OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,303
- 104,185
wabunge maandazi
Ukoo huo ni haribifu kupita maelezo, haujali wanacho haribu iwe vazi la sikukuu, harusi ama suti ya gharama, ilimradi ameharibu na kuwatengenezea wanae kirago cha kulaalia, ilmradi akuthibitishie kuwa yeye ni hodari wa kuharibu.Wameanza kugeukana ukoo wa panya.
Mnara wa Babeli naona ujenzi umeanza!
Ndugu yangu hiyo ndiyo nchi yetu, wabunge ni rubber stamp! Hakuna wanachojua zaidi ya posho yao. Hii nchi ingeendelea zaidi bila hii genge. Serikali ikishaandaa madudu yake kibajeti inaitisha hilo genge ili kuaminisha kuwa bajeti ya nchi ilipitaga bungeni na kuungwa mkono na majority ya wabunge. Otherwise hatuna wabunge. Ingekuwa nchi ya watu wenye akili tayari hiyo sheria ingesharudishwa bungeni au waziri husika ameshapewa order ya revise Regulations husika.Nakuelewa mkuu.
Hapo kwenye kanuni ndio shida ilipo, wizara zinajificha kwenye kanuni.
Kama wawakilishi wa wananchi wangekua makini basi wangeweka floor na glass ceiling that no body is allowed to break, hata kama kanuni zinatungwa basi zifuate sheria hiyo yenye ceiling.
Sasa wabunge hawajui waziri atakuja kuwatoza wananchi zao kiasi gani huoni hapo kuna shida?
Yaani wabunge wamekua surprised kama sisi wananchi, hao ni wabunge ama genge la wahuni?
Maana yake ukimuuliza mbunge wako uliweka sahihi kwa niamba yangu mwananchi nitozwe kiasi gani, hajui, sasa alipitisha nini?
Sasa tuambie wewe unajitoaje kwenye lawama,au wawakilishi,ni ipi kazi yenu,ilikuwaje hamkutaka kujua sheria inafanyaje kazi,au ni shida ile ya kuiwakilisha sirikali badala ya wananchi wa eneo lako,au kwa kuwa nafasi ilipatikana kwa hisani ya mwenye mamlaka ya kisirikali na sii sanduku lile la kula.
Hamkutakiwa kupitisha
sheria bila kuziona kanuni...mna makosa makubwa nyie wabunge wa CCM.
Pamoja na spika?Wabunge wote pumbavu zenu..
Mlipitisha Sheria bila KUJUA kiwango? Kweli Mataga shida sana
Usimuonee bure Shule hamna hapoSasa tuambie wewe unajitoaje kwenye lawama,au wawakilishi,ni ipi kazi yenu,ilikuwaje hamkutaka kujua sheria inafanyaje kazi,au ni shida ile ya kuiwakilisha sirikali badala ya wananchi wa eneo lako,au kwa kuwa nafasi ilipatikana kwa hisani ya mwenye mamlaka ya kisirikali na sii sanduku lile la kula.
Bunge la vilaza,kwa nini hamkumbana Waziri atoe rates nyie mkapitisha tu? Yaani mumeuziwa mbuzi kwenye sandarusi. Pumbavu zenu.Hoja kubwa sio hata hayo makato bali ni matumizi ya hizo pesa zitakazopatikana. Uwajibikaji katika matumizi ya serikali bado ni mdogo na hapo ndipo ilipo shida. Wanaotajwa na CAG hawafanywi lolote, wilaya, wizara na taasisi zenye shida katika mahesabu hakuna uwajibikaji.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (MNEC) na Mbunge wa Mvumi mkoani Dodoma, Livingstone Lusinde amefunguka kuhusu makato ya miamala katika simu za mikononi ambapo amedai Bunge wao walipitisha sheria na kiwango kilipagwa na Waziri wa Fedha.
View attachment 1879248
Huyu jamaa kweli mkichwa hakuna kitu kabisa.Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (MNEC) na Mbunge wa Mvumi mkoani Dodoma, Livingstone Lusinde amefunguka kuhusu makato ya miamala katika simu za mikononi ambapo amedai Bunge wao walipitisha sheria na kiwango kilipagwa na Waziri wa Fedha.
View attachment 1879248