa msilete ukichaa humu. Hakuna masihara. Kama wewe mwanaume jitokeze uje ujibu maswali hapa. Huna adabu kubwa zima wewe.
 
sijawahi kuishi kwake. nimewahi kufika kwake mara mbili tu na mara zote sikuwahi kukaa zaidi ya saa mbili. lakini waongo wa chadema wamekuwa wanadanganya humu kuwa nimewahi kuishi kwake. huyu ndugu ni rafiki yangu tu

kwa post hii huyu si rafiki yako..mtu gani unamwanika rafiki yako kiasi hiki..wewe jamaa utakuja kukimbia ukichaa,***** zako..
 
sijawahi kuishi kwake. nimewahi kufika kwake mara mbili tu na mara zote sikuwahi kukaa zaidi ya saa mbili. lakini waongo wa chadema wamekuwa wanadanganya humu kuwa nimewahi kuishi kwake. huyu ndugu ni rafiki yangu tu


sasa na amount ya mchango wake unaonyesha kabisa jinsi gani wewe ni wa kawaida kwake. so nini kimekufanya utaje pesa hiyo? ili iweje? kesho tutaona unaanika wote waliokuchangi.

haufai kuwa kiongozi as haujui kujitetea. weka picha uklio kanisani na padre akikubariki na wapambe wakko pembeni.
 
Ningependa kuwapa usia wanawake ni bora kukosa mume kuliko kwenda kwenu na kuwaambia umepata mchumba kumbe mchumba mwenyewe ndio kama huyu Ludovick kwakweli namuonea huruma mkewe ameuvaa mkenge.
 
Back
Top Bottom