Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Tulianza na MUNGU na tutayasafisha Magamba kwa nguvu za MUNGU. PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEES!!!!
 
Hakika sauti ya watu ni sauti ya Mungu.
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la utekaji ambalo kimsingi ni Jinai na lina dhamana.Taarifa zaidi zinasema ni shangwe kuu kutoka kwa wafuasi wa CHADEMA walioko mahakamani na Familia ya Lwakatare.Baadhi ya wafuasi wa CHADEMA waliohojiwa wamesema huu ni ushindi mkubwa dhidi ya udhalimu.Mwanafamilia mmoja wa Lwakatare huku akibubujikwa machozi akasema mkono wa Mungu umeonekana dhidi ya shetani mtoa roho za watu.Katika kesi hii Lwakatare anawakilishwa na Jopo la mawakili nguli watano ambao ni Mabere Marando,Tundu Lissu,Professor Abdallah Safari,Peter Kibatala na Naronyo Kicheere.
 
Mwigulu Njemba aliwapaka watu kinyesi chake baada ya kujinyea.

Kuna DNA siku hizi mkuu.
 
Yani huyu DPP kumbe msanii ,anabambikia watu kesi.kama kesi ni dhaifu kiasi cha kutupwa ndani ya mda mchache maanake DPP ni kihiyo na ni msanii mzuri anaetumiwa na wanasiasa.
 
hakika ile tomahawk missile aliyoidondosha mabere marando(zile number za simu za watu wanaoshiriki matukio ya kishetani) has reduced everything to ground level.

watu wanatumia akili za degree za kukremu na vyeti vya kununua kutunga upuuzi wasioweza kuutetea!!! hawajui cdm kuna watu wamekaa madarasani kubukua elimu za kiukweee!! hizi elimu za magamba za madesa kaaaaaaaazi kwl kwl.

Ritz dont hunt what you cant kill baba, neither should you expect wishes to be horses....
cc chemba
 
Huyu Mwigulu ni very S.ER.U.KAM.B.A!alidiriki kusema ndani ya bunge kuwa yupo tayari kutoa USHAHIDI hata MBINGUNI.
 
Sasa waheshimiwa mawakili wajipange kumgeuzia kibao Nchemba aseme hiyo video ya Chadema kupanga mauaji ipo wapi, huyu mtu si wakaucha wala kuchekea, huo wadhifa alionao ameupata sababu ya kuichafua Chadema, sasa ni wakati wa hicho cheo kumtokea puani na iwe fundisho kwa washenzi wengine.
 
mwigulu nchemba saidia wananchi wako wasome na wapate maandeleo achia watu wenye taaluma zenye manufaa wafanye kazi zao ww hata ukienda wapi hutakaa umfikie TUNDU ANTIPAS LISU, KITILA MKUMBO, wanasingida wenzako. angalia mawakili waliokuonya na ushuzi wako wana heshima za kimataifa
 
watu wanatumia akili za degree za kukremu na vyeti vya kununua kutunga upuuzi wasioweza kuutetea!!! hawajui cdm kuna watu wamekaa madarasani kubukua elimu za kiukweee!! hizi elimu za magamba za madesa kaaaaaaaazi kwl kwl.

Ritz dont hunt what you cant kill baba, neither should you expect wishes to be horses....
cc chemba
kweli kabisa mkuu,shame on mwigulu nchemba
 
Mwigulu bwana...Nikikumbuka yalivyomtoka mate wakati akituhum pale mjengoni akidai eti "finger print" zinajidhihirisha,.Leo hii sijui anajiskiaje na kufeli kwake maana alishangiliwa sana na magamba..."SHAME ON HER....Oh sorry, ON HIM"
 
Yani huyu DPP kumbe msanii ,anabambikia watu kesi.kama kesi ni dhaifu kiasi cha kutupwa ndani ya mda mchache maanake DPP ni kihiyo na ni msanii mzuri anaetumiwa na wanasiasa.

kaka elungata DPP anateuliwa na nani, anaripoti kwa nani/mamlaka yake ya nidhamu ni nani na analipwa na nani? kama jibu ni mkw.re, haya, huyo huyo mkw.re ni mwenyekiti wa chama kipi?! yale yaleeeeeeeeeee..a monkey judging an affairs of a forest!!!!

