KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,276
Tumeiona video lwakatare akipanga ugaidi, akipanga kulisha mtu sumu, akipanga kumteka mtu..hasafishiki yule ni gaidi tu
rejea kamusi ya mahakama na sheria ya ugaidi neno ugaidi lina maana gani?na ni mazingira gani yanaweza thibitisha ugaidi.