Ili kuweka kumbukumbu sawa na kusahihisha upotoshaji na uongo wa wapuuzi wanaodanganya watu kuwa huyu ndugu ndiye alifadhili harusi na ndoa yangu.
Hii habari haijawa timely,naomba kuuliza mlikkuwa na uhusiano gani kifamilia na Lwakatare, vp uliwahi kuishi kwake? Je una ugomvi nae?
Sent from my BlackBerry using JamiiForums
View attachment 187933
Wakuu,
Kumekuwa na madai ya uongo na kupotosha hapa kwa muda mrefu hapa kuwa Lwakatare ndiye alisimamia ndoa yangu. madai haya yalitolewa kwa mara ya kwanza na Tundu Lissu hadharani na tangu hapo mashabiki wa chama chetu cha CHADEMA wameendelea kuamini kuwa ni kweli Lwakatare alikuwa msimamizi wa ndoa yangu.
Napenda leo kusema rasmi kuwa ndugu Lwakatare hajawahi kuwa msimamizi wa ndoa yangu kwa maana ya patron (best man) wala kwa maana ya kuwa mfadhili mkuu. aliyesimamia ndoa yangu ni kijana mwenzangu anaitwa Prosper Mberwa (pichani kulia kwangu, na mke wake Savera (pichani kushoto kwa mke wangu). hawa wengine waliosimama nasi ni ndugu zetu wanafamilia wa pande zote mbili.
Nalizimika kusema kuwa Lwakatare alichangia harusi yangu kama wengine na alichangia SH. ELFU 30. namshukuru kama wote walionichangia.Picha hii ni authentic,ilipigwa Morogoro Hotel, jioni ya siku ya ndoa yangu tarehe 28 july,2012.
sasa wanaosema Lwakatare ndiye aliyesimamia ndoa yangu wanapotosha umma kwa sababu gani? uongo huu wa nini? maana siyo vizuri watu wanaoaminika na jamii kudanganya. "you can fool some people all the time, and you can fool all the people for some time, but you can not fool all the people all the times". sasa baadhi anzeni kuona kuwa watu hawa mnaowaamini sana wakati mwingine hudanganya.
sijawahi kuishi kwake. nimewahi kufika kwake mara mbili tu na mara zote sikuwahi kukaa zaidi ya saa mbili. lakini waongo wa chadema wamekuwa wanadanganya humu kuwa nimewahi kuishi kwake. huyu ndugu ni rafiki yangu tu
umechanganyikiwa si kidogo wewe!View attachment 187933
Wakuu,
Kumekuwa na madai ya uongo na kupotosha hapa kwa muda mrefu hapa kuwa Lwakatare ndiye alisimamia ndoa yangu. madai haya yalitolewa kwa mara ya kwanza na Tundu Lissu hadharani na tangu hapo mashabiki wa chama chetu cha CHADEMA wameendelea kuamini kuwa ni kweli Lwakatare alikuwa msimamizi wa ndoa yangu.
Napenda leo kusema rasmi kuwa ndugu Lwakatare hajawahi kuwa msimamizi wa ndoa yangu kwa maana ya patron (best man) wala kwa maana ya kuwa mfadhili mkuu. aliyesimamia ndoa yangu ni kijana mwenzangu anaitwa Prosper Mberwa (pichani kulia kwangu, na mke wake Savera (pichani kushoto kwa mke wangu). hawa wengine waliosimama nasi ni ndugu zetu wanafamilia wa pande zote mbili.
Nalizimika kusema kuwa Lwakatare alichangia harusi yangu kama wengine na alichangia SH. ELFU 30. namshukuru kama wote walionichangia.Picha hii ni authentic,ilipigwa Morogoro Hotel, jioni ya siku ya ndoa yangu tarehe 28 july,2012.
sasa wanaosema Lwakatare ndiye aliyesimamia ndoa yangu wanapotosha umma kwa sababu gani? uongo huu wa nini? maana siyo vizuri watu wanaoaminika na jamii kudanganya. "you can fool some people all the time, and you can fool all the people for some time, but you can not fool all the people all the times". sasa baadhi anzeni kuona kuwa watu hawa mnaowaamini sana wakati mwingine hudanganya.
Wewe usitufanye sisi watoto wadogo.Ilipotolewa hii issue ya wewe kuruka ukuta mrefu mpaka watu kushangaa ulikua wapi uje kuongea leo?nani kakutuma?au akili zako huwa za msimu?Kwa nini hivi karibuni umekuwa ukiongea ongea issues za CDM?Kuna nini unakitafuta?
Ulipaswa kukanusha haya siku nyingi lakini sio leo.Usitafute umaarufu, wewe uliishajipaka kinyesi kwa kuonekana msalaiti.Hakuna atakae kuonea huruma.