Mulungwani
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 456
- 84
Hayo mambo hayatusaidii cc lolote, zaidi tunajua ww ni ombaomba tuu!!!
Hapa Mkuu Singo, swali la tatu lilikuwa very crucial, lakini sikiliza majibu yake!Hii habari haijawa timely,naomba kuuliza
Sent from my BlackBerry using JamiiForums
- mlikkuwa na uhusiano gani kifamilia na Lwakatare,
- vp uliwahi kuishi kwake?
- Je una ugomvi nae?
- sijawahi kuishi kwake. nimewahi kufika kwake mara mbili tu na mara zote sikuwahi kukaa zaidi ya saa mbili. lakini waongo wa chadema wamekuwa wanadanganya humu kuwa nimewahi kuishi kwake.
- huyu ndugu ni rafiki yangu tu
Hapa Mkuu Singo, swali la tatu lilikuwa very crucial, lakini sikiliza majibu yake!
[/LIST]
Mkuu Jose, hilo swali la tatu ni muhimu sana hujalijibu!, The motive behind hilo swali la tatu, ni kukusafisha wewe kwa kukutaka ujustify ule u mafia uliomfanyia una any justification?!, au ni katika kusaka tuu ushujaa, kama ile kazi nzuri iliofanywa na "Bukoba Boy" kule You Tube?!.
Pasco
View attachment 187933
Wakuu,
Kumekuwa na madai ya uongo na kupotosha hapa kwa muda mrefu hapa kuwa Lwakatare ndiye alisimamia ndoa yangu. madai haya yalitolewa kwa mara ya kwanza na Tundu Lissu hadharani na tangu hapo mashabiki wa chama chetu cha CHADEMA wameendelea kuamini kuwa ni kweli Lwakatare alikuwa msimamizi wa ndoa yangu.
Napenda leo kusema rasmi kuwa ndugu Lwakatare hajawahi kuwa msimamizi wa ndoa yangu kwa maana ya patron (best man) wala kwa maana ya kuwa mfadhili mkuu. aliyesimamia ndoa yangu ni kijana mwenzangu anaitwa Prosper Mberwa (pichani kulia kwangu, na mke wake Savera (pichani kushoto kwa mke wangu). hawa wengine waliosimama nasi ni ndugu zetu wanafamilia wa pande zote mbili.
Nalizimika kusema kuwa Lwakatare alichangia harusi yangu kama wengine na alichangia SH. ELFU 30. namshukuru kama wote walionichangia.Picha hii ni authentic,ilipigwa Morogoro Hotel, jioni ya siku ya ndoa yangu tarehe 28 july,2012.
sasa wanaosema Lwakatare ndiye aliyesimamia ndoa yangu wanapotosha umma kwa sababu gani? uongo huu wa nini? maana siyo vizuri watu wanaoaminika na jamii kudanganya. "you can fool some people all the time, and you can fool all the people for some time, but you can not fool all the people all the times". sasa baadhi anzeni kuona kuwa watu hawa mnaowaamini sana wakati mwingine hudanganya.
Mkuu Joseph Ludovick, asante kwa taarifa ya harusi na kiwango cha baadhi ya michango uliochangiwa!, hii ni muendelezo wa ile "insanity" niliokueleza kule kwenye ile thrad yango nyingine!, heshima ni kitu cha bure, shukrani ni kitu cha bure na kutoa ni moyo na sio utajiri!. Nilikuambia natatizwa na "the motive behind" some of you threads hata kama utadai lengo lako ni safi na unafanya kwa nia njema kabisa, "to tell the truth in good faith!", na hivi ndivyo unavyoonekana hapa, but the "underlying motive" ni very visible!, lengo sii tu ni kuudharau moyo wa kujitolea, na mchango in deeds aliojitolea kwa kujitoa kwenye harusi yako, with dedication, and time spent, hayo yote hukuyaona, hukuyajali, na hukuyathamini, bali pia umekuja kumdhalilisha kwa kuexpose monenary side ili kujionyesha thamani ya mchango wake kwako ni ndogo sana, hivyo kujidistance nae ili kuu justify ule u "Yuda Iskariote" uliomfanyia, ionekane uliyafanya yote yale kwa sababu hakuwa mtu wako wa karibu!.
Kama unajua wazi kuwa mtajwa alikuwa ni mwana kamati kwenye kamati yako, basi amesimamia harusi yako!.
A man insane, hufikia stage ya kutoweza kupambanua jema na baya, and sometimes some of his actions ni threat to himself!.
Wajemeni, kama kuna ndugu wa Joseph Ludovick humu anayenisoma hapa, nawashauri, msaidieni ndugu yenu huyu, he seriously need help!.
Thanks.
Pasco
View attachment 187933
Wakuu,
Kumekuwa na madai ya uongo na kupotosha hapa kwa muda mrefu hapa kuwa Lwakatare ndiye alisimamia ndoa yangu. madai haya yalitolewa kwa mara ya kwanza na Tundu Lissu hadharani na tangu hapo mashabiki wa chama chetu cha CHADEMA wameendelea kuamini kuwa ni kweli Lwakatare alikuwa msimamizi wa ndoa yangu.
Napenda leo kusema rasmi kuwa ndugu Lwakatare hajawahi kuwa msimamizi wa ndoa yangu kwa maana ya patron (best man) wala kwa maana ya kuwa mfadhili mkuu. aliyesimamia ndoa yangu ni kijana mwenzangu anaitwa Prosper Mberwa (pichani kulia kwangu, na mke wake Savera (pichani kushoto kwa mke wangu). hawa wengine waliosimama nasi ni ndugu zetu wanafamilia wa pande zote mbili.
Nalizimika kusema kuwa Lwakatare alichangia harusi yangu kama wengine na alichangia SH. ELFU 30. namshukuru kama wote walionichangia.Picha hii ni authentic,ilipigwa Morogoro Hotel, jioni ya siku ya ndoa yangu tarehe 28 july,2012.
sasa wanaosema Lwakatare ndiye aliyesimamia ndoa yangu wanapotosha umma kwa sababu gani? uongo huu wa nini? maana siyo vizuri watu wanaoaminika na jamii kudanganya. "you can fool some people all the time, and you can fool all the people for some time, but you can not fool all the people all the times". sasa baadhi anzeni kuona kuwa watu hawa mnaowaamini sana wakati mwingine hudanganya.
sijawahi kuishi kwake. nimewahi kufika kwake mara mbili tu na mara zote sikuwahi kukaa zaidi ya saa mbili. lakini waongo wa chadema wamekuwa wanadanganya humu kuwa nimewahi kuishi kwake. huyu ndugu ni rafiki yangu tu