Tatu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2006
- 1,143
- 375
Wote wanaofurahia kubadilishwa kwa masjtaka dhidi ya lwaka ni wauwaji na ni magaidi
Watafiti wa dawa za binadamu huwa wanaanzia utafiti wao kwa wanyama wadogo kama panya na wakifanikiwa wanaanza kutibu watu.
Magamba kupitia daktari wao bingwa, Kinana wanafanya opposite. Wanaanzia na wanyama wakubwa kama tembo, wanawang'oa meno na pembe, baadae wakifanikiwa wanahamia kwa binadamu kung'oa kucha, meno, na macho.