Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Sumu, lukosi, zemacopolo Riz1 na wengine wa lumumba toeni maoni yenu tafadhali!
 
Kama mimi ningekuwa Mwigulu , ningechukua uamuzi mgumu ! Ningejiuzulu Ubunge na hata uongozi wa Chama ili kujisitiri na Aibu yangu binafsi na kulinda heshima ya CHAMA CHANGU !

sasa atapatia wapi wake za makada? Atafanya kazi gani, UCHAWI?
 
Tutampa Ukaribisho wa kishujaa hapa Kagera. Kwa kuwa kesi imepangwa Jumatatu basi akiletwa tu kesi inasomwa na dhamana anapewa fasta.
Wakola waitu hivi nimekusevu kwenye sumsung s4,nokia lumia auuuuuu,
magamba acha kuhangaika na mambo ya kijinga watu hadi tunasubiria maisha bora
 
Mungu wa Israel ni mwema sana. Ahsante Yesu.

Naomba mtupe na habari za huyu mtu aitwaye Ludovick!. Yeye alishitakiwa kwa makosa yapi? Na hukumu yake yeye imesemaje?
 
Mwigulu hamuogopi Mungu na
ana sifa za ziada za kishetani!
Kwa nini.

1. Kwa mipango yake ya
kishetani ya ugaidi
amesababisha Rwekatare
kuteseka mbaroni kwa takribani
mwezi mmoja sasa. Mtu anaye
weza kutesa
nafsi ya mtu mwingine hana
tofauti na shetani anaye tesa
roho na nyama
za mwili wa binadamu.

2. Kwa mipango yake ya
kishetani, Mwigulu alishindwa
kufikiria maradhi
ya Rwekatare (Kisukari) maradhi
yanayo hitaji namna ya uangalizi
maalumu kwenye vyakula na
hata mazoezi. Ni shetani pekee
ndio mwenye
sifa ya kutomjali binadamu
anaye teseka kwa maradhi.

3. Familia ya Rwekatare na hasa
watoto wameteseka na
kuathirika
kisaikolojia kwa kipindi chote
ambacho baba yao alitegewa
mtego wa
kishetani. Nani mwenye uwezo
wa kupangusa maumivu ya
kisaikolojia
waliyo yapata watoto hao kwa
kipindii chote baba yao alipo
kuwa
anaitwa gaidi?! Ni binadamu
mwenye roho ya aina gani
anaweza kuwa na
furaha huku akijua kuwa watoto
wako wanaumia na kuteseka?

4. Ni binadamu wa aina gani
anayeweza kuandaa shutma za
uongo na
kuwaaminisha watanzania kuwa
niza kweli huku akimtaja Mungu
kuwa
anaweza kumpelekea ushahidi
wake?! Na tangu lini Mungu
akawa na shufaa
ya kupokea ushahidi kutoka kwa
wanadamu?!

5. Imeandikwa, "mpende jirani
yako kama unavyoipenda nafsi
yako"
ikaandikwa tena "Usimshuhudie
mwenzako uongo", ni binadamu
wa aina
gani anaye yafanya haya huku
akiwa amekusudia tena na
kuapa ndani ya
nyumba inayopewa sifa ya
utukufu?! Mtu huyu ana hofu ya
Mungu ndani
yake?!
Mimi namuona Mwigulu kama
shetani kwa kuwa amekuwa na
mipango ya
kishetani ambayo sasa
imekwama pamoja na ushetani
wake.
 
Mwigulu hamuogopi Mungu na
ana sifa za ziada za kishetani!
Kwa nini.

1. Kwa mipango yake ya
kishetani ya ugaidi
amesababisha Rwekatare
kuteseka mbaroni kwa takribani
mwezi mmoja sasa. Mtu anaye
weza kutesa
nafsi ya mtu mwingine hana
tofauti na shetani anaye tesa
roho na nyama
za mwili wa binadamu.

2. Kwa mipango yake ya
kishetani, Mwigulu alishindwa
kufikiria maradhi
ya Rwekatare (Kisukari) maradhi
yanayo hitaji namna ya uangalizi
maalumu kwenye vyakula na
hata mazoezi. Ni shetani pekee
ndio mwenye
sifa ya kutomjali binadamu
anaye teseka kwa maradhi.

3. Familia ya Rwekatare na hasa
watoto wameteseka na
kuathirika
kisaikolojia kwa kipindi chote
ambacho baba yao alitegewa
mtego wa
kishetani. Nani mwenye uwezo
wa kupangusa maumivu ya
kisaikolojia
waliyo yapata watoto hao kwa
kipindii chote baba yao alipo
kuwa
anaitwa gaidi?! Ni binadamu
mwenye roho ya aina gani
anaweza kuwa na
furaha huku akijua kuwa watoto
wako wanaumia na kuteseka?

