Lwakatare Hajawahi Kusimamia Ndoa Yangu

Lwakatare Hajawahi Kusimamia Ndoa Yangu

Hatukatai yamesemwa ila haya ni mambo madogo sana ambayo ni wewe ni mhusika kuyamaliza na kama kuna forum kwenye chama chenu ya kuongea haya mngeyamaliza huko huko
Sioni hili linasaidia nini hapa au linamsaidia vipi mtu ambaye hakujui na wala hamjui Lwakatare na issue ya ndoia yako ni mambo binafsi ambayo hayahitaji kuja kuyaanika kwenye forum mpaka na picha zako

Mkuu nimekusoma tangu juu busara yako...kwa ufipi achana naye mwenzako yupo kazini na ametumwa kufanya hayo.

Usiku mwema.
 
Mkuu endelea kutujaza na kutuhabarisha mambo ambayo chadema wamepotosha Umma!

Nilikuwa na mwalimu wangu wa hesabu Maruku sekondari anaitwa Pasco Rutashobolwa na alikuwa safi.
Wewe hili jina unalinajisi kwa maana kila unachopost au kucoment ni takataka tu.
Sasa chadema wapotoshe ndoa ya huyo "chichidodo"ili iweje?
 
View attachment 187933

Wakuu,

Kumekuwa na madai ya uongo na kupotosha hapa kwa muda mrefu hapa kuwa Lwakatare ndiye alisimamia ndoa yangu. madai haya yalitolewa kwa mara ya kwanza na Tundu Lissu hadharani na tangu hapo mashabiki wa chama chetu cha CHADEMA wameendelea kuamini kuwa ni kweli Lwakatare alikuwa msimamizi wa ndoa yangu.

Napenda leo kusema rasmi kuwa ndugu Lwakatare hajawahi kuwa msimamizi wa ndoa yangu kwa maana ya patron (best man) wala kwa maana ya kuwa mfadhili mkuu. aliyesimamia ndoa yangu ni kijana mwenzangu anaitwa Prosper Mberwa (pichani kulia kwangu, na mke wake Savera (pichani kushoto kwa mke wangu). hawa wengine waliosimama nasi ni ndugu zetu wanafamilia wa pande zote mbili.

Nalizimika kusema kuwa Lwakatare alichangia harusi yangu kama wengine na alichangia SH. ELFU 30. namshukuru kama wote walionichangia.Picha hii ni authentic,ilipigwa Morogoro Hotel, jioni ya siku ya ndoa yangu tarehe 28 july,2012.

sasa wanaosema Lwakatare ndiye aliyesimamia ndoa yangu wanapotosha umma kwa sababu gani? uongo huu wa nini? maana siyo vizuri watu wanaoaminika na jamii kudanganya. "you can fool some people all the time, and you can fool all the people for some time, but you can not fool all the people all the times". sasa baadhi anzeni kuona kuwa watu hawa mnaowaamini sana wakati mwingine hudanganya.

mkuu una umri gani! wewe unafikri hicho kifua ulichopewa ni kwa ajili ya kupiga pushapu au kuweka mambo ndani yake? yani suala dogo hili unaliweka hapa? hujawahi kusemwa huko ulikopita? mkuu una safari ndefu sana!!!! nakushauri ujifunze kuvumilia! hili ni suala binafsi lakini unaliunganisha na chama!!!!
 
sijawahi kuishi kwake. nimewahi kufika kwake mara mbili tu na mara zote sikuwahi kukaa zaidi ya saa mbili. lakini waongo wa chadema wamekuwa wanadanganya humu kuwa nimewahi kuishi kwake. huyu ndugu ni rafiki yangu tu
Ile kanda iliyotupiwa u tbe na kuzalisha kesi ya ugaida mliirekodia wapi?
 