solution hapa ni moja tu kaka, total destruction through katiba mpya ya wanawanchi wote na baadaye through sanduku la kura. yaan makamamanda hii pointi ya katiba tusikubali tuipoteze hata tone. tukikubali magamba wakatuundia katiba ya kulinda magamba badala ya kulinda watanzania ndiyo tutakuwa tumenasa na kutoka itakuwa ngumu. ni lazima tusimame kikamanda kweli kweli hata kama si kwa kujitoa kwenye mchakato, tupige kelele zetu ziwe documented huko ansard na kwingine, tutumie mahakama za nchi na za wananchi, tutumie kila mbinu na so long as tumesimama katika haki na kweli tutashinda tu in the long run. dhuluma haiwezishinda haki hata siku moja. na mwisho wa siku ikibidi hata kujitoa tujitoe.

yan pointi ya katiba ni muhimu mno makamanda na ndo maana magamba wanahangaika kuichakachua mapema mapema ili kudhoofisha base ya harakati za ukombozi. makamanda mnaopita huku wapelekeani hiki kilio chetu kina slaa ikiwa hawatapata nafasi ya kupita humu JF. TUSIMAME IMARA TUPATE KATIBA YA WATANZANIA, Chonde chonde vyama vyote vya siasa vya upinzani msikubali kuhongwa na magamba mkasaliti tukio hili muhimu.

sisi watoto na vijana wa mafukara tukimwachia nafasi Ritz hapa tu ndo atakapotushindilia nyundo ya mwisho kabisa ili yeye aendelee kutibu meno ya tembo wetu..chonde chonde wana wazalendo.
 
USIHOFU KAMANDA WETU MBINU ZAO ZIMEFIKA MWISHO WAMESHINDWA KUKUAMBIA MOJA KWA MOJA HUNA KESI YA KUJIBU AIBU ZAO TU HIZO BADO 2015 MOTO ULEULE:angry:
 
Katika kesi hii Lwakatare anawakilishwa na Jopo la mawakili nguli watano ambao ni Mabere Marando,Tundu Lissu,Professor Abdallah Safari,Peter Kibatala na Naronyo Kicheere.

Hiki kikosi we acha tu ... shetani hakatishi
 
Huyu Mwigulu ni very S.ER.U.KAM.B.A!alidiriki kusema ndani ya bunge kuwa yupo tayari kutoa USHAHIDI hata MBINGUNI.

Haya matamshi yana laana kubwa sana ktk maisha yake.....Tusubiri wakati tu na atajuta kumjua Mungu km kweli anaamini mungu .....Maana wana ccm wengi hawaamini Mungu wa kweli, Kikwete anaamini sheikh yahaya, Kingunge sijui anaamini nini na huyu mwigulu lazima atakuwa na miungu yake ambayo anafikiri ndo mbinguni
 
Tulianza na MUNGU na tutayasafisha Magamba kwa nguvu za MUNGU. PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEES!!!!

japokuwa tunapenda kulaumu sana serikali ila yupo aliyeziweka hizo serikali na anaweza kuzitengua iwapo itamfaa ila jambo moja la kutambua ni kuwa hakuna mbadala wa Mungu,serikali ina sehemu inaishia ki uwezo..kinachotakiwa wakristo tujue kuwa adui yetu sio yule tunayemuona...ni shetani ambaye yupo kwenye ulimwengu wa roho anatumia vibaraka wake tu.. ila silaha kubwa tuliyonayo ni maombi...maana silaha zetu zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome na mamlaka na majeshi ya mapepo wa chafu katika ulimwengu wa roho... anachofanya shetani ni kutaka kutufanya tuwaone wenzetu wa dini nyingine kama maadui na tushindwe kutimiza wajibu wetu wa msingi wa kuwahubiria injili ya amani...

Wakristo tuwe wepesi wa kuzitambua hila za shetani... tuendelee na kupiga vita vizuri vile ambavyo tu mahiri huko kwa uwezo wa Roho Mtakatifu... Hatujui hata kushika bunduki lakini tunajua kutungua mizinga katika ulimwengu wa roho... hatuna hata jambia moja majumbani kwetu lakini tumezungukwa na majeshi wenye silaha za moto wakitulinda... tujue kuwa tunayoyaona kwenye ulimwengu wa mwili ni provocations ili tushindwe kutimiza majukumu yetu ya msingi kama wakristo na mabalozi wa Kristo... kama unaona unamchukia mtu wa dini nyingine ujue wewe una tatizo maana upendo wa Mungu haubagui,hauna masharti... kumbuka waliomtesa Yesu lakini yeye akasema wasamehe maana hawajui walitendalo... ukiona kuwa unapanga mabaya juu ya wale wanaopingana na wewe ujue hata wewe sio wa Mungu... na wewe unatatizo unatakiwa umrudie Muumba wako... Shaloooooooooooooooooooooooooooommmm!!!!
 
Back
Top Bottom