Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Utekaji ndio huohuo Ugaidi,ni sawa na kusema sili nyama nakunywa mchuzi,video nimeiona lazima ale miaka,ni sawa maiti ipo ktk jeneza wanachelewesha kwenda kuzika tu.
 
Mkuu hili litakuwa ni fundisho, njaa mbaya sana, inavua utu wa mtu, ila Pasco ni mzee wa bahasha wacha aumbuke!
....nakumbuka neno la Pasco "........bonafide genuine"
Naona CCM hapa wanazidi kuipa umaarufu CHADEMA! Mbwembwe zote zile za kuzuia dhamana mara kumwachia na kumkamata, zimeishia wapi? Kwa kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza. CCM tafuteni tawi lingine la kujishikiza ili msitunguliwe 2015.
.......CCM wanatengeneza single halafu CDM wanatumia kupewa tuzo......only made in tz!!!
Leo lumumba team wanakufa na njaaa..................mungu wahurumie hawa maskini wa mawazo
.......wana project nyingi sana wale watu
wapi lukosi... Wapi chama, wapi wingu, wapi sumu, wapi bungeni.................. Leo hakuna cha buku7 hapo... Kwishney mkajinyonge sasa maana mlijiapiza kuwa lawakatare lazima atinge lupango milele

wapi pasco...........njaa zitakuua mkuu

kunamtu anaweza kushindana na ukweli???
......copy: Pasco watu wanafurahi km vile CDM imechukua utawala wa nchi!!
 
Last edited by a moderator:
Safi sana Makamanda,tunaomba tupewe taarifa kama Mpiganaji amepewa dhamana

Sent from BlackBerry
 
Ameedit sana hii habari. Habari original iliyoletwa hapa ilikuwa na sentensi moja tu. Nashukuru kwamba mods wameondoa post yangu maana kwa sasa haina maana tena. Lakini kwa wakati huo ilikuwa ni mhimu sana.
Hili ni pigo lingine kwa CCM. Tunamshukuru Mungu kwa kuwa upande wa wapigania haki.
Wakuu, msishangilie wakati bado hatma yake katika hilo shitaka moja hamijui. Kama suala ni kuachiwa kwa dhamana, mbona sheikh ponda mpaka sasa yupo rumande licha ya mashtaka yake kuwa ya dhamana?
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.

Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la utekaji ambalo kimsingi ni Jinai na lina dhamana.

Taarifa zaidi zinasema ni shangwe kuu kutoka kwa wafuasi wa CHADEMA walioko mahakamani na Familia ya Lwakatare.Baadhi ya wafuasi wa CHADEMA waliohojiwa wamesema huu ni ushindi mkubwa dhidi ya udhalimu.

Mwanafamilia mmoja wa Lwakatare huku akibubujikwa machozi akasema mkono wa Mungu umeonekana dhidi ya shetani mtoa roho za watu.

Katika kesi hii Lwakatare anawakilishwa na Jopo la mawakili nguli watano ambao ni Mabere Marando,Tundu Lissu,Professor Abdallah Safari,Peter Kibatala na Naronyo Kicheere.
du furaha iliyoje maana ilikuwa hainingii akilin mtanzania huyu mwenzangu anavyokuwa anahangaika selo bila kosa la msingi!!!!!!! Kweli mungu na wema shetani na wabaya
 
Pigo kubwa kwa ccm. Mwigulu Nchemba alithubutu kupayuka bungeni kwamba Mbowe na Slaa ni magaidi kwa hiyo wakamatwe! Poor Mwigulu Nchemba what do you have to say now? Planning another move? Forget it! it gonna backfire like this one! ZeMarcopolo uko wapi? Njoo sema kitu kama ulivyozoea kutiririka!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, watoto wa Lumumba wote leo wamekuwa Guest,on RED, aibu sana...(196 members and 819 guests)
Nilimuona Atongwele somewhere, lakini naona keshaingia mitini. Hii imekuwa ni aibu kubwa sana kwao. Maana walianza kuutumia ugaidi kama label ya CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
Ya Arusha ndiyo ugaidi;Ya Lwakatare ilikuwa siasa tu!
 
Lwakatare alikamatwa 'ili kuzima' watu kuhoji watekaji wa kibanda. Labda wamefanikiwa kwa hilo. Hivi kuna anaekumbuka kama kibanda iletekwa na watekaji hawajakamatwa? Hata wa kuzugia tu kama 'bwana mulundi' mkenya ...
..........tulishasahau, hv alitekwa eeehhh...nchi yetu ya matukio ati!!!!
Ushauri wangu kwa Chadema wachunguze mazingira ya uamuzi huu kufikiwa na kama hakuna mkono wa mtu uliochangia.hawa jamaa wa lumumba hawaaminiki na wala hawakati tamaa bwana,isijekuwa ni njama ndani ya njama ndani ya njama....
..........naunga mkono hoja

Copy: LiverpoolFC
 
Last edited by a moderator:
Hakika Mungu ni mwema.tuna tegemea ushindi mwingine wa kesi iliyobaki. Pongezi nyingi kwa wanasheria wake na uongozi mzima wa Chadema.
 
Wakuu, msishangilie wakati bado hatma yake katika hilo shitaka moja hamijui. Kama suala ni kuachiwa kwa dhamana, mbona sheikh ponda mpaka sasa yupo rumande licha ya mashtaka yake kuwa ya dhamana?
Kinachotufanya tushangilie ni kwamba CCM hawataweza tena kukiita CHADEMA chama cha kigaidi. Maana mahakama imeshatoa hukumu kwamba hakuna ugaidi. Kwahiyo ile single ya ugaidi dhidi ya CHADEMA haina mvuto tena. Itabidi watafute single nyingine, bile kujali kama Lwakatare anapata dhamana au hapati.
 
Back
Top Bottom