Ranks
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,583
- 1,098
mnatakakuendelea na matamko,maendamano,migomo,sumu,kugawa namba za watu, wizi wa wake za watu,matumizi mabaya ya ruzuku na misuguano isiyoisha .r.i.p.chadema
WALLAH leo umedata kimtindo.
mnatakakuendelea na matamko,maendamano,migomo,sumu,kugawa namba za watu, wizi wa wake za watu,matumizi mabaya ya ruzuku na misuguano isiyoisha .r.i.p.chadema
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.
Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la utekaji ambalo kimsingi ni Jinai na lina dhamana.
Taarifa zaidi zinasema ni shangwe kuu kutoka kwa wafuasi wa CHADEMA walioko mahakamani na Familia ya Lwakatare.Baadhi ya wafuasi wa CHADEMA waliohojiwa wamesema huu ni ushindi mkubwa dhidi ya udhalimu.
Mwanafamilia mmoja wa Lwakatare huku akibubujikwa machozi akasema mkono wa Mungu umeonekana dhidi ya shetani mtoa roho za watu.
Katika kesi hii Lwakatare anawakilishwa na Jopo la mawakili nguli watano ambao ni Mabere Marando,Tundu Lissu,Professor Abdallah Safari,Peter Kibatala na Naronyo Kicheere.
Ingia na ID yako uone mimi na wewe nani Coward.Pathetic indeed!
Ma,ccm kweli mapompopo sijui watatunga nini tena, i hate such useless party
Hizi mahakama siku hizi hovyo kabisa, hazitendi haki ikaonekana imetendeka..wanahongwa vipesa kidogo tu hoi
Asante sana mkuu Ngongo.Mwenyezi Mungu anaendelea kuniponya,yeye ni Mungu wa rehema.Duh pole sana Ben Saanane natumaini utapata nufuu na kupona haraka lakini pia usijekuta neno la Rais mtarajiwa toka Kigoma lishaanza kufanyakazi.
Tumeiona video lwakatare akipanga ugaidi, akipanga kulisha mtu sumu, akipanga kumteka mtu..hasafishiki yule ni gaidi tu
Lwakatare amefutiwa mashitaka yote ya ugaiidi na judge wa mahakama kuu.
Amebakiwa na shitaka moja tu linalohusu madai.
Lijinga likubwa wewe! Leo hamlipwi
unafurahia ugaidi na ulishaji sumu ee?
Ni ngumu sana kusafisha kinyesi
Hizi mahakama siku hizi hovyo kabisa, hazitendi haki ikaonekana imetendeka..wanahongwa vipesa kidogo tu hoi