Sasa huyu mzee Luhanjo ana maana gani kusema tuhuma zilikua za uongo kama amekubali kwamba kuna kiasi cha pesa ambazo zilichangwa?!?
Hapo Mkuu tatizo sio Luhanjo, ni hiki kitaarifa cha mleta habari ndio hakieleweki. Luhanjo anatusomea ripoti ya CAG aliyoandikiwa Rais, ripoti hiyo haiwezi kuandikwa kinyumenyume namna hiyo. Haiewezekani Luhanjo asema tuhuma ni za uongo halafu asema hela zilichangwa, tuhuma gani sasa ni za uongo?Huyu Halisi ndio tatizo.

Shelukindo anatumiwa na 'mtandao' unaohangaika kujinasua kwa kulipua washirika waliowatosa ili kuwa na uwanja sawa wa tuhuma.

Bahati mbaya hesabu zao hazikuwa pevu (pre mature) pengine kuhofia hoja kubebwa na wapinzani .

Shelukindo alijua kuwa zimeshagawiwa na hivyo uchunguzi utaonyesha waliopokea, hapo ingeongeza idadi ya watuhumiwa wa ufisadi ambao wangetakiwa wajivue gamba kama kundi la EL. Kwa bahati mbaya pesa zilikuwa hazijafika mikononi mwa wahusika kwahiyo tuhuma zinabaki kwa Jairo.

Luhanjo anachokifanya ni kuuthibitishia 'mtandao' kuwa hawawezi ndio maana amemrudisha kwa kishindo.

Ikumbukwe kuwa Jairo ni mtu wa karibu sana na JK kwa miaka mingi na automatic ni mtu wa karibu sana na Luhanjo. Kwahiyo kesi ya Jairo mwendesha mashitaka ni Luhanjo na na hakimu ni JMK! tena dhidi ya timu tuhumiwa!!

Hili dili lilipaswa liuzwe kwa wapinzani, lakini kwa siasa za kukomoana na mgawanyiko ndani ya chama'mtandao" wakalichukua kwa jazba kuonyesha nguvu zao. Ime jam! Tutasikia mengi mwaka huu.
Yaani kwa kifupi we kwapua TZS 24,999,000/= hapo ulipo,
Wakikosea wakushtaki umekwapua TZS 25,000,000/=, huna kesi!!!
umekosea kidogo hapo ni LIZ-WANI.Daudi jailo for Plezidenti 2015! Ni swahibar na yupo kalibu sana na lais mtukufur jakaya mlisho kikwete. hana tamaa. ni muadirifu na mwaminifu kama lais nyelele. ni mnyenyekevu na amekuwa civir selvant wa serekari kwa miaka rukuki. ni mkilistu. ni mwana ccm ngangali. kwa kifupi ni plesidentor mateliali nambali riz-wani!
Sasa source wako nani??? Na kwanini unaongea issue sensitive namna hiyo kwa ufupi kiasi hicho bila details? Yaani umeniharibia siku yangu leo mara mbili, kwanza kwa kuandika jambo zito kwa ufupi sana, pili kama ni ukweli basi siku yangu leo ndo imekuwa mbaya zaidi!
Yaani kwa kifupi we kwapua TZS 24,999,000/= hapo ulipo,
Wakikosea wakushtaki umekwapua TZS 25,000,000/=, huna kesi!!!