wewe ludo ni msariti. umeleta hii picha itusaidie nini? mika miwili tangu tukio litokee ulikuwa wapi kuileta hii picha mapema? kwa kuwa wewe ni specialist wa kuforge, yawezekana ata picha ya lwakatare ilikuwepo umeitoa ukabandika mtu mwingine. kama ulitengeneza mkanda ili linakushinda? unasema lwakatare alichanga elfu 30 na hakuwa mtu wako wa karibu kwenye harusi hii. mkumbuka mtu anaweza kutoa mchango mdogo lakini akashawishi watu wengi kutumia jina lake wakachanga zaidi ya milioni 2. mtu kuhudhuria vikao na kuwa na ushawishi inatosha, ulitaka akubebe mgongoni ndio ionekane ni mtu weako wa karibu?ningepata no ya huyu buberwa prosper, ningempigia na kumwambia kuwa ludo kakuanika kwenye mitandao. imebidi nimpigie rafiki yangu mhaya ili aniambie mtu msariti wa kihaya wanamuitaje? kaniambia niandike neno NKORYA. basi wewe utajua maana yake. nachelea kusema pindi nikiona jina lako nitakuita KORYA
 
huu uzi mbona haueleweki! ulitaka kusema nini hapo sasa........au una nia ya kuwaambia nn wanajamvi! Au unataka kumdhalilisha Lwakatare kuwa pamoja na umaarufu aliokuwa nao CUF na CDM amekuchangia kiasi kidogo cha fedha (TZS 30,000/=) kuliko wote!
 
Huyu jamaaa mbulula sana, sasa mambo ya ndoa yako siye yanatuhusu nini hapa JF, ebu peleka mtaani mkayamalize acha kabisa kujaza servers zinagharama kubwa sana.
 
Ndugu Ludo,
Hivi una ujasiri wa kujiita mwanaume?
Aisee,hebu tafuta shughuli ya kufanya Bro.UMEINGIA CHA KIKE.
 
kama ni rafiki yako kwa nini msiyamalize kirafiki mpaka unafikia kuja kumtangaza huku mpaka na kiasi alichotoa kwenye harusi yako
Hivi unaweza kusimama sehem ukasema huyu ni rafiki yangu wakati unamtangaza mpaka na kiasi alichotoa kwenye harusi yako

Kama mtu katoa kiasi kikubwa cha pesa kama hicho kwa nini usimtangaze kuonyesha unavyo mkubali?
 
jamani hivi mwigulu ameacha kukutumia m pesa za 50,000? maana unahangaika kama kuku anayetaga
 
Wakuu,
Nalizimika kusema kuwa Lwakatare alichangia harusi yangu kama wengine na alichangia SH. ELFU 30. namshukuru kama wote walionichangia.
Mkuu Joseph Ludovick, asante kwa taarifa ya harusi na kiwango cha baadhi ya michango uliochangiwa!, hii ni muendelezo wa ile "insanity" niliokueleza kule kwenye ile thrad yango nyingine!, heshima ni kitu cha bure, shukrani ni kitu cha bure na kutoa ni moyo na sio utajiri!. Nilikuambia natatizwa na "the motive behind" some of you threads hata kama utadai lengo lako ni safi na unafanya kwa nia njema kabisa, "to tell the truth in good faith!", na hivi ndivyo unavyoonekana hapa, but the "underlying motive" ni very visible!, lengo sii tu ni kuudharau moyo wa kujitolea, na mchango in deeds aliojitolea kwa kujitoa kwenye harusi yako, with dedication, and time spent, hayo yote hukuyaona, hukuyajali, na hukuyathamini, bali pia umekuja kumdhalilisha kwa kuexpose monenary side ili kujionyesha thamani ya mchango wake kwako ni ndogo sana, hivyo kujidistance nae ili kuu justify ule u "Yuda Iskariote" uliomfanyia, ionekane uliyafanya yote yale kwa sababu hakuwa mtu wako wa karibu!.

Kama unajua wazi kuwa mtajwa alikuwa ni mwana kamati kwenye kamati yako, basi amesimamia harusi yako!.

A man insane, hufikia stage ya kutoweza kupambanua jema na baya, and sometimes some of his actions ni threat to himself!.

Wajemeni, kama kuna ndugu wa Joseph Ludovick humu anayenisoma hapa, nawashauri, msaidieni ndugu yenu huyu, he seriously need help!.

Thanks.

Pasco
 
hivi kaka hauwezi kuishi bila kuwa na tabia za kishoga? CHADEMA au CCM zitakusaidia nini ktk maisha yako ya mbeleni? nimesoma post zako nyingi ni chuki tu kwa binadamu wenzako badilika basi hadi unakera.
 
Back
Top Bottom