4. Ni binadamu wa aina gani
anayeweza kuandaa shutma za
uongo na
kuwaaminisha watanzania kuwa
niza kweli huku akimtaja Mungu
kuwa
anaweza kumpelekea ushahidi
wake?! Na tangu lini Mungu
akawa na shufaa
ya kupokea ushahidi kutoka kwa
wanadamu?!

5. Imeandikwa, "mpende jirani
yako kama unavyoipenda nafsi
yako"
ikaandikwa tena "Usimshuhudie
mwenzako uongo", ni binadamu
wa aina
gani anaye yafanya haya huku
akiwa amekusudia tena na
kuapa ndani ya
nyumba inayopewa sifa ya
utukufu?! Mtu huyu ana hofu ya
Mungu ndani
yake?!
Mimi namuona Mwigulu kama
shetani kwa kuwa amekuwa na
mipango ya
kishetani ambayo sasa
imekwama pamoja na ushetani
wake.

Mkuu Mohamedi Mtoi naomba nikusahihishe kidogo kwenye Namba moja.Ameteseka Rumande kwa karibia miezi mitatu sasa na sio mwezi mmoja kama ulivyosema.
 
Last edited by a moderator:
Nimepitia post kwa harakaharaka sijawaona wenzetu ZeMaropolo, Chama, Rejao, Ritz, Nape, Chris Likosi, Juliana Shonza, Mtela, Mwigulu na wengine wote wakipendacho chama!!!!!! Ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa "Ukweli hujitenga na uongo". Acheni watanzania wafanye siasa za kidemokrasia na si za vitisho na udikteta na mbaya zaidi kuua na kutesa binadamu wasiokuwa na makosa kiroho, kimwili, kinafsi na kiakili. Poleni sana wale ambao mmeteseka kwa siasa za Tanzania kama Ulimboka, Kibanda na kwa masikitiko makubwa sana kuawa kwa Mwangosi. Pole pia wale wanaopokea jumbe za vitisho na kubambikiziwa kesi kama makamanda Dr. Slaa, Mbowe, Lissu, Lema, na wengine. Samahani sana hapa sijamtaja Lwakatare, bado ninatafakari maneno yake katika video ile kama hakuwa anashiriki mpango fulani wa kuhujumu!!! Mnahitaji sana kuni-convice kuwa he is a good chap to CDM!!
 
Zitto ulitaka Lwakatare atoswe na chama na pia chama kifanye uchunguzi wa ndani.Pamoja na kujua kwamba chama kilisimama na wewe katika sakata lako la Buzwagi na ilipovunjwa kamati yako ya POAC lakini uliamua kuendelea kutoa matamko huku kuhusiana na Mawasiliano aliyoanika hadharani Mabere Marando huku ukiweka wazi kuwa kuna njama za kumgeuza rafiki yako Dennis Msacky uliyemuita victim kuwa mtuhumiwa.

Jambo hili lilizua shinikizo kubwa kwenye mitandao la kukutaka ujiuzulu.

Je,baada ya uamuzi wa mahakama bado unataka Lwakatare ajiuzulu?

Je,Ni kwa nini sasa usijiuzulu wewe ili uchunguzwe kwa kauli zako hizi zinazotia mashaka?

mh.Zito pima akili za wengine humu jf ni magamba yenye kauli za hivi ili yapate cha kusemea chadema imesambaratika kabla ya 2014.naelewa u mwelewa akili za great thinkers wa chadema na magamba.hii ni mifano ya magamba viva chademaaa
 
Mahakama uwa hawapendi kesi zisizo na msingi hasa majaji waliohuru ukiacha wale wa voda fasta na TISS.....
 
Yale ya ugaidi waliyakosea walikuwa kama CCM wamejilenga na mtutu wa bunduki, KIZUNGU ILIKUWA NI SUICIDE MISSION.
 
vunjabei mna hamu na kucha eeh!!
aya njoo
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu amewewereka sana bungeni akidai yupo tayari kutoa ushahidi duniani mpaka mbinguni kuwa kulikuwa na njama za kigaidi. Nadhani salamu toka High Court amezipata.
Alivyokua anajishebedua siku ile pale bungeni utadhani yuko kwenye jukwaa la mipasho,haya sasa limemshuka acha avalishwe nepi mtoka pabaya aso na haya kama rafikie wa mashaka mpayukaji nepi na mzee wao chimpanzee."teh,teh,teh.,HUO NDO UZALENDO ALOENDA KUJIFUNZA JKT"???aibu.
 
Mwigulu Nchemba who boasted that he had a Video showing plans to kidnap and harm people should now be taken to task for fabricating this absurd story. Is it not he who took it to the Police?

I suggest that Chadema lawyers: Mabere, Tundu Lissu and Prof Safari should consider taking Mwigulu Nchemba to court under "private prosecution".
 
Back
Top Bottom