Watu wameanza kufufua makaburi. Aiseee hii thread nilichangia kumbe 2014. Nimeanza kuzeekavizuri watu wanaoaminika na jamii kudanganya. "you can fool some people all the time, and you can fool all the people for some time, but you can not fool all the people all the times". sasa baadhi anzeni kuona kuwa watu hawa mnaowaamini sana wakati mwingine hudanganya.
Eeghh unataka kusemaje? MUNGU fundimadai haya yalitolewa kwa mara ya kwanza na Tundu Lissu hadharani na tangu hapo mashabiki wa chama chetu cha CHADEMA wameendelea kuamini kuwa ni kweli Lwakatare alikuwa msimamizi wa ndoa yangu.
😆😆😆😆Eeghh unataka kusemaje? MUNGU fundi
Internet haisahau😆😆😆😆
Alishirikiana kikamilifu na Mwigulu ili kumuumiza LwakatareInternet haisahau
Kama alifanya hivyo basi asimlaumu MTU kuhusu maisha yake kuwa magumu na mabaya .Alishirikiana kikamilifu na Mwigulu ili kumuumiza Lwakatare
Kwani suala binafsi la kusimamiana ndoa lina impact gani kwenye chama ama kwenye maslahi ya umma hadi ugangadike kulileta humu, au ndiyo kampeni zenyewe hizo tena chafu?View attachment 187933
Wakuu,
Kumekuwa na madai ya uongo na kupotosha hapa kwa muda mrefu hapa kuwa Lwakatare ndiye alisimamia ndoa yangu. madai haya yalitolewa kwa mara ya kwanza na Tundu Lissu hadharani na tangu hapo mashabiki wa chama chetu cha CHADEMA wameendelea kuamini kuwa ni kweli Lwakatare alikuwa msimamizi wa ndoa yangu.
Napenda leo kusema rasmi kuwa ndugu Lwakatare hajawahi kuwa msimamizi wa ndoa yangu kwa maana ya patron (best man) wala kwa maana ya kuwa mfadhili mkuu. aliyesimamia ndoa yangu ni kijana mwenzangu anaitwa Prosper Mberwa (pichani kulia kwangu, na mke wake Savera (pichani kushoto kwa mke wangu). hawa wengine waliosimama nasi ni ndugu zetu wanafamilia wa pande zote mbili.
Nalizimika kusema kuwa Lwakatare alichangia harusi yangu kama wengine na alichangia SH. ELFU 30. namshukuru kama wote walionichangia.Picha hii ni authentic,ilipigwa Morogoro Hotel, jioni ya siku ya ndoa yangu tarehe 28 july,2012.
sasa wanaosema Lwakatare ndiye aliyesimamia ndoa yangu wanapotosha umma kwa sababu gani? uongo huu wa nini? maana siyo vizuri watu wanaoaminika na jamii kudanganya. "you can fool some people all the time, and you can fool all the people for some time, but you can not fool all the people all the times". sasa baadhi anzeni kuona kuwa watu hawa mnaowaamini sana wakati mwingine hudanganya.
Nani huyo ?Alishirikiana kikamilifu na Mwigulu ili kumuumiza Lwakatare
Ndiye ila ilikuwa chambo tuAu wewe ndo yule jamaa ambaye ulikamatwa pamoja na Lwakatare katika kesi ya UGAIDI?
Ndiye ila ilikuwa chambo tu
Pascal Mayalla Wamaanisha nani ni insane mkuu?Sio high possibility, he is insane!.
Pasco
Lakini Tundu Lissu aliwaambia watu UONGO ambao hadi mtu kama Pascal mwandishi na mweledi akaaminishwa Tango Pori. Ndiyo maana kwangu Tundu Lissu ni mtu muongo sana asiyestahili kuwa kiongozi popote.Ni kweli hajawahi kuwa Patron wa harusi yako (Lawakatare)
Je wewe ni nani hapa Tanzania ?
Mwanasiasa ?
Msanii
Unajihusisha na shughuli gani , je wewe ni public figure?
Tuambie maana haujulikani unajihusisha na nini , zaidi ya kusifia Ccm
Nimeandika sana humu kuwahusu insane wengi tuu nikitaja vituko vyao vya insanity, bila kuwataja majinaPascal Mayalla Wamaanisha nani ni insane mkuu?
huo UONGO ulikuwa ni kuhusu nani mkuu.Lakini Tundu Lissu aliwaambia watu UONGO ambao hadi mtu kama Pascal mwandishi na mweledi akaaminishwa Tango Pori. Ndiyo maana kwangu Tundu Lissu ni mtu muongo sana asiyestahili kuwa kiongozi popote.
Ungeweza kujibu tu mkuu bila kunirejea kwa thread nzima.......Nimeandika sana humu kuwahusu insane wengi tuu nikitaja vituko vyao vya insanity, bila kuwataja majina
karibu pande hizi
Sasa hivi uko naye kundi mojaAu wewe ndo yule jamaa ambaye ulikamatwa pamoja na Lwakatare katika kesi ya UGAIDI?
Sasa Hivi wewe na yeye mko kundi moja, wanafiki wakubwa nyieKama alifanya hivyo basi asimlaumu MTU kuhusu maisha yake kuwa magumu na mabaya .
Maana Lwakatare baada ya hiyo kesi Mungu alimuinua akawa Mbunge wa Bukoba Mjini.